Mwigulu Nchemba, Zitto sio size yako

Mwigulu Nchemba, Zitto sio size yako

Haya tulinganishe CV, kati ya Mwigulu na Zito wakiomba kazi tuseme Goldmann Sachs kama Wachumi wakatuma resume zao, yupi hata ataitwa interview? I mean nini achievement ya Zito Kabwe ukiondoa Ubunge na social media?

Niwekeeni achievement moja tu ya Zito Kabwe hapa kuhusu Uchumi au hata tu thesis yake aliandika kuhusu nini? Na imepata award yoyote ile popote pale Dunia hii? Wekeni data hapa na siyo blah blah za instagram, facebook & Co. weka hapa Zito Kabwe ameachieve abc kwente Uchumi na amepata award xyz kuhusu jambo x mahali y.

Tunataka tuone intellectual achievements hapa!
Anza kuweka wewe achievement ya Mwigulu. Siyo mnatamba na ma PhD ya kuandikiwa na Lecturers wa UDSM baada ya kuwapa hela.
 
Mwigulu cv yake iko wazi alikuwa Benki Kuu ya JMTZ hilo peke yake linatosha, keshakuwa Waziri wa Mambo ya Ndani hii ni moja kati ya Wizara nyeti sana, na nimesikia ana PhD ila Zito Kabwe zaidi ya Ubunge sijui chochote zaidi ya kusikia mkimsifu kwamba ni Mchumi aliyebobea, sasa kuna ushahidi gani wa ubobezi wake wa uchumi labda?
 
Hana lolote ni njaa ndo inamsumbua !
Wasomi feki wengi nje ya siasa hawana lolote ndo maana wanajipendekeza hadi aibu ili Namba Moja awakumbuke!
Kwa wasiojua ni Zitto huyu ndo alisababisha huyu Mwigulu akapata Unaibu Waziri wa fedha enzi za Kikwete!
Ni hivi kuna kipindi fulani kiliwahi kurushwa ktk TV enzi za JK ambapo Zitto na Mwigulu walialikwa then kama unavyojua Zitto ni kichwa na very intelligent akamdhibiti Mwigulu na maporojo na maskafu yake akaishia kujisifia idadi za alama " A" alizopata kwenye degree yake!
JK akamwona na baadaye akamteua kuwa Naibu wa Fedha!
Sasa anataka tena kumtumia Zitto kwa kuwa anajua Zitto ni Smart sana na hata Namba moja na system yake yote inafuatilia kila kitu anachofanya Zitto hivyo huyu " power monger" anadhani kwa kutumia hii strategy ya kum- attack Zitto basi Namba Moja atamkumbuka tena eti anamtetea! Useless na powerless!
Kaa utulie ulidhani utakuwa Waziri milele game always changes bud!
Nakumbuka Juma Ponda Mali alishasema "amewasahau".
 
Haya tulinganishe CV, kati ya Mwigulu na Zito wakiomba kazi tuseme Goldmann Sachs kama Wachumi wakatuma resume zao, yupi hata ataitwa interview? I mean nini achievement ya Zito Kabwe ukiondoa Ubunge na social media?

Niwekeeni achievement moja tu ya Zito Kabwe hapa kuhusu Uchumi au hata tu thesis yake aliandika kuhusu nini? Na imepata award yoyote ile popote pale Dunia hii? Wekeni data hapa na siyo blah blah za instagram, facebook & Co. weka hapa Zito Kabwe ameachieve abc kwente Uchumi na amepata award xyz kuhusu jambo x mahali y.

Tunataka tuone intellectual achievements hapa!
Bila Media Huyo zito nani angemfahamu?
 
Inaonekana mganga wa Mwigulu Nchemba Madelu amemuambia kuwa ili Jiwe amkumbuke kwenye uteuzi basi awe anajibu twitter posts za Zitto Kabwe bila kushirikisha ubongo wake.

