Mchochezi
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 11,453
- 10,059
Hata Honey Faith anajua
Last edited by a moderator:
kumbe na wewe ni mbavu nene mkuu?
basi sawa ila mazoezi unafanya kweli?
hapo sawa. unaruka kichura chura kweli?
MashaAllah... utafiti usijekumbwa na jicho? Polepole !! Mkuu Musso' wewe unaweza hizo 2 plates?kumbe na wewe ni mbavu nene mkuu?
Aisee kama mimi
Aaa aa tulia hapo hapo nshakuagizia take away KFC yaja kwako!!Na kweli mwili haujengwi na matofali.Yani kanitamanisha kula nilikuwa nimelala ngoja nikatafute msosi....
Aaa aa tulia hapo hapo nshakuagizia take away KFC yaja kwako!!
Da HF siulikuwa umelala ??!!Aiseee hadi mate yamenitoka.Maana huyo kuku na kale kapilipili kwa mbali uwiii ngoja nikae mkao wa kula😀🙁
Koh!koh!koh shem uzidishe mazoezi huo mwili presha nje nje usije nipa kazi kukulelea wanao....
Da HF siulikuwa umelala ??!!
Teh teh teh