Mwigulu nchemba uko wapi?

Magenge na vibanda vya mtaani vinawachanganya sana watu akili ndio maana wanaropoka bila kujua nini kinatokka mdomoni
 
hili halina ubishi chadema wameua mwanairamba, wamekwenda iramba kwa ajili ya hasira baada ya mbunge wa iramba kuwaumbua kuhusu bajeti aliyoichana na kuitupa kuwa ilikuwa takataka na kuwaumbua ukabila kuwa wanakaa bungen kama sebulen kama wako kwenye kikao cha uko; pia na gari alilochukua kiongoz wa kambi ya upinzan kinyemela
 
Mods mbona kauli humu zimekua misumero? Watu wana tusi lakini free tu. Sasahivi naeshimu JFmaana jana ndio nili-resume baada ya ban ya mwezi mmoja.
 
Kwanini asiulizwe Mwita Mwikabe aliyeua.?

Mtu anakuchokoza we umetulia tu, anakugusa jicho bado umetulia tu. Akikuingizia kidole kwenye t.a.k.o lazima uta re-act mkuu tuache kupotosha. Kwa mauaji na vurugu za Ndago wa kulaumiwa ni Polisi, CCM na Mwigulu LM Nchemba.
 
Last edited by a moderator:
Mtu anakuchokoza we umetulia tu, anakugusa jicho bado umetulia tu. Akikuingizia kidole kwenye t.a.k.o lazima uta re-act mkuu tuache kupotosha. Kwa mauaji na vurugu za Ndago wa kulaumiwa ni Polisi, CCM na Mwigulu LM Nchemba.

Ninyi mnastori yenu, na simu ya mchina zina picha zenye stori yao, mtaenda kuzipima mahakamani.
 
Last edited by a moderator:
mwigulu anawapeleka puta mpaka mkome wehu nyie,mnajifanya wajuaji sana nyie,moshi imewashinda,arusha imewashinda mtaiweza singida?watu wa singida sio wajinga na mtazidi kuaibika mangi wakubwa nyie

Mkuu rais wa migomo una hasira sana na wachagga?
 
Last edited by a moderator:
Mnyika hana lolote,uchaga unamuwasha tu yule.

we rais wa migomo onyesha kidogo kuwa ni gt hata kwa mambo madogo,mnyika kawa mchaga kuanzia lini na kwenyee huo mkutano hakuna aliyeuwawa hapo huyo jamaa kauawa kwenye nyumba ya kada wa ccm na sababu mpaka sasa polisi ndio wanaijua.
 
Juzi apa mmesababisha mgomo wa mabasi moshi kwa uchaga wenu leo mnajifanya mwaenda iramba na bado ndoa hamziwezi nchi mtaiweza?

Mods wengine ni watu wazima sasa kila post kusoma matusi nadhani si hadhi yetu .Huyu kijana kwa matusi haya maana Chadema hawaungwi mkono na wachaga pekee hata sisi Iringa gadi Mbeya tuko Chadema sasa si haki ninaomba afungiwe huyu kwa miezi 5
 

hayo ndio aliyotumwa na wapiga kura wake?
 

Walaniwe mara mbili? Damu ya hao marehemu aliowachuuza haitapotea bure kwani bila uhuni wake maafa yasingetokea na hizo nisiasa za kizamani enzi ya idd amini anauwa wanajeshi wake iliwaonkane wameuawa na wa-tz !!!!!!
 
Mods wengine ni watu wazima sasa kila post kusoma matusi nadhani si hadhi yetu .Huyu kijana kwa matusi haya maana Chadema hawaungwi mkono na wachaga pekee hata sisi Iringa gadi Mbeya tuko Chadema sasa si haki ninaomba afungiwe huyu kwa miezi 5

Anayeogelea uchagga na udini kwenye cdm ni mwendawazimu na ni wendawazimu wenzake ndiyo wanaweza kumsikiliza na siyo watu wenye akili timamu kama mimi CHADEMA NI CHAMA CHA KITAIFA NA USHAHIDI NI JE KINMPANDA NI UCHAGANI? AU WALIHUDHURIA MKUTANO HUO NI WAKRISTO TU???? TUMIENI AKILI KUFIKIRI NA SIYO KUTUMIA MASABURU KUFIKIRI TUMECHOKA NA PROPAGANDA ZA KICHOVU
 
Mwigulu ndo muhusika mkubwa huyo mtumwa wa ccm.
 
Mzee wa disko joker ie mwenyekiti alikuwepo?au yuko bilicanas kukusanya mauzo ya pombe,

katika inchi biashara ya pombe ndiyo inayoongoza kwa kulipa kodi kubwa sana na ndioo maana bajeti ya serikali ya magamba ambayo ni dhaifu inapandisha bei ya pomba.sidhani kama unalijua hilo,naona umekalia unafiki na majungu tu nyambafuu wewe!!!!!
 
Nyie wachaga mnaenda kuua watu singida kwa uroho wenu wa madaraka ee ,sasa mtakiona cha mtema kuni wafu nyie,huyo madevu mwita lazima anyee debe

Waroho wa madaraka ya nchi gani?. wanayo iongoza na hawataki kuachia madaraka kwa sababu ya uroho wa madaraka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…