MWALLA
JF-Expert Member
- Dec 12, 2006
- 16,952
- 10,510
Last edited by a moderator:
mkuu salama?ufipa hawajambo?tatizo mmezoea porojo na ndio maana mpaka leo makao makuu yenu mmepamgisha vyumba viwili pale ufipa licha yakupata zaidi ya ml 300 kwa mwexi
Tatizo ni rasilimali zetu hasa gesi mkikataa mikataba isiyo na maslahi kwa wananchi wanaleta vikwazo sasa tuwe pamoja na viongozi wetu ili wazidi kusimamia rasilimali zetu sawia
Pitia tena mchanganuo juu hapo[/QUOTE ndugu yangu nimeusoma kwa makini hizo ni porojo kwani ukweli wa hali ya kifedha ya nchi yetu kwa sasa inajulikana, mfano hakuna wizara iliyopata zaidi ya 50% ya fedha iliyopitishwa na bunge mpaka hii leo , BOT na TANESCO zimefilisika, badala yake tunaona michango ya ajabu, na hapa Dar YONO wanakamata watu ovyo kukagua risiti, Traffic nao sasa kila mtu ana kitabu cha risiti tena nasikia kila mmoja kwa siku inatakiwa apeleke faini 5 inamaana 150,000 bila hivyo anarudishwa kwenye gwanda za khaki ,danganya wengine ila kwa sasa tutegemee zaidi kuendelea kuuzwa, manaake bado kuna mazoezi ya vitambulisho vya utaifa, kuboresha daftari la uchaguzi, uchaguzi wa serikali za mitaa, kura ya maoni,bodi ya mikopo elimu ya juu, na taasisi zote hizo zinalalamika hazijapewa fungu, achana na hizo issue zilizofichika kama za NBC. Nakwambia hela ya kulipa Hakuna !
Mtazitoa wapi wakati serikali inahaha kukopa ili kufidia pengo la wafadhili!
Nachekeshaee!Mkuu soma vizuri uzi acha kukurupuka.Mwigulu ndio Rais wa JMT 2015
Mwigulu: Tutalipa deni la Sh8.4 Tril
Serikali imesema inaandaa utaratibu wa jinsi ia kulipa madeni inayodaiwa na taasisi za hifadhi ya
Dar es Salaam. Serikali imesema inaandaa utaratibu wa jinsi ia kulipa madeni inayodaiwa na taasisi za hifadhi ya jamii pamoja na Bohari ya Dawa (MSD).
Mifuko hiyo inaidai Serikali Sh8.43 trilioni. Mfuko wa PSPF unadai (Sh429 bilioni), PPF (Sh192 bilioni), NSSF (Sh467 bilioni), NHIF (Sh107 bilioni), LAPF (Sh170 bilioni) na GEPF (Sh6.8 bilioni).
Jumla hiyo ya deni la Serikali linahusisha deni jingine la PSPF la Sh7.06 trilioni ambayo ni malimbikizo ya madeni ya muda mrefu.
Akizungumza jana jijini Dar es Salaam, Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba alisema kuwa mifuko hiyo huikopesha Serikali kupitia wizara mbalimbali, fedha ambazo hutakiwa kulipwa baada ya muda fulani.
Alisema wizara zisipolipa na hivyo deni kukaa kwa muda mrefu, huingizwa kwenye deni la Taifa.
Madeni hayo ni makubwa, yanahitaji baraza la mawaziri kujadili utaratibu gani utatumika kulipa, alisema Mwigulu na kuongeza:
Kwa mfano deni la PSPF ni kubwa na linahitajika kulipwa, hivyo tunaweka utaratibu lakini siyo kwamba Serikali hailip... kama mwaka jana tuliilipa PSPF zaidi ya Sh50 bilioni sema nao wana mahitaji yao.
Akizungumzia deni la MSD, Mwigulu alisema: Hili la MSD tumetaka mchanganuo wa wizara na kila halmashauri jinsi gani fedha zilizotolewa kwa ajili ya dawa, zimetumika.
