Mwigulu Nchembezo

Mwigulu Nchembezo

Hosee Miguel

Member
Joined
Feb 20, 2013
Posts
59
Reaction score
38
Hii nimeipata liveeeeeeeeeeeeeeeeeeee, Arusha. Jamaa mmoja alikuwa katika stori moja mbili katika Mgahawa Maarufu wa NAAZ. Katika kusogoa haya na yale wakagusa mambo ya siasa yanavyokwenda kwa sasa. Akaulizwa na Jamaa yake mmoja katika hali ya sasa ya siasa hususan kauli za viongozi wa kada tofauti tofauti wamchukuliaje Mheshimiwa Mwigulu Nchemba?

Jamaa bila kuuma maneno akasema, sina haja ya kupindisha maneno ila Ikitokea nikaambiwa nichague vitu viwili katika maisha ya siasa either awe kuwa kama Mwigulu Nchemba au niuwawe, hakika nitachagua KUUUWAWAAAAAAAAA!!

Tafakari!
 
Bangi hizo. Anawaumiza sama vichwa.
 
kafie mbali ndiyo maana hamna roho za uvumilivu na hamjui maana ya kila mtu kuwa na haki ya mawazo yake, na kama hata mwigulu analindwa kikatiba. na pili mmesahau uvumilivu ndiyo gharama peke yake ya demokrasia
 
Hii nimeipata liveeeeeeeeeeeeeeeeeeee, Arusha. Jamaa mmoja alikuwa katika stori moja mbili katika Mgahawa Maarufu wa NAAZ. Katika kusogoa haya na yale wakagusa mambo ya siasa yanavyokwenda kwa sasa. Akaulizwa na Jamaa yake mmoja katika hali ya sasa ya siasa hususan kauli za viongozi wa kada tofauti tofauti wamchukuliaje Mheshimiwa Mwigulu Nchemba?

Jamaa bila kuuma maneno akasema, sina haja ya kupindisha maneno ila Ikitokea nikaambiwa nichague vitu viwili katika maisha ya siasa either awe kuwa kama Mwigulu Nchemba au niuwawe, hakika nitachagua KUUUWAWAAAAAAAAA!!

Tafakari!

naung mkono hoja..raaaaaaaaaaaa!
 
Back
Top Bottom