Mwinjilisti Damian Ndimbo wa Biblia ni jibu akamatwa na polisi

Pastor Achachanda

JF-Expert Member
May 4, 2012
3,022
1,305
Wadau,nasikitika serikali kukamata watu wasio na hatia na kuwaacha wafanya fujo kufaidi mema ya nchi kwa kile kinachodaiwa ni 'lugha ya uchochezi'.
Mtume huyu wa Mungu wa kweli amekumbwa na dhahama hiyo akiwa katika semina huko Maswa cha ajabu polisi inamshikilia.Serikali ya ccm hivi lugha ya uchochezi ni ipi?AU ni hii ya UA ASKOFU UA KADINALI?Watu kama akina Shehe Ilunga,ponda,basalehe,kundecha nk wametoa lugha za uchochezi hawajakamatwa.Au kwa sababu kitengo cha Qur'an kipo chini ya ofisi ya makamu wa Rais ambayo hajawahi kupewa Mkristo?Kwenu wapenda amani:2015 msiirudishe ccm madarakani kwani sera zake zimeharibu nchi.Mwinjilisti Ndimbo,pole MUNGU WA KWELI ATAKUTETEA,
 
Polisi hawana dogo, lakini pia hatujui wamemshikilia kwa sababu gani huenda kanasa maana ni binadamu pia. Ikiwa Yesu Kristo alicharazwa na walewale wanaohitaji ukombozi wake, itakuwaje Mwinjilisti ambaye ni mfuasi wa Yesu Kristo? Kama wanautenda mti mbichi watakavyo, je, mti mkavu inakuwaje? Mitume wengi sana wa Yesu Kristo waliishia kuteswa sana hadi kufa, na hiyo ni ishara kwamba binadamu hana wema usimwone kucheka. Wema unatoka kwa Mungu tu! Nilipokuwwa napita pale mwenge juzi kushinda jana, nilisikia mhadhara wa kiislam ambao upo kila siku jioni pale. Mhubiri alisikika kwa kipaza sauti kwamba "Hakuna mtume kumzidi Mohammad, aliweza hata kumsilimisha shetani na kumfanya awe ndugu yetu lakini Yesu alishindwa hilo" Nikabaki kinywa wazi.......kumbe Shetani ni mwislamu?
 
sina mashaka na damian ndimbo,familia yao ina historia ya ya ukongwe ktk harakati hizo.kuanzia baba na sasa mtoto.mungu atamsimamia na atatoka.poleni sana wanaharakati wa biblia ni jibu.
 
Kama amesema maneno ya uchochezi, acha Sheria ichukue mkondo wake. Shehe Ponda, Wahaziri, Dibagula nk wengi huwa wanakamatwa kwa sababu za uchochezi na hata huyo Ilunga bado anatafutwa na Polisi. Kuacha watu kuaribu amani kwa kusingizia au kwa kushabikia dini ujue mwisho wake ni mbaya sana. Sisi wafuasi wa hawa viongozi ndio tuwe makini tusione kama hawa watu ni Malaika na ingekua vizuri kueleza maneno aliyoyasema sio kufananisha tu.
 
  • Thanks
Reactions: Luv
Eti sheikh. Basaleh, Ponda, Ilunga ndio wanaostahili kutungwa! Mbona nyinyi makafiri mna chuki za wazi kwa waislam? Ebu niambie lipi kosa la ponda, basaleh, na ilunga. Kwahiyo wewe kwako mchochezi ni muislam tu? Ndio maana mimi binafsi siwapendi makafiri na kamwe sina marafiki makafiri kwa sababu nyinyi ni wanafiki na moto wa jehanamu wawangoja
 
Mwarabu na Mzungu wamefanya watu wachukiane.Hamna mtu mbaya kama yule aliyekua brainwashed.
 
Wadau,nasikitika serikali kukamata watu wasio na hatia na kuwaacha wafanya fujo kufaidi mema ya nchi kwa kile kinachodaiwa ni 'lugha ya uchochezi'.
Mtume huyu wa Mungu wa kweli amekumbwa na dhahama hiyo akiwa katika semina huko Maswa cha ajabu polisi inamshikilia.Serikali ya ccm hivi lugha ya uchochezi ni ipi?AU ni hii ya UA ASKOFU UA KADINALI?Watu kama akina Shehe Ilunga,ponda,basalehe,kundecha nk wametoa lugha za uchochezi hawajakamatwa.Au kwa sababu kitengo cha Qur'an kipo chini ya ofisi ya makamu wa Rais ambayo hajawahi kupewa Mkristo?Kwenu wapenda amani:2015 msiirudishe ccm madarakani kwani sera zake zimeharibu nchi.Mwinjilisti Ndimbo,pole MUNGU WA KWELI ATAKUTETEA,
Hawa vijana wanahubili Bibilia kwa kuzingatia Katiba lakini lipo tatizo moja ambalo mimi naliona:
1.Kuwakusanya Waislamu na kuanza kurumbana nao badala ya kuwabili!!
2.Kutumia vifungu vya Kashifa kuwa kashifu na kuibua Upungufu wa Qorani
3.Kutumia Qoran Kuhubili
4.Kikundi hicho kinatumiwa na Wasasiasa zaidi hasa CCM!!!. Yusufu Rajabu Makamba ndiye aliyekuwa anakifadhhiri na amekuwa anapata vifungu vya bibilia kutoka kwa watu hawa na kuwashambulia Maaskofu wanaopinga CCM
5.Waasisi wote wa Kundi hili walikuwa ni wanachama wa CCM au vibaraka wa CCM kwa malengo hayo hayo na wametumika sana kuingia kwenye makanisa na kuua Nguvu ya Upinzani hususani Uchaguzi 2010.
6.Huwezi kumuvuta mtu wa imani nyingine ahamie kwenye imani yako kwa kumutukana?? Kosa hili linafanana na lile la CCM ambao mda wote ni kuwatukana Wapinzani na mwisho wake watu wote wameikimbia CCM
7.Kikundi hiki kina mahusiano na kikundi kama hicho kutoka kwa Waislamu na wanaelewana vizuri kabisa na wanapeana pesa na wakati wa malumbano wana acha vurugu kubwa zikiwakumba watu wengine ambao hawafahamiani na kuzuka uchamaji wa makanisa>
8.Lengo la kuhubili ni kukusanya na sio kutawanya na huwezi kukusanya kwa kutukana!!!!!!!!!!!
 
cpati picha utakapo sikia kaachiwa..utalipuka kwa hasira.dua la kuku...halafu kwa damian hiyo siyo mara ya kwanza.record yake ya kukamatwa na polisi hata ponda haifikii.
mkuu ulinitukana nini?maana naona umedelete post kabla ya hii.
 
Back
Top Bottom