Waswahili wanasema kutembelea nyota. Kwa zaidi ya miezi mitatu nimemfuatilia huyu Mwigulu Nchemba ambaye ni mbunge wa Iramba nimegundua kuwa yeye binafsi hana mawazo yake, ila anasubiri Zitto Kabwe a-post ndipo aharishe utumbo wake. Halafu Mwigulu huchukua kalamu nyekundu na kupiga mkasi kwenye post ya Zitto kisha kuiandikia pumba zake kidogo.

Ila followers wa Twitter wamekuwa wanamdharau sana. Nimeileta humu kwa vile yeye humu yuko verified. Nataka nimuambie kuwa pamoja na PhD yake ya "kuokoteza" hawezi kuifikia intellectualism ya Zitto na mvuto na uwezo wa kujenga hoja na uthubutu wa Zitto Kabwe. Leave Zitto Kabwe alone, he is not your class.
Ana uwezo mdogo sana. Hivi unakuaje dokta halafu huwezi kuandika sentensi mbili za kiingereza zilizonyoka. Kabla ya kumkosoa zitto aende kwa ras simba kwanza akapigwe msasa
 
With much due respect to you Hon. Mwigulu, natambua kwa dhati ya moyo wako unatambua ya kuwa "this is a spoon and not spade" Wewe ni PhD holder, na tena una uwezo mkubwa sana ktk kufanya tafiti zenye ukweli ndani yake. Tafadhari sana, jitahidi kusimamia ukweli, kwa mtu mwenye hadhi yako hapaswi kufanya siasa za kijinga na rahisi kama za Msukuma na Kibajaji. Mjibu Mh. Zito kwa nondo zenye kushiba.
Hana uwezo huo.
 
Inaonekana mganga wa Mwigulu Nchemba Madelu amemuambia kuwa ili Jiwe amkumbuke kwenye uteuzi basi awe anajibu twitter posts za Zitto Kabwe bila kushirikisha ubongo wake.

Waswahili wanasema kutembelea nyota. Kwa zaidi ya miezi mitatu nimemfuatilia huyu Mwigulu Nchemba ambaye ni mbunge wa Iramba nimegundua kuwa yeye binafsi hana mawazo yake, ila anasubiri Zitto Kabwe a-post ndipo aharishe utumbo wake. Halafu Mwigulu huchukua kalamu nyekundu na kupiga mkasi kwenye post ya Zitto kisha kuiandikia pumba zake kidogo.

Ila followers wa Twitter wamekuwa wanamdharau sana. Nimeileta humu kwa vile yeye humu yuko verified. Nataka nimuambie kuwa pamoja na PhD yake ya "kuokoteza" hawezi kuifikia intellectualism ya Zitto na mvuto na uwezo wa kujenga hoja na uthubutu wa Zitto Kabwe. Leave Zitto Kabwe alone, he is not your class.
FB_IMG_1563979271204.jpg
 
Haya tulinganishe CV, kati ya Mwigulu na Zito wakiomba kazi tuseme Goldmann Sachs kama Wachumi wakatuma resume zao, yupi hata ataitwa interview? I mean nini achievement ya Zito Kabwe ukiondoa Ubunge na social media?

Niwekeeni achievement moja tu ya Zito Kabwe hapa kuhusu Uchumi au hata tu thesis yake aliandika kuhusu nini? Na imepata award yoyote ile popote pale Dunia hii? Wekeni data hapa na siyo blah blah za instagram, facebook & Co. weka hapa Zito Kabwe ameachieve abc kwente Uchumi na amepata award xyz kuhusu jambo x mahali y.

Tunataka tuone intellectual achievements hapa!
Labda award ya kushindwa kuunga sentensi ya kiingereza.
 
Now you are talking. Sio hizi porojo. Ndio mwigulu Ni CCM na wakati mwingine anazingua na mauccm yake lakin you just can't compare him with zzk
Wewe ni mpuuzi, Zitto ni level nyingine,Nationally and Internationally! Who is Mwigulu? PhD ni nini? MTU yeyote aweza kutulia akapata PhD .
 
