Mwigulu ni Mzushi

Mwigulu ni Mzushi

Ukiona mtu anachukiwa na upinzani ujue kawashika pabaya, na ukiona mtu anachukiwa na watawala pia anawakimbiza. Mwigulu kusema kweli ni mwiba mchungu kwa wapinzani
 
Vipi kuhusu ile video yake yenye kuonyesha mipango ya mauaji inayofanywa na chadema
 
Ukiona mtu anachukiwa na upinzani ujue kawashika pabaya, na ukiona mtu anachukiwa na watawala pia anawakimbiza. Mwigulu kusema kweli ni mwiba mchungu kwa wapinzani

hapo umenena! Na kwa bahati mbaya wachangiaji hawako critical,kama wataendelea hivi Mh. Mwigulu atawasambaratisha
 
Vip cd ya mauaji ya viongozi wa chadema? Huyo ndo mwigulu nchemba , kazi ni fitna na matusi.
 
Back
Top Bottom