Kijana wa Ifoza
Member
- Oct 31, 2025
- 61
- 55
Je Mwijaku anatakiwa kutembelewa na kumjulia hali tarehe 9 December?
Siku hizi yanaokoteza tu! Pumbavu kabisa!Huyu askari mbona mfupi sana, futi 3 hafiki uyo.
Hakana miaka 10 hako kweli!Huyu askari mbona mfupi sana, futi 3 hafiki uyo.
Mwijaku mtoto si riziiki nani anamuelewa?
Atakuwa futi nne mjapaniHuyu askari mbona mfupi sana, futi 3 hafiki uyo.
Nini siri ya utajiri wa kutisha wa mwijaku???😳