Mwigulu Nchemba: Tuhuma dhidi yangu hazina ukweli wowote

Mwigulu ana vituko kama Nape............ sijui kwanini CCM wameamua kuchukua falsafa ya miaka ya arobaini kwa vijana wao

They puke nonsense kwakweli
 
Watu wengine bwana,sijui wanadhani JF kuna wajinga kiasi cha kujiunga leo leo na kujiwekea mazingira mazuri kumbe ni MAGAMBA waliokubuhu.
Tafuta style nyingine hii imeshindwa,Iramba hesabuni siku tu na muombe Mungu awaepushe na Mwigulu.

Joseph naheshimu sana article zako na hii nimojawapo. Sisi Irambians tunataka mbunge ambaye atatuletea maendeloe regardless ya chama chake. Kwa sasa si tumempa Nchemba? Basi tutampima kwa jinsi atakavyotatua kero zetu. Akishindwa tutampa mwingine bila kujali ideology yake. Sasa siasa za kutugawa kipindi hiki ambacho tunataka maendeleo hatuwezi tukakaa kimya bila kuwekana sawa.
 
Acha kutapatapa Mwigulu ,naona umeamua kufungua ID mpya na kujisafishia njia.Huo ni woga wa kifikra usio na tija wala mwekekeo na haiba ya kiongozi mwenye malengo mema na nchi.Mara zote wewe ni mtu wa kujisifia kujiona kuwa unauelewa mkubwa sana wa mambo ili hali sio,funguka Mmenye unatumbukia shimoni.
 
mkuu huchoki??

jaribu basi kukubali unapokosea mkuu!!!
 
Au unataka ban? Hivi economist ni majigambo au??

Au mlikuwa mnapikia majani kwa mboga enzi za Lameck Madelu primary???
 
Sawa "first class economist".

Jamaa aliji-expose kweli.

First class economist anajiona anatetea treasury yetu kwa kusema haina hata foreign currency reserves za miezi sita.

Inaonyesha mbabaishaji hajui hata first principles za reserves ambazo hata sie tusio economist tunadonoa donoa WSJ tu.

Huyu mbabaishaji ndiye anaelezewa hapa kwamba "Mbunge pamoja na kwamba Chama kimempa majukumu ya kutunza fedha za chama ambayo kwake ni mepesi kutokana na taaluma yake ya uchumi na uzowefu wake pale BOT"

Huyu mpuuzi asiyejua wapi pa kusema na wapi pa kufunga bakuli?

First class economist indeed!
 
"Mbunge pamoja na kwamba Chama kimempa majukumu ya kutunza fedha za chama ambayo kwake ni mepesi kutokana na taaluma yake ya uchumi na uzowefu wake pale BOT"

Watanzania mbona tunaroho za korosho? Sasa hapo umekereketwa na nini?
 
Yangtze
Join Date : 26th May 2012
Posts : 1
Rep Power : 0
Likes Received: 1
Likes Given: 2

Check hiyo Deep Green, naona jamaa ameamua kuja kivingine, hahaha...ndiyo viongozi wetu hawa..haha..Naona watu mmeshashtuka zamani, safi sana.

usipate tabu kuweka details soma heading tu utajua ni mwenyewe aliyejiandika.
 
Watanzania mbona tunaroho za korosho? Sasa hapo umekereketwa na nini?

Swala si roho ya korosho. Hii habari ya "roho ya korosho" inatumika sana kuzima hoja za muhimu zinazoletwa hapa.

Hujajibu hoja ya msingi kwamba huyu mtu unayemsema kuwa ni nguli wa mambo ya kutunza fedha, ame ji expose hapa kwa kutetea kwamba hazina yetu ina fedha za kigeni za kutosha, akataja mpaka namba ya miezi hazina hii inayoweza kutukidhi.

Watu tukaangalia tukaona miezi aliyoitaja haijafikia miezi sita inayokubalika kimataifa. Kwa maneno mengine, alichofanya ni kuthibitisha maneno ya Zitto Kabwe kwamba hazina haina akiba ya kutosha, huku akifikiri kwamba anazima hoja hii.

Huyu mtu asiyejua hazina inatakiwa kuwa na akiba ya fedha za kigeni za kutukidhi kwa miezi mingapi, despite kujinadi kama "first class economist" na kufanya kazi BOT, ndiye huyu huyu unayemnadi hapa kama nguli wa mambo ya utunzaji wa fedha za umma?

Au kuna Mwigulu Nchemba (mbunge) mwingine?

Kama kuna mtu ana "roho ya korosho" hapa ni wewe unaye label a genuine criticism kama "roho ya korosho".
 
Acha kutapatapa Mwigulu ,naona umeamua kufungua ID mpya na kujisafishia njia.Huo ni woga wa kifikra usio na tija wala mwekekeo na haiba ya kiongozi mwenye malengo mema na nchi.Mara zote wewe ni mtu wa kujisifia kujiona kuwa unauelewa mkubwa sana wa mambo ili hali sio,funguka Mmenye unatumbukia shimoni.

Naona na wewe umeingia kwenye kundi la wapiga ramli! sasa hili na wewe utajiita great thinker?
 
Watanzania mbona tunaroho za korosho? Sasa hapo umekereketwa na nini?
Unaona sasa, huu ndio umbilikimo wa mawazo!!! Watu wanongea hoja wewe unaleta mambo ya vikorosho... WHY DOES IT ALWAYS HAVE TO GO THIS WAY?? hivi hakuna hata ccm wachache waliobaki wenye upeo kwa kujadili hoja ??
 
Swala si roho ya korosho. Hii habari ya "roho ya korosho" inatumika sana kuzima hoja za muhimu zinazoletwa hapa.

Hujajibu hoja ya msingi kwamba huyu mtu unayemsema kuwa ni nguli wa mambo ya kutunza fedha, ame ji expose hapa kwa kutetea kwamba hazina yetu ina fedha za kigeni za kutosha, akataja mpaka namba ya miezi hazina hii inayoweza kutukidhi.

Watu tukaangalia tukaona miezi aliyoitaja haijafikia miezi sita inayokubalika kimataifa. Kwa maneno mengine, alichofanya ni kuthibitisha maneno ya Zitto Kabwe kwamba hazina haina akiba ya kutosha, huku akifikiri kwamba anazima hoja hii.

Huyu mtu asiyejua hazina inatakiwa kuwa na akiba ya fedha za kigeni za kutukidhi kwa miezi mingapi, despite kujinadi kama "first class economist" na kufanya kazi BOT, ndiye huyu huyu unayemnadi hapa kama nguli wa mambo ya utunzaji wa fedha za umma?

Au kuna Mwigulu Nchemba (mbunge) mwingine?

Kama kuna mtu ana "roho ya korosho" hapa ni wewe unaye label a genuine criticism kama "roho ya korosho".

Sasa hapa umefunguka vizuri! Labda niseme hivi, Nchemba hakusema kwamba akiba ya fedha za kigeni ni nyingi kupindukia, bali alionesha kumshangaa mchumi mwenzake (Zitto) kushindwa kuwasiliana na wahusika wa BOT wampe figure kamili ya foreign currency. Matokeo yake Zito alikwenda kwenye unupdated BOT website akakosa current info alizozitaka then akahamua kupiga ramli. Ramli ikamwambia kwamba kama kwenye web hakuna current info basi maana yake akiba ya kigeni imekauka..which is not true! Sasa Nchemba alipoona habari kwamba akiba ya kigeni imekauka akawasiliana na wahusika, wakapa figure, then akaiweka hewani ingawaje aliiweka huku akimponda Zitto kiaina. Sasa nadhani hakujua Zitto ni kipenzi cha wengi na hutetewa hata anapokosea hivyo dhahama ndio ikamuangukia..na wewe ni shahidi ktk hili kwani bado unaliendeleza...
 
Yangtze........ umejisajili leo, tayari unahoji wazee wa siku nyingi "ati na wewe umejiunga na wapiga ramli" kama ni mgeni ulijuaje yupi ni yupi JF?? Tatizo la Mwigulu ni zile laana za kufakamia mke wa ustaadh, tangu afanye lile basi siku hizi anaropokwa tu YANGTZE = Yang Tanzania Economist [Grade ya chini kabisa wahed]
 
Unaona sasa, huu ndio umbilikimo wa mawazo!!! Watu wanongea hoja wewe unaleta mambo ya vikorosho... WHY DOES IT ALWAYS HAVE TO GO THIS WAY?? hivi hakuna hata ccm wachache waliobaki wenye upeo kwa kujadili hoja ??

Does this has anything to do with development of Irambians?
 
Sasa hapa umefunguka vizuri! Labda niseme hivi, Nchemba hakusema kwamba akiba ya fedha za kigeni ni nyingi kupindukia, bali alionesha kumshangaa mchumi mwenzake (Zitto) kushindwa kuwasiliana na wahusika wa BOT wampe figure kamili ya foreign currency. Matokeo yake Zito alikwenda kwenye unupdated BOT website akakosa current info alizozitaka then akahamua kupiga ramli. Ramli ikamwambia kwamba kama kwenye web hakuna current info basi maana yake akiba ya kigeni imekauka..which is not true! Sasa Nchemba alipoona habari kwamba akiba ya kigeni imekauka akawasiliana na wahusika, wakapa figure, then akaiweka hewani ingawaje aliiweka huku akimponda Zitto kiaina. Sasa nadhani hakujua Zitto ni kipenzi cha wengi na hutetewa hata anapokosea hivyo dhahama ndio ikamuangukia..na wewe ni shahidi ktk hili kwani bado unaliendeleza...

Mkuu naona unahangaika kujiweka kama third party lakini inabana kweli............ pumzisha maini:A S 114:
 
Back
Top Bottom