Dr. Mwigulu Nchemba
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 416
- 2,037
- Thread starter
- #41
Mwigulu Nchemba,
-Nilichoulizwa Polisi mbele ya mwanasheria wangu ndicho nilichoripoti.
-Sasa kama una updates nyingine it's none of my business
-Pia kumbe kuna vijana waliojitaja kuwa wameingilia mawasiliano?Sasa kulikua na haja gani ya Jeshi la polisi kuniita kama wapo vijana wa aina hiyo ?
-Pia barua pepe hizi zilisambaa kwa kasi kwenye mitandao hata kwenye Thread yako uliyoanzisha tarehe 26.11.2013 .Hukutoa ufafanuzi
-Thread ilipoanzishwa ili utoe ufafanuzi ulikaa kimya now one month.Nilikutumia SMS utoe Ufafanuzi maana watu wataamini ni ukweli.Ukakaa kimya.
-Sasa polisi niliwaambia wao watafute ni nani aliingilia mawasiliano hayo ambayo tulikubaliana ni kinyume cha sheria.Pia watafute chanzo na sehemu ambazo mawasiliano hayo yalipita.
Polisi walisema pia bado watamhoji Mhe. Nchimbi.Sijui kwanini so far haujahojiwa na Polisi
Mwigulu,Look at you.!
Ben sio mara yangu ya kwanza kufafanua hili. Siku nilipoiona tu niliandika humu na fb kuwa hiyo sio e mail yangu na wala sijawahi kuwasiliana na Mhe Nchimbi kwa e mail. Hapa nimeongelea ya kuwa umeitwa polisi of which nisingeongea kabla hujaitwa. Hizo siasa za kiwango cha chini mno.
Last edited by a moderator: