Mwigulu Nchemba, Zitto sio size yako

Stuxnet

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
10,510
18,210
Inaonekana mganga wa Mwigulu Nchemba Madelu amemuambia kuwa ili Jiwe amkumbuke kwenye uteuzi basi awe anajibu twitter posts za Zitto Kabwe bila kushirikisha ubongo wake.

Waswahili wanasema kutembelea nyota. Kwa zaidi ya miezi mitatu nimemfuatilia huyu Mwigulu Nchemba ambaye ni mbunge wa Iramba nimegundua kuwa yeye binafsi hana mawazo yake, ila anasubiri Zitto Kabwe a-post ndipo aharishe utumbo wake. Halafu Mwigulu huchukua kalamu nyekundu na kupiga mkasi kwenye post ya Zitto kisha kuiandikia pumba zake kidogo.

Ila followers wa Twitter wamekuwa wanamdharau sana. Nimeileta humu kwa vile yeye humu yuko verified. Nataka nimuambie kuwa pamoja na PhD yake ya "kuokoteza" hawezi kuifikia intellectualism ya Zitto na mvuto na uwezo wa kujenga hoja na uthubutu wa Zitto Kabwe. Leave Zitto Kabwe alone, he is not your class.
 
Attachments

  • 20190829_165457.jpg
    20190829_165457.jpg
    90.3 KB · Views: 56
Hana lolote ni njaa ndo inamsumbua !

Wasomi feki wengi nje ya siasa hawana lolote ndo maana wanajipendekeza hadi aibu ili Namba Moja awakumbuke!

Kwa wasiojua ni Zitto huyu ndo alisababisha huyu Mwigulu akapata Unaibu Waziri wa fedha enzi za Kikwete!

Ni hivi kuna kipindi fulani kiliwahi kurushwa ktk TV enzi za JK ambapo Zitto na Mwigulu walialikwa then kama unavyojua Zitto ni kichwa na very intelligent akamdhibiti Mwigulu na maporojo na maskafu yake akaishia kujisifia idadi za alama " A" alizopata kwenye degree yake!

JK akamwona na baadaye akamteua kuwa Naibu wa Fedha!

Sasa anataka tena kumtumia Zitto kwa kuwa anajua Zitto ni Smart sana na hata Namba moja na system yake yote inafuatilia kila kitu anachofanya Zitto hivyo huyu " power monger" anadhani kwa kutumia hii strategy ya kum- attack Zitto basi Namba Moja atamkumbuka tena eti anamtetea! Useless na powerless!

Kaa utulie ulidhani utakuwa Waziri milele game always changes bud!
 
Hivi wote tunaona Zitto ni mtu mwenye ubora sana, au kuna nini ktk nchi hii? Pamoja na kwamba hata vipofu wana mfalme, tuamini kwamba Zitto yuko kundi moja na wote hao waliojiona ni vijana wakati wa utawala wa JK. Hakuna anayestahili kuitwa ni bora kwa matumaini ya nchi.
 
Simfahamu Mwigulu zaidi ya uwaziri wake. Lakini, hata Zitto ni kapu tuu! He is like any in the local trash group.
Zitto ni Kiongozi Mkuu wa ACT ambacho ni chama cha upinzani. Size ya Zitto kwa mantiki hiyo ni JPM ambaye ni Mwenyekiti wa CCM.
 
Theory, eti! Sawa na kusema mimi ni raisi nina statehouse sawa na Trump. Hata ofisi hutofautiana. Hata wilaya hutofautiana. ACT ya Zitto iwe sawa na CCM ya Magufuli! Mtu ambaye alihama CHADEMA akitafuta kuwa mkuu wa chama na akaishia kuwa mbungu pekee wa chama, tena kwa kuachiwa na JK kwa sababu wazijuazo?
 
Unateseka kwani?? Hivyo ndivyo ilivyo atabaki kuwa Kiongozi wa chama chake kama alivyo bosi wenu.

Ukibisha nenda kamuulize Msajili wa Vyama vya siasa akupe status
 
Inaonekana mganga wa Mwigulu Nchemba Madelu amemuambia kuwa ili Jiwe amkumbuke kwenye uteuzi basi awe anajibu twitter posts za Zitto Kabwe bila kushirikisha ubongo wake.

Waswahili wanasema kutembelea nyota. Kwa zaidi ya miezi mitatu nimemfuatilia huyu Mwigulu Nchemba ambaye ni mbunge wa Iramba nimegundua kuwa yeye binafsi hana mawazo yake, ila anasubiri Zitto Kabwe a-post ndipo aharishe utumbo wake. Halafu Mwigulu huchukua kalamu nyekundu na kupiga mkasi kwenye post ya Zitto kisha kuiandikia pumba zake kidogo.

Ila followers wa Twitter wamekuwa wanamdharau sana. Nimeileta humu kwa vile yeye humu yuko verified. Nataka nimuambie kuwa pamoja na PhD yake ya "kuokoteza" hawezi kuifikia intellectualism ya Zitto na mvuto na uwezo wa kujenga hoja na uthubutu wa Zitto Kabwe. Leave Zitto Kabwe alone, he is not your class.
Kijana, Mwigule na Zitto wote ni watu makini kisiasa, na ukitaka ukweli Mwingule ni zaidi.

Mwigule angeanzisha chama chake ama angekuwa kwenye chama kidogo kama vilivyo vyama vya upinzani, ungemuona vingine. Kwani ni Rahisi kuonekana unapokuwa ndani ya chombo kilichokuwa na wachezaji kidogo na wenye maono mazuri ni wachache.

Bahati mzuri ama mbaya Mwigule yupo kwenye THE MOTHER OF ALL POLITICAL PARTIES IN AFRICA AND THE WORLD, ni ngumu ku shine pekee kama Zitto ACT ama Lissu Chadema nk...

Mwigule kwa namna anavyo shine CCM, inaonyesha he is a Master politician, sio kazi rahisi ndama ya chama kikubwa na chenye hazina nyingi sana.
 
Hebu nitajie mambo 5 tu yanayoonyesha Mwiguli kama anayo karama ya uongozi?

Kuwa nyota ndani ya CCM ukiweza kujikomba kwa Mwenyekiti ni rahisi na ndivyo alivyo panda Mwigulu. Zitto ni jeshi la mtu mmoja ambaye ameanza harakati za siasa kuanzia UDSM then akaingia CDM. Kapambana nfani ya CDM hadi alipokomaa na kuanzisha chama chake kama Kiongozi Mkuu. Huwezi ukamlinganisha na mtu anayepanda vyeo vya CCM kwa upendeleo.
 
Haya tulinganishe CV, kati ya Mwigulu na Zito wakiomba kazi tuseme Goldmann Sachs kama Wachumi wakatuma resume zao, yupi hata ataitwa interview? I mean nini achievement ya Zito Kabwe ukiondoa Ubunge na social media?

Niwekeeni achievement moja tu ya Zito Kabwe hapa kuhusu Uchumi au hata tu thesis yake aliandika kuhusu nini? Na imepata award yoyote ile popote pale Dunia hii? Wekeni data hapa na siyo blah blah za instagram, facebook & Co. weka hapa Zito Kabwe ameachieve abc kwente Uchumi na amepata award xyz kuhusu jambo x mahali y.

Tunataka tuone intellectual achievements hapa!
 
With much due respect to you Hon. Mwigulu, natambua kwa dhati ya moyo wako unatambua ya kuwa "this is a spoon and not spade" Wewe ni PhD holder, na tena una uwezo mkubwa sana ktk kufanya tafiti zenye ukweli ndani yake. Tafadhari sana, jitahidi kusimamia ukweli, kwa mtu mwenye hadhi yako hapaswi kufanya siasa za kijinga na rahisi kama za Msukuma na Kibajaji. Mjibu Mh. Zito kwa nondo zenye kushiba.
 
Back
Top Bottom