Mwigulu Nchemba, muombe radhi Rais!

Mwigulu Nchemba, muombe radhi Rais!

Mleta mada amevurugwa

Mwigulu.jpg
 
Huyo dogo naye kalewa madaraka tena mapema kabisa. hajui huyo kikwete ndo amemfikisha hapo alipo otherwise angekuwa kama akina kibajaji tu.

Amelewa madaraka, anajiona anaweza sana kwa uropokaji wake.
 
Nikupoteza wakati kumjadili mtu kama Mwigulu, amelewa madaraka hajitambui huyo
 
Mkuu Mwigulu Nchemba,leo hukuongea kauli nzuri kiutawala. Leo umemkosea heshima Rais wa Tanzania. Afadhali ungeishia kusema tu kuwa unatamani kuwa Rais wa Tanzania (lengo kuu la kila mwanasiasa wa Tanzania). Kusema kuwa unatamani kuwa Rais ili uwafunze watu adabu ni kumkosea heshima Rais wa nchi. Ina maana kuwa Rais anaongoza watanzania/wapinzani wasio na adabu?

Ina maana kuwa Rais wa Tanzania hana uwezo wa kuwashikisha/kuwafunza adabu wananchi wake na wapinzani wake? Hii si kauli ya kiuongozi na kiungwana. Ukiwa kama Naibu Waziri wa Fedha wa Serikali inayoongozwa na Rais Kikwete, na kwa staha na ustaarabu wa kisiasa, ingawa umetamka maneno hayo Bungeni, huna budi kumuomba msamaha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Na maneno yako au ya aina hiyo hayapaswi kurudiwa tena.

mselemwa kwetu ni ta.k.o
 
Last edited by a moderator:
Hivi kweli kitendo cha huyu naibu waziri kutaman kuwa raisi ili awashughulikie watu

Haoni kuwa anamshalilisha mkuu wake (Jk) kwamba hawez kazi ye ndo mjuvi zaid..
 
wengi wangetiwa kwenye visima vya maji, ama wangekuwa vibogoyo wanaotumia jicho moja bandia!
 
Labda awe rais wa manyani. Huyu mbwiga damu za watu wasio na hatia alizomwaga zimeshaanza kumdhuru,na hakika mwisho wake utakuwa mchungu kuliko wa Osama.
 
Back
Top Bottom