Mwigulu Nchemba kuunguruma ITV kesho (Agosti 21)

shetani mweusi

Senior Member
Joined
Jun 30, 2014
Posts
132
Reaction score
116
Kama ada kama kawaida, ndugu yetu kiongozi wetu, rafiki yetu, Kijana mzalendo wa kweli,mtoto wa mfugaji Mh.Mwigulu Nchemba Kesho asubuhi atazungumzia maswala Nyeti ya kitaifa katika kipindi cha kumepambazuka ITV na atagusia masuala nyeti ambayo yanatoa picha na faraja sana juu ya watanzania wanyonge kwani sasa tunaanza kuamini kabisa kuwa mtoto wa mfugaji anaenda kututoa hapa tulipo kwenda sehemu nzuri zaidi kiuchumi unaomgusa moja kwa moja mwananchi wa hali ya chini
Atazungumziaa masuala katika vipengele vifuatavyo
1.Oparesheni Kamata wakwepa kodi
2.Mafanikio yake na Hatua zilizochukuliwa kwa waliokamatwa
3.Atazungumzia Hatua za Awali za Kubana Matumuzi serikalini namna Utekelezaji wake ulivyoanza

USIKOSE I.T.V SAA 12 NA 30 ASUBUHI KESHO TAREHE 21/08/2014

.Kijana mzarendo na mjamaa...asiefungamana na sera za kinyonyaji za kibepari

.Mwanamapinduzi ya fikra vijana na mabadiliko mwenye sauti ya mamlaka
attachment.php

.Harakati zake zinaendelea kama che guavara yupo Tanzania kiboko ya Upinzani..
 
Attachments

  • 1408565922761.jpg
    1408565922761.jpg
    79.8 KB · Views: 3,033
Ingependeza angesema kwenye TV baada ya kudhibiti umafia wa chama chake.
 
Hivi ni kwanini mnapenda kutumia ids za kutisha..? Ati shetani mweusi.. chuki.. msalani.. boko haram n.k..!

Shetani ni malaika mkuu mwanaharakati aliekufanya uvae nguo bila shetani mpaka leo ungekua unatembea uchi bustani ya hedeni pigaaa makofiiiiii kwa shetaniiii
 
Kama ada kama kawaida, ndugu yetu kiongozi wetu, rafiki yetu, Kijana mzalendo wa kweli,mtoto wa mfugaji Mh.Mwigulu Nchemba Kesho asubuhi atazungumzia maswala Nyeti ya kitaifa katika kipindi cha kumepambazuka ITV na atagusia masuala nyeti ambayo yanatoa picha na faraja sana juu ya watanzania wanyonge kwani sasa tunaanza kuamini kabisa kuwa mtoto wa mfugaji anaenda kututoa hapa tulipo kwenda sehemu nzuri zaidi kiuchumi unaomgusa moja kwa moja mwananchi wa hali ya chini
Atazungumziaa masuala katika vipengele vifuatavyo
1.Oparesheni Kamata wakwepa kodi
2.Mafanikio yake na Hatua zilizochukuliwa kwa waliokamatwa
3.Atazungumzia Hatua za Awali za Kubana Matumuzi serikalini namna Utekelezaji wake ulivyoanza

USIKOSE I.T.V SAA 12 NA 30 ASUBUHI KESHO TAREHE 21/08/2014

.Kijana mzarendo na mjamaa...asiefungamana na sera za kinyonyaji za kibepari

.Mwanamapinduzi ya fikra vijana na mabadiliko mwenye sauti ya mamlaka
attachment.php

.Harakati zake zinaendelea kama che guavara yupo Tanzania kiboko ya Upinzani..

Huwafanyii haki wala kuwapa heshima zinazowastahili Samora Machel. Ernesto Che Guevara na Fidel Castro kwa kuwaweka pamoja, na hata kujaribu kuwalinganisha na Mwigulu Nchemba. Ujumbe wako kwamba atakuwepo ITV ungetosha.
 
Nyayoo zao kila mtuu ana wa kufananishwa mfano wewe tungekuweka na kingwendu au bambo ndio mnafanana nao mionekano na mienendo mwigulu anafanana na hao hutack achaaaaa....
 
