Mwigulu Nchemba, Zitto sio size yako

Mwigulu Nchemba, Zitto sio size yako

Who cares!
Duu! mbona povu mkuu?!!
Ila nilisikia hata wanaohamia dini moja kwenda nyingine wanakuwa na makeke kwenye dini mpya kuliko aliowakuta.
Kwa hiyo mimi kumsahihisha huyo ndugu kimekuuma nini?
Utakoma! Kwani nilikukata mimi, wee mwehu nini.
Tena ukomee hapo hapo kuniletea ulimbukeni wako. shwaini wewe.
Unadhani kila mtu ana shobo na siasa. Ulifaidi CCM mwishoe wakakufanya dekio, nyau wewe na ulimbukeni wako wa kuhamia CHADEMA, naona una machungu kuliko hata Mzee Mtei ambaye ni founder. Mxeewwww
 
Nisamehe.
 
Wadau leo Zitto Kabwe ameandika 'tweets' kama 12 kuadhimisha siku ambayo Tundu Lissu alipigwa risasi na watu wasiojulikana ambao ni mali ya Bashite.

Nimefuatilia leo sikumuona Mwigulu Nchemba akirudia ile tabia yake ya kuchukua post ya Zitto na kupiga mkasi mwekundu kisha ku repost. Hivyo nawapongeza wadau wote waliochangia uzi huu kwa vile mlengwa ameshika adabu.
 
Sijawahi kuona andiko lolote la Mwigulu lenye mantiki hata moja. Sijawahi ona hoja zake bungeni zenye mashiko. Yaani hastahili hata kuwa mwanafunzi wa Zitto
Inaonekana mganga wa Mwigulu Nchemba Madelu amemuambia kuwa ili Jiwe amkumbuke kwenye uteuzi basi awe anajibu twitter posts za Zitto Kabwe bila kushirikisha ubongo wake.

Waswahili wanasema kutembelea nyota. Kwa zaidi ya miezi mitatu nimemfuatilia huyu Mwigulu Nchemba ambaye ni mbunge wa Iramba nimegundua kuwa yeye binafsi hana mawazo yake, ila anasubiri Zitto Kabwe a-post ndipo aharishe utumbo wake. Halafu Mwigulu huchukua kalamu nyekundu na kupiga mkasi kwenye post ya Zitto kisha kuiandikia pumba zake kidogo.

Ila followers wa Twitter wamekuwa wanamdharau sana. Nimeileta humu kwa vile yeye humu yuko verified. Nataka nimuambie kuwa pamoja na PhD yake ya "kuokoteza" hawezi kuifikia intellectualism ya Zitto na mvuto na uwezo wa kujenga hoja na uthubutu wa Zitto Kabwe. Leave Zitto Kabwe alone, he is not your class.
 
Jamaa atakuwa kapiga bangi ya Malawi, Savimbi anamuona Dube
Mwigulu bangi yake ya kuvutia chooni imemdhuru tena. Kamvaa tena Zitto Kabwe. Angalia kiambatisho chini;

Anachonikera ni kwamba hana mawazo yake bali anasubiri Zitto apost ndiyo asafirie nyota yake
 
Attachments

  • 20190922_100838.jpg
    20190922_100838.jpg
    81.6 KB · Views: 10
Back
Top Bottom