Huyo ni janga la taifa anacheza na hela za watz hana lolote. Ee Mungu tusaidie maana huyu jamaa alisema anao ushadi na atauleta ujue wewe Nchemba Mungu hayupo mbali nawe anakusikia matendo na maneno yako ila hapa hapa duniani ndo utayajibu yote haya. wait and see
sina hakika mkuu, ila nijuavyo mie ni kuwa kuna mwaliko wa kichama uliletwa toka kwa mtawala wa nchi hiyo. akitoka huko ataelekea sweden na mwisho atamalizia ufaransa. yote ni mialiko ya kimkakati zaidi.
ndugu wana jf. Jina langu mimi ni Elineema Mosi. kuna mambo mengi sana kuhusu sintofahamu ya kupotea kwa Mh Mwigulu Mchemba hadi kupelekea wengine kuzusha mengi? kwakuwa yeye ni member naomba aje hapa ili tujue ukweli wa mambo?

Ameenda China kumalizia mipango yao ya wizi wa kura 2015 ambayo aliianzisha kinana na akimaliza anahamia kwenye mipango na kutafuta soko la kuuza pembe za ndovu kutoka katika hazina ya Taifa ili wapate fedha za uchaguzi 2015 kwa msafirishaji yupo hakuna utata kwa hilo la usafiri(Kinana)
ndugu wana jf. Jina langu mimi ni Elineema Mosi. kuna mambo mengi sana kuhusu sintofahamu ya kupotea kwa Mh Mwigulu Mchemba hadi kupelekea wengine kuzusha mengi? kwakuwa yeye ni member naomba aje hapa ili tujue ukweli wa mambo?
Kwani hata bungeni haonekani? Subiri kidogo atatokea baada ya kukamilisha video mpya.
Halafu mbona umejitambulisha kama upo kwenye semina? Na huyo jonathan1983 ni nani? Lol!