KISAKA MORIS
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 372
- 33
Mmmmmmmmh!!!!!!! Mna mzungumzia Yule mzinzi aliyekamatwa Igunga?
Anafanya hivyo kutisha wenye wake zao, si anajulikana alivyo mkware sketi na magauni?
Mmmmmmmmh!!!!!!! Mna mzungumzia Yule mzinzi aliyekamatwa Igunga?
Magwanda ya khaki yanapokosa hoja, yanakurupuka na chochote kile. Kwi kwi kwi teh teh teh.
Unaona ulivyo, kama unajua sababu ya yeye kufanya hivyo jibu, kama hujui haitakua vibaya kama utapita tu bila kuchangia ili watakaokuwa wana majibu wajibu.
Zomba badilika nlishakwambia jaribu kuwa na busara usije ukawa mtu wa ajabu uzee utakapoingia ndani yako badala ya kuwa na hekima kwa.
Sasa zomba hii photo ya mbowe yanini?? Kweli una matatizo bwana Zombi
Hiyo ndiyo ndagu yenyewe!!Mganga wake ndio alivyo mwagiza,naamini pale shingoni kuna kitu.
Magwanda ya khaki yanapokosa hoja, yanakurupuka na chochote kile. Kwi kwi kwi teh teh teh.