residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 7,029
- 9,623
Never, never, never ever. Mungu hakutupa vichwa kwa ajili ya kufugia nywele au kubebea masikio, macho, pua na mdomo.Wewe hesabu siku tu.
Never, never, never ever. Mungu hakutupa vichwa kwa ajili ya kufugia nywele au kubebea masikio, macho, pua na mdomo.Wewe hesabu siku tu.
Ukimaanisha kwamba mbali na kutembea na wake za watu kwa miaka 35 una hakika hakuna hata siku moja utakuja kutokewa na baya lolote mfano kufumaniwa n.k.? Basi hongera sana kiongozi maana wewe ni kidume hasa.Never, never, never ever. Mungu hakutupa vichwa kwa ajili ya kufugia nywele au kubebea masikio, macho, pua na mdomo.
Nisome vizuri, utanielewa.Tatizo siyo kuruhusiwa kuoa, shida ipo kwenye fikra ya kuiishi nadhiri.........maana hata wakiruhusiwa kuoa bado watakamatwa na michepuko. Jiulize, kwa nini mtume Paulo aliweza kuishi bila kuoa pamoja na kwamba hakuna sheria iliyombana asioe. Utaona kwamba ni nadhiri aliyojiwekea kwamba katika kutimiza utumishi wake inavyopaswa hataoa wala kujihuisha na zinaa kwa namna yoyote ile. Kwa hiyo utaona kwamba siyo jambo linaloshindikana mwanaume kuishi katika utaua wa kumtumikia Mungu bila kuoa wala kuwaka tamaa ya wanawake.
Inakuwaje unafumaniwa!!??Ukimaanisha kwamba mbali na kutembea na wake za watu kwa miaka 35 una hakika hakuna hata siku moja utakuja kutokewa na baya lolote mfano kufumaniwa n.k.? Basi hongera sana kiongozi maana wewe ni kidume hasa.
Kuna mambo hayaruhusiwi kuchunguzwa, yatapotosha Imani za waumini wengi.Ifikie wakati uchunguzi wa kina ufanyike ili kujua chanzo hasa cha mauaji ya baadhi ya hawa mapadre wetu wa Kanisa Katoliki.
ni membe yupi?Membe alishasema hutasikia tena watu kuokotwa kwenye mito,
Haya yametokea nchi gani sasa?
ni vyema ukaleta ushahidi juu ya hizi shutuma nzito namuna hii isijekuwa ni chuki zako binafusi.tafadali sanaMabadri Wana mishemishe nyingi na madeal ya ajabu ajabu walipouana ZANZIBAR mkawasakma UAMSHO,SIASA Kali sijui nini kumbe hawa ma agent WA madawa ya kulevya wakisha dhlumiana NI kupelekana kuzimu Asubuhi mapemaaa
Hao ni watumishi wa Papa, na Jesuits wanafanya usafiVifo vya utata utata vimezidi sasa kwa hawa watumishi wa Mungu