myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,141
duh! neno jipya, "tapeli la siasa!"Mkuu. Kumbuka mtu muongo huwa hana kumbukumbu ya kile alichodanganya hata kama ingekuwa ndani ya dakika 10 lazima asahau alichokisema maana ni uongo. Hiyo ni sifa mojawapo ya mtu muongo.
Mwigulu ni tapeli la kisiasa. Amesahau kuwa tunajua alifeli darasa la saba na badala yake akanunua jina la mtu aliyekuwa amefaulu aitwaye Mwigulu.
Bala!!Wewe ndo unatakiwa ueleze kama alifanya nini baada ya kumaliza 'Masters'...
Yeye kaeleza anachokiona ni ukweli sasa wewe kama unaona ni uongo ueleze ukweli ukoje....
Sina uhakika kama wewe(kama unafanya kazi) mara tu baada ya kumaliza masomo yako moja kwa moja ulianza kazi pasipo kusubiri mtaani...
Mkuu. Kumbuka mtu muongo huwa hana kumbukumbu ya kile alichodanganya hata kama ingekuwa ndani ya dakika 10 lazima asahau alichokisema maana ni uongo. Hiyo ni sifa mojawapo ya mtu muongo.
Mwigulu ni tapeli la kisiasa. Amesahau kuwa tunajua alifeli darasa la saba na badala yake akanunua jina la mtu aliyekuwa amefaulu aitwaye Mwigulu.
Mkuu wangu Bukyanagandi.Mkuu mbona unatuchanganya? Hasa hasa unachotaka kueleza wana JF ni nini, hapa naona unauma na kupuliza - hivi Lameck as person una bifu nae au?
truth spoken.... I then salute youWatanzania (hasa vijana) ni rahisi kudanganyika sana. Uwezo wa kufikiri na uelewa wa vijana wengi wa kitanzania ni mdogo sana ndugu yangu, wala usiangaike. Hakuna taasisi yoyote itakayokufadhili masomo, then unapomaliza ukae mtaani. (haipo) make mpaka wakupeleke nafasi tayari ipo, na bajeti yake ilishatengwa tayari. (Mimi nina uzoefu huo kwani nimepitia mchakato huo).
Hapo alikuwa anawakebehi tu vijana wasio na ajira ili wamuone mwenzao. Lakini kwa akili ndogo tu utajua ni usanii (kama wewe ulivyoliona).
Onesha hilo bifu.... Msikwepe hoja kwa kutumia hoja ya nguvu
swali ni je, amebebe zege? na inaonekana alipomaliza 'masters' aliajiriwa BoT moja-kwa-moja!
Na wewe unapinga kuwa Mwigulu Nchemba hakubeba zege?Onesha hilo bifu.... Msikwepe hoja kwa kutumia hoja ya nguvu
Zege mbona unaweza kubeba mda wowote hata ukiwa Rais? Mbona kinana alibeba matofali? Kubeba zege siyo issue unaaamua tu saa yoyote unabeba.
Jana ulikuwa wapi wewKwani alieleze specifically alibeba zege baada ya bachelor au kabla ya kupata bachelor?
kwa udhamini alopata kutoka BoT, ajira ni uhakika baada ya kumaliza kusoma.Wewe ndo unatakiwa ueleze kama alifanya nini baada ya kumaliza 'Masters'...
Yeye kaeleza anachokiona ni ukweli sasa wewe kama unaona ni uongo ueleze ukweli ukoje....
Sina uhakika kama wewe(kama unafanya kazi) mara tu baada ya kumaliza masomo yako moja kwa moja ulianza kazi pasipo kusubiri mtaani...