YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 51,992
Taarifa kutoka Radio One zinasema mwili wa Ndesamburo.
utazungushwa mitaani manispaa Ya Moshi ikiwa kwenye jeneza la kifahari lililonunuliwa toka kenya eti kuwapa nafasi wananchi kuaga.Huu ni utesaji jamani. Watu wanafanya maiti kama maonyesho ya biashara ya kuzungusha mitaani.
CHADEMA naona kuna washirikina hivi kwa nini wanaonyesha kama wamefurahi kifo chake kwa kuona wamzungushe mitaani watu wajue kweli kafa.
Kuna ushirikina sio bure