Alisema mwaka jana Serikali ilitoa Sh47 bilioni kwaajili ya dawa katika wizara na halmashauri, lakini fedha zilizotumika kununulia dawa ni Sh7 bilioni tu.
Nyingine wamefanyia mambo mengine na ndiyo maana tunasema hatuwezi tukawa tunatoa tu fedha bila kupewa mchanganuo wa fedha hizo zimefanyiwa
Serikali imesema inaandaa utaratibu wa jinsi ia kulipa madeni inayodaiwa na taasisi za hifadhi ya jamii.

Nyingine wamefanyia mambo mengine na ndiyo maana tunasema hatuwezi tukawa tunatoa tu fedha bila kupewa mchanganuo wa fedha hizo zimefanyiwa nini, alisema Mwigulu.
Ahsante sana Rais Aliyependekezwa 2015View attachment 197156
Mkuu lete hoja acha vihoja.Mwigulu ni Mzalendo wa kweli.
mpaka inafika trilion 7 serikali ilkuwa wapi kuna mambo ni bora mngekaa kimya kuna siku nilimwona NAPE UDOM ANALALAMIKA MAJENGO KUCHAKAA MAPEMA muda mfupi baada ya ujenzi, baada ya kumsikiliza nilikumbuka kuwa huo ni mkopo na majengo mengine yameanza kuharibika, kweli TZ yenyewe ni maajabu ya DUNIA
Strategymkuu salama?ufipa hawajambo?tatizo mmezoea porojo na ndio maana mpaka leo makao makuu yenu mmepamgisha vyumba viwili pale ufipa licha yakupata zaidi ya ml 300 kwa mwexi
Mimi nasubiri mpaka utakapoingia na ID yako nyingine ya Eddo mkweli au Komando KipensiMkuu lete hoja acha vihoja.Mwigulu ni Mzalendo wa kweli.
Mwigulu: Tutalipa deni la Sh8.4 Tril
Serikali imesema inaandaa utaratibu wa jinsi ia kulipa madeni inayodaiwa na taasisi za hifadhi ya
Dar es Salaam. Serikali imesema inaandaa utaratibu wa jinsi ia kulipa madeni inayodaiwa na taasisi za hifadhi ya jamii pamoja na Bohari ya Dawa (MSD).
Mifuko hiyo inaidai Serikali Sh8.43 trilioni. Mfuko wa PSPF unadai (Sh429 bilioni), PPF (Sh192 bilioni), NSSF (Sh467 bilioni), NHIF (Sh107 bilioni), LAPF (Sh170 bilioni) na GEPF (Sh6.8 bilioni).
Jumla hiyo ya deni la Serikali linahusisha deni jingine la PSPF la Sh7.06 trilioni ambayo ni malimbikizo ya madeni ya muda mrefu.
Akizungumza jana jijini Dar es Salaam, Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba alisema kuwa mifuko hiyo huikopesha Serikali kupitia wizara mbalimbali, fedha ambazo hutakiwa kulipwa baada ya muda fulani.
Alisema wizara zisipolipa na hivyo deni kukaa kwa muda mrefu, huingizwa kwenye deni la Taifa.
Madeni hayo ni makubwa, yanahitaji baraza la mawaziri kujadili utaratibu gani utatumika kulipa, alisema Mwigulu na kuongeza:
Kwa mfano deni la PSPF ni kubwa na linahitajika kulipwa, hivyo tunaweka utaratibu lakini siyo kwamba Serikali hailip... kama mwaka jana tuliilipa PSPF zaidi ya Sh50 bilioni sema nao wana mahitaji yao.
Akizungumzia deni la MSD, Mwigulu alisema: Hili la MSD tumetaka mchanganuo wa wizara na kila halmashauri jinsi gani fedha zilizotolewa kwa ajili ya dawa, zimetumika.
Alisema mwaka jana Serikali ilitoa Sh47 bilioni kwaajili ya dawa katika wizara na halmashauri, lakini fedha zilizotumika kununulia dawa ni Sh7 bilioni tu.
