Mwigulu Nchemba ndani ya Tano bora CCM

Mwigulu Nchemba ndani ya Tano bora CCM

Hii habari ameandika mwigulu mwenyewe na kuwapa Mwananchi waichapishe tuu!
 
Mwigulu nchemba hana hata chembe ya uchafu ukilinganisha na watangaza nia wengi...miongoni mwa vijana naona hana mpinzani kwa utendaji wake mzuri pia....kizazi cha sasa kinahitaji mtu makini kama yy nazani anastahili...
 
Naona mwigulu nchemba aking'ara 3 bora,nitafurahi sana maana UKOMBOZI utakua umepatikana..
 
KUELEKEA 5 BORA NDANI YA CCM,GAZETI LA MWANANCHI LIMEFANYA UPEMBUZI YAKINIFU KWA KUNDI LA VIJANA AMBAO WANAWEZA PENYA 5 BORA.
MWIGULU ANAKWENDA TANO BORA.


Chanzo: Mwananchi[/B]

Lowasa fisadi.

Mwigulu Nchemba ndani ya Tatu bora ccm

Mwigulu Nchemba ni mwadilifu, mwaminifu, mwajibikaji na mzalendo wa kweli ndani ya Taifa letu.

Duu kofia na urais wapi na wapi?

Ndio nini!!!!!!!!!

Watch "TUNAIMANI NA WEWE MWIGULU NCHEMBA(Rose Muhando,Upendo Nkone,Mwaitege,Mwaipaja n.k)" on YouTube - https://youtu.be/VIBt_u8-KOQ

Watch "PART 1:MWIGULU NCHEMBA ALIVYOCHUKUA FOMU YA KUWANIA URAIS WA TANZANIA" on YouTube - https://youtu.be/X5MjYwcro54

Kundi la Vijana

Kundi la vijana limeweka changamoto kubwa kwenye uchaguzi wa CCM mwaka huu, likiongozwa na makada kama January Makamba, William Ngeleja, Dk Mwele Malecela, Luhaga Mpina, Dk Hamisi Kigwangalla, Mwigulu Nchemba na Lazaro Nyalandu na baadhi ambao si maarufu na wengine hawana sifa zinazotakiwa kikatiba.

Nchemba ndiye anaongoza kwa kupewa nafasi katika kundi hili la vijana na kuna uwezekano akaingia tano bora. Alijiuzulu nafasi ya Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara ili ajikite kwenye mbio hizo za urais.

Kwa kutumia nafasi yake, ameweza kujijenga ndani ya CCM huku misimamo yake wakati wa sakata la escrow, Bunge la Katiba na udhibiti wa matumizi ya Serikali vikimpatia umaarufu ndani ya chama hicho.

Pia, yupo January Makamba ambaye amekuwa mwandishi wa hotuba wa Rais kabla ya kugombea ubunge wa Jimbo la Bumbuli na baadaye kuteuliwa kuwa Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia.

Makamba ameeleza bayana kuwa CCM inahitaji fikra mpya na hivyo kutakiwa kuongozwa na kijana ambaye atafanya mageuzi. Lakini alianza kukosolewa mara tu alipotangaza nia, huku Rais Kikwete akieleza kushtushwa na taarifa hizo. Dk Kigwangalla ni kijana mwingine mwenye kuthubutu, lakini wachambuzi wanasema muda wake kuwa kiongozi wa nchi bado haujafika, anahitaji kupikwa kwanza. Vivyo hivyo, kwa mbunge Luhaga Mpina ambaye kiukweli bado hajafahamika miongoni mwa wajumbe wengi ndani ya CCM.

Mwananchi Leo

umevurugwa mkuu.

Kwani Hayati Baba wa Taifa aliongoza Taifa hili akiwa na uzoefu upi!!!!

Hakika Anastahili huyu kiongozi mzalendo

Robert PR

Mwigulu anaweza sana

Hakuna aliye na uzoefu na Urais
Mwigulu Nchemba Atatuvusha 2015-2025

Mabadiliko Ni Vitendo, Wakati Ni Sasa 2015-2025
Acha kufikiri kwa tumbo

Tuna imani nae Mwigulu Nchemba, Atatuvusha

Mwigulu Nchemba Tunamwamini, Tunamuunga Mkono, Tupo nyuma yake
ATATUVUSHA

Mwigulu Nchemba Rais Aliyependekezwa 2015-2025

Mwigulu Nchemba ni kiongozi asiyependa makuu
Ni kiongozi anayeishi katika kauli zake
Ni kiongozi Mwadilifu, Mchapakazi, mwajibikaji, mzalendo na mwenye maono thabiti

Mwizi!!!!!!!
acer, Robert PR, Mtela Mwampamba, kafuteni uchafu wa mazingira mliofanya kwenye barabara kuu zote.

Poleni mlidhani mmelamba dume kumbe makapi.

Mwigulu alijiharibia kwa sasa za kubambikizia kesi watu. Hiyo itamfuata popote pale.

Mwigulu will never be a President! Hutaki shauri yako.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom