Mkuu embu tuwekane sawa isije ikawa umekosea hesabu...ni 3006 au 36?maana nahisi kama hizi sifuri mbili za kati umezichakachua?mwijage hawezi sema 3006 wakat moyon anamaanisha 36...OK lakinHabari wakuu, katika kuelekea Tanzania ya viwanda waziri husika mh Charles Mwijage amesema ndani ya miaka 2 wamefanikiwa kujenga viwanda 3006..
Wakuu hebu tusaidiane kutaja hivyo viwanda ili tuvijue binafsi mimi sivifahamu
Mkuu fafanua hasa hapo kwenye 1-9....Kwa takwimu ni zaidi ya viwanda 3300 vimeshajengwa kuanzia Nov, 2015 hadi sasa
Kati ya hivyo viwanda vidogo vinavyo ajiri mtu 1-9 ni zaidi ya 2750 na vinavyo.ajiri watu 10 na zaidi ni zaidi ya 500
Power bankhivyo viwanda vinatumi sola power?
Angejitahidi basi akahorodhesha viwanda angalau 30 na kutwambia vimeajiri Watanzania wangapi siyo hizi ngojera za viwanda vya kusaga unga, kushona nguo, kukomboa mpunga na kukamua halizeti. Huu ni upuuzi mtupu. Wakati vile viwanda vya kweli vinafunga kwa ukata yeye anakuja na ngojera zakeHabari wakuu, katika kuelekea Tanzania ya viwanda waziri husika mh Charles Mwijage amesema ndani ya miaka 2 wamefanikiwa kujenga viwanda 3006..
Wakuu hebu tusaidiane kutaja hivyo viwanda ili tuvijue binafsi mimi sivifahamu