Nyingine wamefanyia mambo mengine na ndiyo maana tunasema hatuwezi tukawa tunatoa tu fedha bila kupewa mchanganuo wa fedha hizo zimefanyiwa
Serikali imesema inaandaa utaratibu wa jinsi ia kulipa madeni inayodaiwa na taasisi za hifadhi ya jamii.
Dar es Salaam. Serikali imesema inaandaa utaratibu wa jinsi ia kulipa madeni inayodaiwa na taasisi za hifadhi ya jamii pamoja na Bohari ya Dawa (MSD).
Mifuko hiyo inaidai Serikali Sh8.43 trilioni. Mfuko wa PSPF unadai (Sh429 bilioni), PPF (Sh192 bilioni), NSSF (Sh467 bilioni), NHIF (Sh107 bilioni), LAPF (Sh170 bilioni) na GEPF (Sh6.8 bilioni).
Jumla hiyo ya deni la Serikali linahusisha deni jingine la PSPF la Sh7.06 trilioni ambayo ni malimbikizo ya madeni ya muda mrefu.
Akizungumza jana jijini Dar es Salaam, Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba alisema kuwa mifuko hiyo huikopesha Serikali kupitia wizara mbalimbali, fedha ambazo hutakiwa kulipwa baada ya muda fulani.
Alisema wizara zisipolipa na hivyo deni kukaa kwa muda mrefu, huingizwa kwenye deni la Taifa.
Madeni hayo ni makubwa, yanahitaji baraza la mawaziri kujadili utaratibu gani utatumika kulipa, alisema Mwigulu na kuongeza:
Kwa mfano deni la PSPF ni kubwa na linahitajika kulipwa, hivyo tunaweka utaratibu lakini siyo kwamba Serikali hailip... kama mwaka jana tuliilipa PSPF zaidi ya Sh50 bilioni sema nao wana mahitaji yao.
Akizungumzia deni la MSD, Mwigulu alisema: Hili la MSD tumetaka mchanganuo wa wizara na kila halmashauri jinsi gani fedha zilizotolewa kwa ajili ya dawa, zimetumika.
Alisema mwaka jana Serikali ilitoa Sh47 bilioni kwaajili ya dawa katika wizara na halmashauri, lakini fedha zilizotumika kununulia dawa ni Sh7 bilioni tu.
Nyingine wamefanyia mambo mengine na ndiyo maana tunasema hatuwezi tukawa tunatoa tu fedha bila kupewa mchanganuo wa fedha hizo zimefanyiwa nini, alisema Mwigulu.
Ahsante sana Rais Aliyependekezwa 2015View attachment 197156
Tatizo ni rasilimali zetu hasa gesi mkikataa mikataba isiyo na maslahi kwa wananchi wanaleta vikwazo sasa tuwe pamoja na viongozi wetu ili wazidi kusimamia rasilimali zetu sawia
Mtazitoa wapi wakati serikali inahaha Umekosa hoja la kusema hamna tena. kijana mchapakazi Sokoine wa Pili kaishapata mwarobaini wa matatizo yote now tuone hoja za kubeza majukwaani mtazitoa wapi? maana nyie hamnaga hoja zaidi ya kubeza mwisho wenu uishafika RIP.
Mwigulu: Tutalipa deni la Sh8.4 Tril
Serikali imesema inaandaa utaratibu wa jinsi ia kulipa madeni inayodaiwa na taasisi za hifadhi ya
Dar es Salaam. Serikali imesema inaandaa utaratibu wa jinsi ia kulipa madeni inayodaiwa na taasisi za hifadhi ya jamii pamoja na Bohari ya Dawa (MSD).
Mifuko hiyo inaidai Serikali Sh8.43 trilioni. Mfuko wa PSPF unadai (Sh429 bilioni), PPF (Sh192 bilioni), NSSF (Sh467 bilioni), NHIF (Sh107 bilioni), LAPF (Sh170 bilioni) na GEPF (Sh6.8 bilioni).
Jumla hiyo ya deni la Serikali linahusisha deni jingine la PSPF la Sh7.06 trilioni ambayo ni malimbikizo ya madeni ya muda mrefu.
Akizungumza jana jijini Dar es Salaam, Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba alisema kuwa mifuko hiyo huikopesha Serikali kupitia wizara mbalimbali, fedha ambazo hutakiwa kulipwa baada ya muda fulani.
Alisema wizara zisipolipa na hivyo deni kukaa kwa muda mrefu, huingizwa kwenye deni la Taifa.
Madeni hayo ni makubwa, yanahitaji baraza la mawaziri kujadili utaratibu gani utatumika kulipa, alisema Mwigulu na kuongeza:
Kwa mfano deni la PSPF ni kubwa na linahitajika kulipwa, hivyo tunaweka utaratibu lakini siyo kwamba Serikali hailip... kama mwaka jana tuliilipa PSPF zaidi ya Sh50 bilioni sema nao wana mahitaji yao.
Akizungumzia deni la MSD, Mwigulu alisema: Hili la MSD tumetaka mchanganuo wa wizara na kila halmashauri jinsi gani fedha zilizotolewa kwa ajili ya dawa, zimetumika.
Alisema mwaka jana Serikali ilitoa Sh47 bilioni kwaajili ya dawa katika wizara na halmashauri, lakini fedha zilizotumika kununulia dawa ni Sh7 bilioni tu.
Nyingine wamefanyia mambo mengine na ndiyo maana tunasema hatuwezi tukawa tunatoa tu fedha bila kupewa mchanganuo wa fedha hizo zimefanyiwa
Serikali imesema inaandaa utaratibu wa jinsi ia kulipa madeni inayodaiwa na taasisi za hifadhi ya jamii.
Dar es Salaam. Serikali imesema inaandaa utaratibu wa jinsi ia kulipa madeni inayodaiwa na taasisi za hifadhi ya jamii pamoja na Bohari ya Dawa (MSD).
Mifuko hiyo inaidai Serikali Sh8.43 trilioni. Mfuko wa PSPF unadai (Sh429 bilioni), PPF (Sh192 bilioni), NSSF (Sh467 bilioni), NHIF (Sh107 bilioni), LAPF (Sh170 bilioni) na GEPF (Sh6.8 bilioni).
Jumla hiyo ya deni la Serikali linahusisha deni jingine la PSPF la Sh7.06 trilioni ambayo ni malimbikizo ya madeni ya muda mrefu.
Akizungumza jana jijini Dar es Salaam, Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba alisema kuwa mifuko hiyo huikopesha Serikali kupitia wizara mbalimbali, fedha ambazo hutakiwa kulipwa baada ya muda fulani.
Alisema wizara zisipolipa na hivyo deni kukaa kwa muda mrefu, huingizwa kwenye deni la Taifa.
Madeni hayo ni makubwa, yanahitaji baraza la mawaziri kujadili utaratibu gani utatumika kulipa, alisema Mwigulu na kuongeza:
Kwa mfano deni la PSPF ni kubwa na linahitajika kulipwa, hivyo tunaweka utaratibu lakini siyo kwamba Serikali hailip... kama mwaka jana tuliilipa PSPF zaidi ya Sh50 bilioni sema nao wana mahitaji yao.
Akizungumzia deni la MSD, Mwigulu alisema: Hili la MSD tumetaka mchanganuo wa wizara na kila halmashauri jinsi gani fedha zilizotolewa kwa ajili ya dawa, zimetumika.
Alisema mwaka jana Serikali ilitoa Sh47 bilioni kwaajili ya dawa katika wizara na halmashauri, lakini fedha zilizotumika kununulia dawa ni Sh7 bilioni tu.
Nyingine wamefanyia mambo mengine na ndiyo maana tunasema hatuwezi tukawa tunatoa tu fedha bila kupewa mchanganuo wa fedha hizo zimefanyiwa nini, alisema Mwigulu.
Ahsante sana Rais Aliyependekezwa 2015View attachment 197156
Serikali ya CCM hii haiwezi hizo ni porojo tu, ila matokeo ni kuumiza watumishi waliopo katika mifuko hii kuja kukosa mafao yao