Mwigulu ni ushamba au ulimbukeni?

Mwigulu ni ushamba au ulimbukeni?

EasyFit

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2011
Posts
1,269
Reaction score
1,082
Skafu hadi msibani...ni kweli unaipenda Tanzania kutoka moyoni...aaa!! bwana acha hizo.

18.jpg
 
Halafu Miguu Chemba kama amevimba uso vile,Ngeu za Arumeru East nini?
 
Sidhani kama hilo ni kosa
Amekufa mtanzania
Waombolezaji ni watanzania bila kujali itikadi
Afadhali yeye kuliko wanaovaa scarf na bandana za bendera ya Marekani
 
Sidhani kama hilo ni kosa
Amekufa mtanzania
Waombolezaji ni watanzania bila kujali itikadi
Afadhali yeye kuliko wanaovaa scarf na bandana za bendera ya Marekani
Ndiyo lakini kuna sehemu na sehemu ya kuvaa si kila mahali.
 
Ndiyo lakini kuna sehemu na sehemu ya kuvaa si kila mahali.

Sidhani kama hapo alipoivaa ni kosa
Na pia siamini ni ushamba
Ila sihukumu mitizamo ya wengine japokuwa sikubali pia kulazimishwa kuamini kama wengine
 
hata mimi namshangaa huyu jamaa..angekuwa mzalendo asinge kuwa MAGAMBA

Acheni utoto nyie vinega huo ni uzalendo hapo pengine mngemuona kajifunika bendera ya marekani ndio mngekenua kwa kuupenda umarekani kupita kiasi
 
msela ni mshamba anatafiuta umaarufu kwemnye msiba.......
 
Mkuu mbona akina myika wametimba na magwanda yao kwenye msiba, huo nao ni ushamba?
wakati mwingine personal attack zinashusha hadhi yako.......just saying
kanumbamsiba7.jpg
 
Mkuu mbona akina myika wametimba na magwanda yao kwenye msiba, huo nao ni ushamba?
wakati mwingine personal attack zinashusha hadhi yako.......just saying
View attachment 51325

ameongelea skafu, kama angeongelea nguo na wewe si ungeongelea nguo? una uwezo wa kuchambua mambo kweli?
 
naona mnasahau kuwa wanasiasa huwa hawaendi kuhani msiba au kusherehekea sherehe incase, huwa wanaenda kujionyesha kwa watu na umma kwa manufaa ya kupata kura baadaye.
 
Namuona Nape naye kanenepeana hadi anashindwa kukaa vizuri
 
ameongelea skafu, kama angeongelea nguo na wewe si ungeongelea nguo? una uwezo wa kuchambua mambo kweli?

kwa hiyo kuvaa magwanda ndio uzalendo kwako na kuvaa skafu ya bendera ya taifa sio uzalendo..!kuna tatizo flani kichwani kwako aisee si bure
 
Mnyika kavaa gamba za cdm umepiga kimya na huku ni dhahiri kwamba hizo ni nguo za chama na kisiasa zaidi ila Mwigulu kuvaa scarf ya TZ tena sio chama bali ya nchi inakua zogo.. umeonyesha dhahiri kwamba ulizingatia personal interests zako. SIONI HATIA YA MTU HUYU
 
mbona mnyika ametinga kombati la CDM, au hamulioni?. Au ni ile: kuku kanya, akinya bata, kaharisha?.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom