Imebainika kuwa Mwigulu Mchemba anasimamisha watu ambao si wanachadema na kuwatangaza kuwa ni Viongozi wa CHADEMA waliohamia CCM. Hayo yamejitokeza juzi katika Mkutano wa Manzese ambapo Mwigulu alimtangaza mtu akidai ni Katibu mwenezi wa CHADEMA kata ya Saranga kuwa amehamia CCM. Leo katibu mwenezi wa ukweli wa CHADEMA amejitokeza na kukanusha uzushi huo wa Mwigulu.
Mwigulu ni Mzushi - YouTube
Pia Mwigulu alidai kuwapokea wanachama 7000 toka Chadema na kudai kuna Wabunge 7 wa Chadema watahamia CCM japo hakuwataja majina jambo ambalo nalo limekaa kipropaganda tu. Mwigulu linda cheo chako cha Naibu Katibu Mkuu kwa kujenga kuaminiwa na uaminifu