ngoja nim tag hapa asome Mwigulu NchembaInaonekana mganga wa Mwigulu Nchemba Madelu amemuambia kuwa ili Jiwe amkumbuke kwenye uteuzi basi awe anajibu twitter posts za Zitto Kabwe bila kushirikisha ubongo wake.
Waswahili wanasema kutembelea nyota. Kwa zaidi ya miezi mitatu nimemfuatilia huyu Mwigulu Nchemba ambaye ni mbunge wa Iramba nimegundua kuwa yeye binafsi hana mawazo yake, ila anasubiri Zitto Kabwe a-post ndipo aharishe utumbo wake. Halafu Mwigulu huchukua kalamu nyekundu na kupiga mkasi kwenye post ya Zitto kisha kuiandikia pumba zake kidogo.
Ila followers wa Twitter wamekuwa wanamdharau sana. Nimeileta humu kwa vile yeye humu yuko verified. Nataka nimuambie kuwa pamoja na PhD yake ya "kuokoteza" hawezi kuifikia intellectualism ya Zitto na mvuto na uwezo wa kujenga hoja na uthubutu wa Zitto Kabwe. Leave Zitto Kabwe alone, he is not your class.
Ulozi umekutawala kichwani hvyo ni kupiga ramli tu,pumbavu!Haya tulinganishe CV, kati ya Mwigulu na Zito wakiomba kazi tuseme Goldmann Sachs kama Wachumi wakatuma resume zao, yupi hata ataitwa interview? I mean nini achievement ya Zito Kabwe ukiondoa Ubunge na social media?
Niwekeeni achievement moja tu ya Zito Kabwe hapa kuhusu Uchumi au hata tu thesis yake aliandika kuhusu nini? Na imepata award yoyote ile popote pale Dunia hii? Wekeni data hapa na siyo blah blah za instagram, facebook & Co. weka hapa Zito Kabwe ameachieve abc kwente Uchumi na amepata award xyz kuhusu jambo x mahali y.
Tunataka tuone intellectual achievements hapa!
Now you are talking. Sio hizi porojo. Ndio mwigulu Ni CCM na wakati mwingine anazingua na mauccm yake lakin you just can't compare him with zzkHaya tulinganishe CV, kati ya Mwigulu na Zito wakiomba kazi tuseme Goldmann Sachs kama Wachumi wakatuma resume zao, yupi hata ataitwa interview? I mean nini achievement ya Zito Kabwe ukiondoa Ubunge na social media?
Niwekeeni achievement moja tu ya Zito Kabwe hapa kuhusu Uchumi au hata tu thesis yake aliandika kuhusu nini? Na imepata award yoyote ile popote pale Dunia hii? Wekeni data hapa na siyo blah blah za instagram, facebook & Co. weka hapa Zito Kabwe ameachieve abc kwente Uchumi na amepata award xyz kuhusu jambo x mahali y.
Tunataka tuone intellectual achievements hapa!
Haya tulinganishe CV, kati ya Mwigulu na Zito wakiomba kazi tuseme Goldmann Sachs kama Wachumi wakatuma resume zao, yupi hata ataitwa interview? I mean nini achievement ya Zito Kabwe ukiondoa Ubunge na social media?
Niwekeeni achievement moja tu ya Zito Kabwe hapa kuhusu Uchumi au hata tu thesis yake aliandika kuhusu nini? Na imepata award yoyote ile popote pale Dunia hii? Wekeni data hapa na siyo blah blah za instagram, facebook & Co. weka hapa Zito Kabwe ameachieve abc kwente Uchumi na amepata award xyz kuhusu jambo x mahali y.
Tunataka tuone intellectual achievements hapa!
Huko ulikotaja wanajali uwezo kuliko vyeti. Mahali pasipo na upendeleo ni ngumu sana Mwigulu kupata nafasi. Zito ana uwezo hahitaji upendeleo, japo naye haaminiki.
Huo uwezo wataujuaje bila ya vyeti? Achievements huwa hazijifichi, msijidanganye!
