kuna mambo mengine yanakera hasa kwa mtu mwenye uchungu na nchi yake kama Mwigullu. Hapa mimi nasema wanaotetea ujinga huu wa watoto wa kile kupata mimba na kurudi shuleni ni wapumbavu, Tangu enzi za Serikali ya awamu ya kwanza hadi ya nne , Mwanafunzi alikuwa akpata ujauzito ni nyumbani moja kwa moja, kwanini leo ionekane ni kuwaonea?
Tangu enzi za Serikali ya awamu ya kwanza hadi ya nne , Mwanafunzi alikuwa akpata ujauzito ni nyumbani moja kwa moja, kwanini leo ionekane ni kuwaonea?kuna mambo mengine yanakera hasa kwa mtu mwenye uchungu na nchi yake kama Mwigullu. Hapa mimi nasema wanaotetea ujinga huu wa watoto wa kile kupata mimba na kurudi shuleni ni wapumbavu, Tangu enzi za Serikali ya awamu ya kwanza hadi ya nne , Mwanafunzi alikuwa akpata ujauzito ni nyumbani moja kwa moja, kwanini leo ionekane ni kuwaonea?
yaani kwa kuwa yalikuwa yanafanywa zamani hata kama ni mabaya yaendelee? La hasha tukubali kubadilika na kufanya vizuri.kuna mambo mengine yanakera hasa kwa mtu mwenye uchungu na nchi yake kama Mwigullu. Hapa mimi nasema wanaotetea ujinga huu wa watoto wa kile kupata mimba na kurudi shuleni ni wapumbavu, Tangu enzi za Serikali ya awamu ya kwanza hadi ya nne , Mwanafunzi alikuwa akpata ujauzito ni nyumbani moja kwa moja, kwanini leo ionekane ni kuwaonea?
Kwanza Mwigulu Nchemba siyo jina lake halisi. Jina lake halisi ni Lameck Madelu. Rudi kijijini kaulize kwa Wazee wa Iramba wakakwambie kwa nini unaitwa jina la lugha ya Wasukuma wakati wewe ni Mnyiramba. Laiti ungejua kuwa mama yako alibakwa na wafugajj ndipo akatunga mimba na ukazaliwa wewe basi usingeendelea na msimamo wa kukejeli watoto wanapata mimba wakiwa mashuleni.Ni dhahiri Mh. Rais hakukosea kumtoa Mwigulu nchemba kwenye barraza la mawaziri. Waziri wa mambo ya nje na wengine wanapambana kutumia lugha ya diplomasia kuomba tusaidiwe, mwigulu nchemba yeye anatukana world bank bila kusahau bado yuko serikalini na kwenye chama tawala na alikuwa Waziri mwandamizi.
Ndugu yangu mwigulu, hapa umebugi stepu. Umeharibu, kama ni utetezi au kutaka kurudi kwenye baraza, haiwezekani. Pole sana kwa matusi yako kwa world Bank. Usisahau hawa watu wanafadhili miradi mingi na ndio mshirika pekee wa maendeleo alobakia. Use common sense bro. Naona huko kwenye ile kundi la wanaomhujumu Rais kijanja
View attachment 1338276
kuna mambo mengine yanakera hasa kwa mtu mwenye uchungu na nchi yake kama Mwigullu. Hata mimi nasema wanaotetea ujinga huu wa watoto wa kike kupata mimba na kurudi shuleni ni wapumbavu, Tangu enzi za Serikali ya awamu ya kwanza hadi ya nne , Mwanafunzi alikuwa akpata ujauzito ni nyumbani moja kwa moja, kwanini leo ionekane ni kuwaonea? Nani anaweza kutoa ushahidi katika awamu ya JKN, MWINYI, MKAPA na JAKAYA mwanafunzi fulani alipata ujauzito akaenda kujifungua akarudi shule ya Serikali. Kasomeni Sheria na kanuni za Wizara ya Elimu kuhusiana na sheria za shule za Serikali.
kuna mambo mengine yanakera hasa kwa mtu mwenye uchungu na nchi yake kama Mwigullu. Hata mimi nasema wanaotetea ujinga huu wa watoto wa kike kupata mimba na kurudi shuleni ni wapumbavu, Tangu enzi za Serikali ya awamu ya kwanza hadi ya nne , Mwanafunzi alikuwa akpata ujauzito ni nyumbani moja kwa moja, kwanini leo ionekane ni kuwaonea? Nani anaweza kutoa ushahidi katika awamu ya JKN, MWINYI, MKAPA na JAKAYA mwanafunzi fulani alipata ujauzito akaenda kujifungua akarudi shule ya Serikali. Kasomeni Sheria na kanuni za Wizara ya Elimu kuhusiana na sheria za shule za Serikali.
🙈🤭🤭🤭... too harsh mkuu., heshimu uhuru wake na umtake Radhi... that’s unfair.. edit your c’mnt if psb..Kwanza Mwigulu Nchemba siyo jina lake halisi. Jina lake halisi ni Lameck Madelu. Rudi kijijini kaulize kwa Wazee wa Iramba wakakwambie kwa nini unaitwa jina la lugha ya Wasukuma wakati wewe ni Mnyiramba. Laiti ungejua kuwa mama yako alibakwa na wafugajj ndipo akatunga mimba na ukazaliwa wewe basi usingeendelea na msimamo wa kukejeli watoto wanapata mimba wakiwa mashuleni.
Kama miaka ile ya awamu ya kwanza wange wa-demonize watoto wa shule za msingi, hata wewe Mwigulu Nchemba usingekuwa hapo ulipo
Nafikiri hoja iliyopo ni why wa kuadhibiwa ni mtoto wa kike tu je huyo aliyempa mimba je?kuna mambo mengine yanakera hasa kwa mtu mwenye uchungu na nchi yake kama Mwigullu. Hata mimi nasema wanaotetea ujinga huu wa watoto wa kike kupata mimba na kurudi shuleni ni wapumbavu, Tangu enzi za Serikali ya awamu ya kwanza hadi ya nne , Mwanafunzi alikuwa akpata ujauzito ni nyumbani moja kwa moja, kwanini leo ionekane ni kuwaonea? Nani anaweza kutoa ushahidi katika awamu ya JKN, MWINYI, MKAPA na JAKAYA mwanafunzi fulani alipata ujauzito akaenda kujifungua akarudi shule ya Serikali. Kasomeni Sheria na kanuni za Wizara ya Elimu kuhusiana na sheria za shule za Serikali.