Kama post hii Ni kujaribu kuaminisha watu kuwa zzk is better than mwigulu, binafsi sijaona la maana kwa zzk pia. So labda mleta Uzi tafuta wengine ufananishe..
Anzisha thread yako au nenda kule page za Mahusiano na Udaku, hii waachie Great Thinkers siyo upeo wako
 
Inaonekana mganga wa Mwigulu Nchemba Madelu amemuambia kuwa ili Jiwe amkumbuke kwenye uteuzi basi awe anajibu twitter posts za Zitto Kabwe bila kushirikisha ubongo wake.

Waswahili wanasema kutembelea nyota. Kwa zaidi ya miezi mitatu nimemfuatilia huyu Mwigulu Nchemba ambaye ni mbunge wa Iramba nimegundua kuwa yeye binafsi hana mawazo yake, ila anasubiri Zitto Kabwe a-post ndipo aharishe utumbo wake. Halafu Mwigulu huchukua kalamu nyekundu na kupiga mkasi kwenye post ya Zitto kisha kuiandikia pumba zake kidogo.

Ila followers wa Twitter wamekuwa wanamdharau sana. Nimeileta humu kwa vile yeye humu yuko verified. Nataka nimuambie kuwa pamoja na PhD yake ya "kuokoteza" hawezi kuifikia intellectualism ya Zitto na mvuto na uwezo wa kujenga hoja na uthubutu wa Zitto Kabwe. Leave Zitto Kabwe alone, he is not your class.

Yaani Mwigulu anajibu utumbo mpaka aibu !
 
Mwigulu cv yake iko wazi alikuwa Benki Kuu ya JMTZ hilo peke yake linatosha, keshakuwa Waziri wa Mambo ya Ndani hii ni moja kati ya Wizara nyeti sana, na nimesikia ana PhD ila Zito Kabwe zaidi ya Ubunge sijui chochote zaidi ya kusikia mkimsifu kwamba ni Mchumi aliyebobea, sasa kuna ushahidi gani wa ubobezi wake wa uchumi labda?
Yaani kuwa karani BOT unaona ndiyo CV ya kutisha?? Mtu aliyeajiriwa na Serikali baada ya kutoka chuo usimlinganishe na mtu aliyejiajiri kupitia ubongo wake. Zitto hajawahi kuajiriwa Serikalini lakini ni Mbunge wa jimbo analoliwakilisha kupitia elimu na ushawishi wake.

Huyo mwingine amekuwa spoon fed kufikia hapo. Angekuwa wa maana tungemuona yuko kwenye baraza kama akina Lukuvi.
 
Hivi wote tunaona Zitto ni mtu mwenye ubora sana, au kuna nini ktk nchi hii? Pamoja na kwamba hata vipofu wana mfalme, tuamini kwamba Zitto yuko kundi moja na wote hao waliojiona ni vijana wakati wa utawala wa JK. Hakuna anayestahili kuitwa ni bora kwa matumaini ya nchi.

Wewe ndio mwenye ubora au mawivu tu yamekukaba?

Kazi za advocacy za Zitto zinaonekana,wewe sasa?

Halafu you got the nerves to talk smack about him???

Really?
 
Kijana, Mwigule na Zitto wote ni watu makini kisiasa, na ukitaka ukweli Mwingule ni zaidi.

Mwigule angeanzisha chama chake ama angekuwa kwenye chama kidogo kama vilivyo vyama vya upinzani, ungemuona vingine. Kwani ni Rahisi kuonekana unapokuwa ndani ya chombo kilichokuwa na wachezaji kidogo na wenye maono mazuri ni wachache.

Bahati mzuri ama mbaya Mwigule yupo kwenye THE MOTHER OF ALL POLITICAL PARTIES IN AFRICA AND THE WORLD, ni ngumu ku shine pekee kama Zitto ACT ama Lissu Chadema nk...

Mwigule kwa namna anavyo shine CCM, inaonyesha he is a Master politician, sio kazi rahisi ndama ya chama kikubwa na chenye hazina nyingi sana.
Anaitwa Mwigulu mkuu sio Mwigule
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]chama cha wajinga unamaanisha??

Who is intelligent among ccm's
 
Back
Top Bottom