Picha kutoka kwa Tb joshua
Mungu anapatikana Nigeria?Naangalia Emmanuel TV hapa naona kuna bendera kama kumi hivi za Tanzania akiwemo Mwigulu Nchemba. Ni jambo la kutia faraja kuona watu wanamkimbilia Mungu!!
Naangalia Emmanuel TV hapa naona kuna bendera kama kumi hivi za Tanzania akiwemo Mwigulu Nchemba. Ni jambo la kutia faraja kuona watu wanamkimbilia Mungu!!
Mungu anapatikana Nigeria?
Basi sawa!Kwani Mungu hana uwezo wa kufika Nigeria?kama hana kizuizi cha kufika huko kwanini asipatikane, anapatika.
Heri ya huyu aliyekwenda kanisani kuliko wale waliokwenda kugonga kikombe cha babu pande za Samunge Loliondo e.g Steven Wassira, Willium Lukuvi, John Magufuli, Jakaya Kikwete etl.