...ni matumizigani hayo huyu "Nguru-mbili" anataka kuyabana wakati naye ni mmoja kati ya mchwa walioko Dodoma wanaotafuna pesa za walala hoi wa taifa hili masikini?....
 
Nyayoo zao kila mtuu ana wa kufananishwa mfano wewe tungekuweka na kingwendu au bambo ndio mnafanana nao mionekano na mienendo mwigulu anafanana na hao hutack achaaaaa....

Hao ni wanamapinduzi ambao watakumbukwa katika historia kwa juhudi zao za kupigania haki za wananchi katika nchi zao. Che Guevara alipoteza maisha yake kwenye harakati za kukomboa maskini waliokuwa wakikandamizwa na watawala wabovu. Kinyume chake Mwigulu Nchemba anasifika kwa kukandamiza mapinduzi ya mabadiliko katika maisha ya Watanzania. Kuwa kwake ccm, chama kinachopinga maendeleo yawananchi wa Tanzania, kinadhihirisha usemi huo. Kuvaa kwake magwanda kama wanamapinnduzi nakufananisha na mbwamwitu aliyejivika ngozi ya kondoo ili aweze kuwaangamiza kondoo kwa urahisi.
 
Kumbe Che Guevara alikuwa ni kiboko ya wapinzani??
Daaaah!!
Nae alikuwa kwenye chama tawala cha kumkomboa fisadi . Leo ndiyo nimeelewa ahsante sana mkuu.
 
Hivi ni kwanini mnapenda kutumia ids za kutisha..? Ati shetani mweusi.. chuki.. msalani.. boko haram n.k..!
Jibu liko wazi, chama ni aka interahamwe, unategemea avatar zao zisomeke, amani, upendo, naipenda Tanganyika etc?

Ongezea na ids hizi sumu, ..fox.

Majina uliyoyataja hapo juu, ndiyo yanarandana sana na fikra na matendo yao, chama cha majangili, aka chama cha mainterahamwe!!
 
Mwigulu ndo kiongozi kijana anaechukiwa na vijana wenzake kuliko wote Tanzania
 
Huo uzalendo na uanamapinduzi amefanyia nyumbani kwako? Maana sisi wengine hatujauona. Kwa walio wengi jina la Mwigulu ni alama ya uuaji wa vijana wanaoipinga CCM. Muuaji hata angepambwa kwa majina gani ataendelea kuwa muuaji. Tutamsikiliza kuanzia siku atakayofafanua ni kwa nini amepanga na kusimamia mauaji ya vijana wasio na hatia.

Kama ada kama kawaida, ndugu yetu kiongozi wetu, rafiki yetu, Kijana mzalendo wa kweli,mtoto wa mfugaji Mh.Mwigulu Nchemba Kesho asubuhi atazungumzia maswala Nyeti ya kitaifa katika kipindi cha kumepambazuka ITV na atagusia masuala nyeti ambayo yanatoa picha na faraja sana juu ya watanzania wanyonge kwani sasa tunaanza kuamini kabisa kuwa mtoto wa mfugaji anaenda kututoa hapa tulipo kwenda sehemu nzuri zaidi kiuchumi unaomgusa moja kwa moja mwananchi wa hali ya chini
Atazungumziaa masuala katika vipengele vifuatavyo
1.Oparesheni Kamata wakwepa kodi
2.Mafanikio yake na Hatua zilizochukuliwa kwa waliokamatwa
3.Atazungumzia Hatua za Awali za Kubana Matumuzi serikalini namna Utekelezaji wake ulivyoanza

USIKOSE I.T.V SAA 12 NA 30 ASUBUHI KESHO TAREHE 21/08/2014

.Kijana mzarendo na mjamaa...asiefungamana na sera za kinyonyaji za kibepari

.Mwanamapinduzi ya fikra vijana na mabadiliko mwenye sauti ya mamlaka
attachment.php

.Harakati zake zinaendelea kama che guavara yupo Tanzania kiboko ya Upinzani..
 
Kweli umejitoa ufahamu!hana jipya,atapiga blah blah kama alivyoagizwa na cc ya ccm!nani atamsahau kwa kuropoka kwa matusi pale maslah ya wananchi yalipokuwa yanatetewa!upuuzi mtupu,jiulize alitokaje Bot kuja kwny siasa?ule mchezo wa balali alikuwamo!msitupumbaze
 
Back
Top Bottom