nuruyamnyonge
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 4,386
- 2,151
Kama amesema maneno ya uchochezi, acha Sheria ichukue mkondo wake. Shehe Ponda, Wahaziri, Dibagula nk wengi huwa wanakamatwa kwa sababu za uchochezi na hata huyo Ilunga bado anatafutwa na Polisi. Kuacha watu kuaribu amani kwa kusingizia au kwa kushabikia dini ujue mwisho wake ni mbaya sana. Sisi wafuasi wa hawa viongozi ndio tuwe makini tusione kama hawa watu ni Malaika na ingekua vizuri kueleza maneno aliyoyasema sio kufananisha tu.
Ilunga mbona alikuwa anapatikana kabla ya mauti kumfika!