Mwingine aua kwa risasi naye kuuawa na wananchi kwa ugomvi wa ardhi huko Kahama

hata majina yenyewe anayakosea, kuna Mloziku na Maziku, halafu kuna Makune na Makunde. Sasa majina sahihi ni yapi?
 
Huyo kikongwe alishawahi kushika madaraka yeyote ndani ya Chama Tawala hapo zamani? Nauliza kwa vile hiyo ndio hulka ya viongozi wengi wa chama hicho kutumia silaha hovyo.
 
Back
Top Bottom