Mwigulu Taaluma ya Ualimu ni Taaluma kama Taaluma zingine.Unaposema kila Mtu mwenye Shahada ana uwezo wa kufundisha unakosea tena sana.Kuna kitu kwenye ualimu kinaitwa Pedagogy of Teaching.Kufundisha ni Taaluma unayotakiwa usomee.Mtu kama injinia asiye jua hata moja kuhusu Preparation of Teaching,Teaching Aids,Leason Plan,Scheme of work atafundisha vipi?,we unafikiri kufundisha ni kujua tu kilichopo kwenye Vitabu?,We mbunge unamasiala sana wewe.
Mwigulu Taaluma ya Ualimu ni Taaluma kama Taaluma zingine.Unaposema kila Mtu mwenye Shahada ana uwezo wa kufundisha unakosea tena sana.Kuna kitu kwenye ualimu kinaitwa Pedagogy of Teaching.Kufundisha ni Taaluma unayotakiwa usomee.Mtu kama injinia asiye jua hata moja kuhusu Preparation of Teaching,Teaching Aids,Leason Plan,Scheme of work atafundisha vipi?,we unafikiri kufundisha ni kujua tu kilichopo kwenye Vitabu?,We mbunge unamasiala sana wewe.
Hivi chuo cha Ma-lecturers kiko wapi vile?
Mwigulu Taaluma ya Ualimu
ni Taaluma kama Taaluma zingine.Unaposema kila Mtu mwenye Shahada ana
uwezo wa kufundisha unakosea tena sana.Kuna kitu kwenye ualimu kinaitwa
Pedagogy of Teaching.Kufundisha ni Taaluma unayotakiwa usomee.Mtu kama
injinia asiye jua hata moja kuhusu Preparation of Teaching,Teaching
Aids,Leason Plan,Scheme of work atafundisha vipi?,we unafikiri
kufundisha ni kujua tu kilichopo kwenye Vitabu?,We mbunge unamasiala
sana wewe.
We ni zaidi ya boya au kilaza, kwani lecturer ni mwalimu nae? Check na kamusi mzee. Ccm imekuleza ww na bila shaka ww ni product ya shule za kataHivi chuo cha Ma-lecturers kiko wapi vile?
Usitetee hata usichokijua lesson plan na scheme of work ni professional documents kuna kozi yake si kitu cha kuambiwa siku moja na kukielewa inahitaji practice kabla ya kukitumia darasani.we mburula kweli. unafikiri mwigulu ameongelea walimu wa primary? hao wenye shahada watashindwaje kuandaa lesson plan na scheme of work?
Wewe pia ni KILAZA, hapa hakuna mwenye chuki na mwigulu ila tunalisidia taifa, serikali inashindwa kuwaajili hao wahandisi kwenye fani walizosomea inataka wawe walimu,???? Majengo yanaanguka huko mijini, barabara mbovu kwa kukosa wakandarasi au wanataka madiwani wa ccm ndio wawe wakandaras kama yule mwenye kampuni iliyojenga jengo lililoua pale dsm?? Hiyo ni moja, pili unadhani ualimu kila mtu akiwa na shahada tu basi ashakua mwalimu??? Kila mzazi asingethubutu kumpeleka shule kwan anaweza somea hata home .... Tena ufute kauli yakoWana jf tunaweka chuki tunapochambua hoja ya mwigulu. Hili wazo ni mhimu sana kwani amesema kuliko kusubiri walimu mpsks wamalize ndio waajiriwe ni bora kuwachukuwa wataalam ambao wapo tu hawana kazi. Lipi bora mwsnsfunzi kujisomea hesabu au kufundishwa na mhandisi. Acheni kuwaza kizamani na chuki ndani
Usitetee hata usichokijua lesson plan na scheme of work ni professional documents kuna kozi yake si kitu cha kuambiwa siku moja na kukielewa inahitaji practice kabla ya kukitumia darasani.
We ni zaidi ya boya au kilaza, kwani lecturer ni mwalimu nae? Check na kamusi mzee. Ccm imekulemaza sana ww na bila shaka ww ni product ya shule za kata, vitu vingine wapinzani wanaongea ukweli mtupu. Jamani huyu jamaa atasababisha kama yale ya arusha wale wamasai waliotaka kumkabidhi kadi za ccmHivi chuo cha Ma-lecturers kiko wapi vile?