Mwili wa Padre aliyetoweka jimboni Mbeya Juni 10, waokotwa kando ya mto

Never, never, never ever. Mungu hakutupa vichwa kwa ajili ya kufugia nywele au kubebea masikio, macho, pua na mdomo.
Ukimaanisha kwamba mbali na kutembea na wake za watu kwa miaka 35 una hakika hakuna hata siku moja utakuja kutokewa na baya lolote mfano kufumaniwa n.k.? Basi hongera sana kiongozi maana wewe ni kidume hasa.
 
Huyu padri ni mgeni, wengi huwa majasusi, wanapogundilika, wako chini ya kanisa, habari yao huisha hapo hapo
 
Tatizo siyo kuruhusiwa kuoa, shida ipo kwenye fikra ya kuiishi nadhiri.........maana hata wakiruhusiwa kuoa bado watakamatwa na michepuko. Jiulize, kwa nini mtume Paulo aliweza kuishi bila kuoa pamoja na kwamba hakuna sheria iliyombana asioe. Utaona kwamba ni nadhiri aliyojiwekea kwamba katika kutimiza utumishi wake inavyopaswa hataoa wala kujihuisha na zinaa kwa namna yoyote ile. Kwa hiyo utaona kwamba siyo jambo linaloshindikana mwanaume kuishi katika utaua wa kumtumikia Mungu bila kuoa wala kuwaka tamaa ya wanawake.​
Nisome vizuri, utanielewa.
Sina shida kwa mtu kuamua kutokuoa na kumtumia Mungu wake. Shida iko pale kiapo cha kutokuoa kinapomfunga Padri wakati hawezi tena kujizuia kingono. Nini kitatokea? Ataendelea kuwa Padri huku akifanya ngono kisiri, maana hana mlango wa kutokea.
 
Ukimaanisha kwamba mbali na kutembea na wake za watu kwa miaka 35 una hakika hakuna hata siku moja utakuja kutokewa na baya lolote mfano kufumaniwa n.k.? Basi hongera sana kiongozi maana wewe ni kidume hasa.
Inakuwaje unafumaniwa!!??
Kuna class 0 messaging app ambazo umtumiaye hawezi kusave txt msg.
Kuna huduma ya private/hide number kwa calls & sms.
Kuna self-destruct onced read sms app.
Kuna kukutana mbali na mikoa mnayoishi.
Mnafumaniwaje?
 
Mabadri Wana mishemishe nyingi na madeal ya ajabu ajabu walipouana ZANZIBAR mkawasakma UAMSHO,SIASA Kali sijui nini kumbe hawa ma agent WA madawa ya kulevya wakisha dhlumiana NI kupelekana kuzimu Asubuhi mapemaaa
ni vyema ukaleta ushahidi juu ya hizi shutuma nzito namuna hii isijekuwa ni chuki zako binafusi.tafadali sana
 
Siku hizi upadre sio wito, ni kazi tu kama utabibu, udereva, ukuli, nk. Matatizo wanayokutana nayo mapadre ni matokeo ya kukosekana wito.
Wito umeondoka na heshima iliyokua imeambatana nao, kwa hiyo sasa mapadre hawana heshima tena. Wakiteleza Dunia inawaadabisha kidunia
 
Back
Top Bottom