Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,841
unataka kumzidi jamaa nini?
Hizo presha siziwezi
unataka kumzidi jamaa nini?
Duuh, Nilipita nkasikia Munispa Wamewafungia rest.yao ati hawana kiwango !!AiseeeChezea kuku wa kfc nawaonaga tu kwenye picha sasa kupata msamalia mwema lazima nishukuru maana usiku nilikuwa sina cha kula
Duuh, Nilipita nkasikia Munispa Wamewafungia rest.yao ati hawana kiwango !!Aiseee
Aaa hao wanarudi kwa chips kuku tu !!Mhhhh!sasa watoto wa mujini si watakufa na njaa??