Msanii Platinum Member Joined Jul 4, 2007 Posts 26,479 Reaction score 40,120 Aug 17, 2026 #21 idiomer said: Hatujazoea kutokumuona muda mrefu hivi? Click to expand... Ni kama ilivyokuwa kwa Philip Mpango. Hawana maigizo mapya
idiomer said: Hatujazoea kutokumuona muda mrefu hivi? Click to expand... Ni kama ilivyokuwa kwa Philip Mpango. Hawana maigizo mapya
econonist JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 24,949 Reaction score 39,652 Aug 17, 2026 #22 Pumzi imekata mapema sana. Alidhani atapata umaarufu waharaka.
J Janja weed JF-Expert Member Joined Nov 20, 2020 Posts 3,526 Reaction score 6,303 Aug 17, 2026 #23 wa nini hata akiwepo analeta impact gani?
Blood of Jesus JF-Expert Member Joined Sep 19, 2016 Posts 7,092 Reaction score 13,013 Aug 17, 2026 #24 econonist said: Pumzi imekata mapema sana. Alidhani atapata umaarufu waharaka. Click to expand... kwenye mikutano yake WANANCHI wenye akili walikuwa wakimuangalia kama nyanya mbichi, kujiweka madarakani kumesababisha watawala hawa wakose kibali kabisa! hopeless
econonist said: Pumzi imekata mapema sana. Alidhani atapata umaarufu waharaka. Click to expand... kwenye mikutano yake WANANCHI wenye akili walikuwa wakimuangalia kama nyanya mbichi, kujiweka madarakani kumesababisha watawala hawa wakose kibali kabisa! hopeless
secretarybird JF-Expert Member Joined Aug 22, 2024 Posts 23,554 Reaction score 49,968 Aug 17, 2026 #25 Mpaji Mungu said: Nimekuelewa kibenten wa Gudila. Click to expand... We jamaa wewe!