Mtazamo wangu kuhusu Mtoa hoja.
Bro MWIGULU hana AURA ya kiuongozi, hasa nafasi ya Uwaziri Mkuu.
Namuona hana ile Sauti ya MAMLAKA anapozungumza. Yaani hata akipiga Mkwara inaonekana kama anachekesha au anatania.
Nafikiri wanaohusika na kuwafunza VIONGOZI, waone namna ya kumsaidia iwapo ni jambo linaweza fundishika.
Vile vile namuona anazungumza sana, camera nyingi, maneno mengi, porojo nyingi, so hata akija kuzungumza jambo serious, watu wanamchukulia poa.
Anyways, ale kwa urefu wa kamba yake.
Wewe kama mtanzania uliyeamua kususia shughuli za kisiasa huna waziri mkuu sisi tunashiriki kila hatua shughuli za kisiasa tunaye waziri mkuu ni huyo Mwigulu Nchemba.Kwani huyo ni waziri wa wapi mm km mtanzania sina waziri mkuu.Mwambie yy kwanza aache janjajanja na alie mchagua ...wasituone tumenyamaza wakaona wameshinda sisi sio mafala