Mwingine BAVICHA ajiunga na CCM

Mwingine BAVICHA ajiunga na CCM

TandaleOne

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2010
Posts
1,644
Reaction score
709
KATIBU wa Baraza la Vijana wa Chadema (BAVICHA) wilaya ya Rombo, Abdul Issa amekihama chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi.(CCM)

Hatua hiyo imefikiwa baada ya Katibu huyo kudai kuchoshwa na ubabaishaji ndani ya CHADEMA na kikubwa ni UBAGUZI uliokithiri na kufitiniana., alilalamikia ahadi zisizotekelezwa alizopewa na CHADEMA pamoja na mbunge wa jimbo hilo.

Katibu huyo alirudisha kadi ya CHADEMA yenye namba 0406788 mbele ya Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana (UVCCM) wilaya ya Rombo Ndugu Beatrice Shirima, ambae alikuwa akifanya ziara za kushukuru na kuimarisha jumuiya wilayani humo.
 
mimi namdai mwenyekiti wake a.k.a mr fast jet ahadi ya TRAIN YA KWENDA KASI ,TOKA MWANZA HADI DAR .
nakuomba bwana Abdul Issa siku ukikutana na jeikei umkumbushie
 
Tamaa na ulafi wa mafanikio ya haraka unaangamiza vijana wengi
KATIBU wa Baraza la
Vijana wa Chadema (BAVICHA) wilaya ya Rombo, Abdul Issa amekihama chama
hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi.(CCM)

Hatua hiyo imefikiwa baada ya Katibu huyo kudai kuchoshwa na ubabaishaji
ndani ya CHADEMA na kikubwa ni UBAGUZI uliokithiri na kufitiniana.,
alilalamikia ahadi zisizotekelezwa alizopewa na CHADEMA pamoja na mbunge
wa jimbo hilo.

Katibu huyo alirudisha kadi ya CHADEMA yenye namba 0406788 mbele ya
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana (UVCCM) wilaya ya Rombo Ndugu Beatrice
Shirima, ambae alikuwa akifanya ziara za kushukuru na kuimarisha jumuiya
wilayani humo.
 
Mi namdai meli mpya ya Mwanza to Bukoba, Train/Barabara toka Arusha to Musoma.
 
KATIBU wa Baraza la Vijana wa Chadema (BAVICHA) wilaya ya Rombo, Abdul Issa amekihama chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi.(CCM)

Hatua hiyo imefikiwa baada ya Katibu huyo kudai kuchoshwa na ubabaishaji ndani ya CHADEMA na kikubwa ni UBAGUZI uliokithiri na kufitiniana., alilalamikia ahadi zisizotekelezwa alizopewa na CHADEMA pamoja na mbunge wa jimbo hilo.

Katibu huyo alirudisha kadi ya CHADEMA yenye namba 0406788 mbele ya Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana (UVCCM) wilaya ya Rombo Ndugu Beatrice Shirima, ambae alikuwa akifanya ziara za kushukuru na kuimarisha jumuiya wilayani humo.

Kadi ukate CHADEMA kwa nini uirudishe CCM?Labda kuna kazi alitakiwa afanye CHADEMA imeshindikana hivyo amerudi alikotoka.Asisingizie Ubinafsi wala ubaguzi kwani anakoenda kuna tofauti?
 
Msalimu Nnape Mwandosya Nnauye
 
Kadi ukate CHADEMA kwa nini uirudishe CCM?Labda kuna kazi alitakiwa afanye CHADEMA imeshindikana hivyo amerudi alikotoka.Asisingizie Ubinafsi wala ubaguzi kwani anakoenda kuna tofauti?

Mkuu usimwage povu kiivyo kimsingi mchizi kashindwa kutekeleza Amri za Padri Slaa za kuua watu
 
Mimi namdai yafuatayo a) Maisha bora kwa kila mtanzania b) kigoma kuwa kama dubai c) barabara ya lami toka kinyanambo,mafinga hadi madibila d) tatizo la maji na umeme kuwa historia dar f) hakuna mtoto wa maskini aliyefaulu atashindwa kusoma chuo kikuu kisa kukosa pesa
 
amejichekecha mwenyewe akaona hafiti cdm ndio maana ameondoka. mwacheni aende.
 
Vijana wanataka utajiri wa haraka,awe na pesa nying za kuchezea,apate kila anachokitaka within a very short time akikosa anakimbia na wengi waliingia kwa matumaini makubwa kwamba nikipata kazi hii nitafanya hivi nitafanya vile nitanunua kitu fulani lakini kwa mshahara,hauwezi kukidhi vitu anavyotaka ndio maana utakuta ni vijana wanaojidai kwamba ni wasomi lakini ubabaishaji mtupu,sasa anaona akienda ccm ndio tamaa yake itatimia? Ni ulimbukeni na ujinga wa kutawaliwa na tamaa tu,watu wako wengi wakiondoka kwa tamaa zao wengine watapewa uongozi waliouacha
 
Mkuu usimwage povu kiivyo kimsingi mchizi kashindwa kutekeleza Amri za Padri Slaa za kuua watu

Kama wanavyoua waislamu mapadri zanziba hiyo ni jadi yenu fujo,wizi,kuua na kila aina ya vurugu hatushangai magaidi nyie
 
Tunamkaribisha CCM kwa mikono miwili. CCM ni chama kisichokuwa na ubabaishaji kwa sababu ya kuwa na mgawanyo wa madaraka na utawala wa sheria. Ndani ya CCM kila mtu ana nafasi sawa ya kusikilizwa.

Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakina mmiliki wake. CHADEMA kina mmiliki wake.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
hana jipya huyo/ ahadi gani aliahidiwa ? au aliahidiwa kupanda cheo
 
Back
Top Bottom