Mwigulu Nchemba ndani ya Tano bora CCM

Mwigulu Nchemba ndani ya Tano bora CCM

KUELEKEA 5 BORA NDANI YA CCM,GAZETI LA MWANANCHI LIMEFANYA UPEMBUZI YAKINIFU KWA KUNDI LA VIJANA AMBAO WANAWEZA PENYA 5 BORA.
MWIGULU ANAKWENDA TANO BORA.

Chanzo: Mwananchi[/B]

Hakika Anastahili huyu kiongozi mzalendo
 
Kwani Hayati Baba wa Taifa aliongoza Taifa hili akiwa na uzoefu upi!!!!

usilinganishe enzi za mwalimu ambazo walinganifu nae si kama waliopo sasa kwenye competetion ya sasa.
ukumbuke kuna watu zamani pia waliajiriwa wakiwa na elimu ya form 4 au 6 ..haitahalalisha zama za leo zenye competition ya elimu na uzoefu
 
Hakuna aliye na uzoefu na Urais
Mwigulu Nchemba Atatuvusha 2015-2025
 
Mwigulu amejitosheleza na ana sifa zote za kuiongoza ccm na Tanzania,tuachane na kuchagua kwa mazoea,ili tubadilike Tanzania tunahitaji kiongozi mwenye uthubutu asiye na woga na powerful kama mwigulu mm kura yangu ni 100 kwa 100 kwake...mungu ambariki sana...
 
Mhmhmhmhmhmhmhmh
 
Promo tu hiyo! mtu hajawahi kuwa waziri kamili (ni naibu tena miezi michache tuu)apewe urahisi.utamlinganishaje mwigulu na Samwel Sita aliyeshika uwaziri kamili tangu enzi za mwalimu.

Kigwa hajawahi hata kupewa dhamana ya uwazi hata ya unaibu, hawezi kabidhiwa nchi.

January amewahi kuifanyia nchi hii kitu gani cha kihistoria na ajabu (unique) katika nchi hii???? MB 8 zilimshinda ataweza wananchi mil 40.after all hajawahi hata kuwa waziri kamili

Mabadiliko Ni Vitendo, Wakati Ni Sasa 2015-2025
Acha kufikiri kwa tumbo
 
Hakika Anastahili huyu kiongozi mzalendo

  • "Dk Magufuli, ambaye ameingia kwa mara ya kwanza kwenye mbio za urais, ndiye anayeweza kushangaza wengi iwapo atapitishwa na Kamati Kuu kwenda kupigiwa kura. Rekodi ya utendaji wake ni bayana na karibu mawaziri 10 waliochukua fomu wametumia ujenzi wa miundombinu ya usafiri kuwa ni mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Nne ambayo alihusika"

    Chanzo: Mwananchi.
    ​

LOWASSA anatosha, ni mchapakazi, anaweza, na watanzania tunamuamini.
 
Ccm msipompitisha makongoro madudu yatakayo kuja kutokea hatutakuwa na wakumlaumu zaidi yenu maana mako akipitishwa hana haja ya kufanya kampeni na atashinda kwa zaidi ya 60%
 
Mwigulu Nchemba Tunamwamini, Tunamuunga Mkono, Tupo nyuma yake
ATATUVUSHA
 
Ccm msipompitisha makongoro madudu yatakayo kuja kutokea hatutakuwa na wakumlaumu zaidi yenu maana mako akipitishwa hana haja ya kufanya kampeni na atashinda kwa zaidi ya 60%

Mwigulu Nchemba Rais Aliyependekezwa 2015-2025
 
LOWASSA anatosha, ni mchapakazi, anaweza, na watanzania tunamuamini.

Mwigulu Nchemba ni kiongozi asiyependa makuu
Ni kiongozi anayeishi katika kauli zake
Ni kiongozi Mwadilifu, Mchapakazi, mwajibikaji, mzalendo na mwenye maono thabiti
 
Promo tu hiyo! mtu hajawahi kuwa waziri kamili (ni naibu tena miezi michache tuu)apewe urahisi.utamlinganishaje mwigulu na Samwel Sita aliyeshika uwaziri kamili tangu enzi za mwalimu.

Kigwa hajawahi hata kupewa dhamana ya uwazi hata ya unaibu, hawezi kabidhiwa nchi.

January amewahi kuifanyia nchi hii kitu gani cha kihistoria na ajabu (unique) katika nchi hii???? MB 8 zilimshinda ataweza wananchi mil 40.after all hajawahi hata kuwa waziri kamili

Lazima kuwepo na vijana 5 bora, ndio maana wamelinganisha na vijana wenzake.

Kama kigezo cha kuwa Rais ingekuwa ni uwaziri aana tungesemaje kwa akina Dr Slaa ambao ata unaibu waziri hajawahi kuwa?uzoefu sio kila kitu.Uwezo ni muhimu zaidi.

Mwigulu yupo vizuri, lakin Magufuli pamoja na uwezo pia yupo tested, Tuanze kwanza na Magufuli.
 
Mwigulu Nchemba ni kiongozi asiyependa makuu
Ni kiongozi anayeishi katika kauli zake
Ni kiongozi Mwadilifu, Mchapakazi, mwajibikaji, mzalendo na mwenye maono thabiti

labda kama hayo yote ananyafanyia chumbani kwake
 
Ccm msipompitisha makongoro madudu yatakayo kuja kutokea hatutakuwa na wakumlaumu zaidi yenu maana mako akipitishwa hana haja ya kufanya kampeni na atashinda kwa zaidi ya 60%

Tena mie nawapa 80% . Hawa wanajifanya wananukuhu gazeti alafu wanatoa vipengele vichache tu vinavyoongelea watu wao kitu ambacho kimsingi kinapotosha habari yenyewe, kwama wako real na wanachokisema basi waweke habari yote hapa then ndo mtajua jinsi gani hawa wanavyo ichakachua habari ili kulobby hapa Jf ila ukweli wanaujua ulivyoandikwa mle ndani
 
Mwigulu atashinda youtube na dogo jembe wake.
 
Back
Top Bottom