Erick Richard R-Madrid
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 399
- 282
Akiwa Singida Mwigulu Nchemba amesema watu wa Singida wana matatizo kidogo kutokana na Kaka yao, Mwanasheria Tundu Lissu kutetea watu wanaoibia rasilimali za Tanzania na kutishia tutashitakiwa.
Amesema pia alitegemea mawakili wakubwa na wasomi wajitokeze na kuanza kuwashitaki ACACIA.
Amewaasa wakazi, wakina mama wa Singida kuongea nae ki-nyumbani, amesema pia kwamba upinzani ni kati ya vyama na vyama na sio katika rasilimali za nchi.
"Upinzani ni vyama kwa vyama na sio katika nchi" Mwigulu Nchemba
Amempongeza Rais Magufuli akimtaja kama ni Rais wa wanyonge