Huko kunahitajika vyeti vya aina moja tu? Kila mtu ataingia kwa vyeti vyake, lakini utendaji utakapoanza hapo ndio chuya zitaanza kujitenga na mchele.
Hana lolote ni njaa ndo inamsumbua !
Wasomi feki wengi nje ya siasa hawana lolote ndo maana wanajipendekeza hadi aibu ili Namba Moja awakumbuke!
Kwa wasiojua ni Zitto huyu ndo alisababisha huyu Mwigulu akapata Unaibu Waziri wa fedha enzi za Kikwete!
Ni hivi kuna kipindi fulani kiliwahi kurushwa ktk TV enzi za JK ambapo Zitto na Mwigulu walialikwa then kama unavyojua Zitto ni kichwa na very intelligent akamdhibiti Mwigulu na maporojo na maskafu yake akaishia kujisifia idadi za alama " A" alizopata kwenye degree yake!
JK akamwona na baadaye akamteua kuwa Naibu wa Fedha!
Sasa anataka tena kumtumia Zitto kwa kuwa anajua Zitto ni Smart sana na hata Namba moja na system yake yote inafuatilia kila kitu anachofanya Zitto hivyo huyu " power monger" anadhani kwa kutumia hii strategy ya kum- attack Zitto basi Namba Moja atamkumbuka tena eti anamtetea! Useless na powerless!
Kaa utulie ulidhani utakuwa Waziri milele game always changes bud!
Kiwango chake cha kujipendekeza kinatia kinyaa hata familia yake. Anadhani atayeuliwa tena kuwa Waziri kama Simbachawene
Usijidanganye, hakuna kitu kama hicho, ili hata ufikiriwe na kuitwa kwenye interview ni lazima upitie mchujo, na huo mchujo bila ya vyeti na cv kuonyesha ulichofanya so far, huchomoi hata raundi ya kwanza.
Mbona unamtupia mtawala na mfalme wa reggae music duniani(Lucky Dube) hapa JF tena Mzee Baba?
Ni kwamba unadhani hayo mambo hatuyajui ww tu ndio unayajua ama?
Zitto ni mjinga kuliko watu wote unaodhani ni mjinga. Maana angekuwa mwerevu asingehangaika na siasa zake za kipuuzi. Watanzania wengi ni waelewa na huwa hawataki makelele but they see everything na at the end of the day hataamini.Inaonekana mganga wa Mwigulu Nchemba Madelu amemuambia kuwa ili Jiwe amkumbuke kwenye uteuzi basi awe anajibu twitter posts za Zitto Kabwe bila kushirikisha ubongo wake.
Waswahili wanasema kutembelea nyota. Kwa zaidi ya miezi mitatu nimemfuatilia huyu Mwigulu Nchemba ambaye ni mbunge wa Iramba nimegundua kuwa yeye binafsi hana mawazo yake, ila anasubiri Zitto Kabwe a-post ndipo aharishe utumbo wake. Halafu Mwigulu huchukua kalamu nyekundu na kupiga mkasi kwenye post ya Zitto kisha kuiandikia pumba zake kidogo.
Ila followers wa Twitter wamekuwa wanamdharau sana. Nimeileta humu kwa vile yeye humu yuko verified. Nataka nimuambie kuwa pamoja na PhD yake ya "kuokoteza" hawezi kuifikia intellectualism ya Zitto na mvuto na uwezo wa kujenga hoja na uthubutu wa Zitto Kabwe. Leave Zitto Kabwe alone, he is not your class.
Kwani Mwigulu ana nini amachoweza kuonyesha kama deliverables zake binafsi? Usiseme nafasi ya Naibu Waziri Fedha au Waziri Mambo ya Ndani maana hata Simbachawene aliyekuwa Kondakta wa mabasi ya Dodoma-Mpwapwa ni WaziriNow you are talking. Sio hizi porojo. Ndio mwigulu Ni CCM na wakati mwingine anazingua na mauccm yake lakin you just can't compare him with zzk