OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,235
- 103,867
Nimeona thread ya kuwa Mawaziri wanamwogopa Rais, jambo hili HALINA UKWELI. Mawaziri wote tuko huru kushauri, Rais anatupa nafasi ya kushauri, kujadili na tunaamua kama Baraza, Kila mwezi tunafanya Baraza na mawaziri tunakwenda na agenda. Rais hutoa nafasi kwa kila Waziri kuongea, tena wakati Mwingine Rais huita mpk Naibu Mawaziri wote kwenye Baraza ili watoe ushauri kwenye mambo ya Nchi. Hivyo kauli ya kwamba mawaziri wanaogopa sio za kweli
Mwigulu
Mbona unampa sifa za juu kiasi hicho? Mwigulu alikuwa mchumi mwandamizi BoT au alipenda aitwe hivyo? Mambo ya awamu ya 4 tusiyafanye kama reference point maana hatukuwa na viwango. Kila mtu aliweza kuwa chochote. Ndo maana tukawaona akina Nchemba.Tusikilizane wanajukwaa
Wachambuzi wa mambo ya siasa na uchumi wameeleza sababu kubwa ya "kuloa'' mapema kwa serikali ya awamu ya tano ni washauri wa rais kushindwa kumshauri namna bora ya kuendesha nchi hususani uchumi wa nchi. Wachambuzi wameeleza kuwa baraza la mawaziri linafanya kazi kwa hofu ya kutumbuliwa na hivyo kupelekea kuogopa kumwambia rais ukweli bado anapofanya kinyume.
Mbunge na waziri Luhanga Mpina kupitia vyombo vya habari alikanusha kwamba wao hawamuogopi Rais Magufuli bali wanamuheshimu
Lakini ukweli unabaki palepale kwamba WANAMUOGOPA KWELI KWELI
Mhe.Mwigulu Nchemba waziri mbunge wa kuchaguliwa na aliyekuwa naibu waziri wa fedha awamu ya nne huku akiwa mchumi mwandamizi pale BOT anaonekana kuwa kiranja wa mawaziri wanaomuogopa rais.....nitaeleza
Waziri huyu alikuwa waziri wa fedha awamu ya NNE huku akionekana kinara zaidi ya Saada Mkuya...anafahamu vyema Sera na kanuni za uchumi na namna walivyoendesha wizara awamu ya nne,lakini haonekani kushauri mazuri hayo katika vikao vya baraza. Mh.Mwigulu akiwa naibu waziri wa fedha katika awamu ambayo fixed deposit haikuonekana kuwa tatizo.Mh.Mwigulu akiwa waziri katika awamu ambayo halmashauri zilikuwa katika hali at least nzuri kiasi cha kuweza kujiendesha lakini haonekani kumshauri rais juu ya hali mbaya kabisa katika halmashauri zetu.Mwigulu ameshindwa kumshauri rais kulipa madeni ya ndani kwa wazabuni na wakandarasi ambao bank zinakwenda kuwafilisi kutokana na kushindwa kulipa madeni
Tunamtaka Mh.Mwigulu kama mjumbe wa Jamiiforums aje hapa atuambie kwa nini anamuogopa rais?Na je,ni kweli kwamba wao ndio wanaoshauriwa na rais badala ya wao kumshauri rais?
Serikali ikianguka wewe unafaidika nnWaziri kamwe hato kuja kujadili hii takataka ulio andika.
Hii kajadili na Lema
Upi huo mkuu kwenye barabaraNitafurahi sana endapo ataamrishwa akafute ule upuuzi wake aliondika kwenye bara bara
Ngoja nikutafutie pichaUpi huo mkuu kwenye barabara
Waziri kamwe hato kuja kujadili hii takataka ulio andika.
Hii kajadili na Lema
Mkuu hujasafiri kitambo mikoaniUpi huo mkuu kwenye barabara
Hapo mwishoni mkuu umemaliza,Fanya hivi:-
1 Kauli ya Mzee Hashim Rungwe kwamba raisi anatawala kwa tabia binafsi.
2 Maelezo ya Mafuru kwamba pesa zikiwa Bank binafsi ni vigumu kuzipata wakati zikitakiwa.
Ukichukuwa hizo mbili unapata ile ziara ya Magereza kuwapa B10 ambazo hazikuwepo kwenye mahesabu ya matumizi.
Kama ushawai kwenda kwenye shoo za FM Academia au Twanga wanapoanza kuwasifia ma pedeshee wao halafu pedeshee wanaanza kumwaga pesa, ndio same thing mkuu anapoelekea.
Hayo Malengo ya kuifanya Tanzania kuwa ya viwanda ndani ya Miaka mi 3 , ni ngumu kutekelezeka kwa kuwa hakuna msingi wala Dira ya kuelekea huko.
Ila ombi langu kwa kina Mwigulu wajiuzulu nafasi zao kuonyesha uzalendo. Ikiwezekana hata kujiuzulu na Ubunge kabisa na kujivua uanachama na kujiunga chama kingine na kugombea tena.
Mawaziri wa 5 wakifanya hivyo lazima mkuu ataweweseka na kuona kama njia anayoelekea si njema.
Mbunge na waziri Luhanga Mpina kupitia vyombo vya habari alikanusha kwamba wao hawamuogopi Rais Magufuli
Shida iko hivi, Moja kati ya hawa Mawaziri anaweza kuwa Raisi miaka ya baadae. Je utatushawishi tena kama alikuwa hafurahii yalikuwa yanatendwa na mtangulizi wake???Hapo mwishoni mkuu umemaliza,
Lakini hilo usilitegemee kabisa kutokea kwa viongozi wa kiafrika, yaani waziri ajiuzulu tu kisa kupigania maslahi ya wengine? Hiyo haipo, wako radhi waendelee kubeba unafiki wao hata mpaka uzeeni ila kuachia nafasi zao hilo halipo,
Nilikuwa dodoma last week, niliwaeleza bila kupepesa macho suala la serikali kuhamia dodoma ni ndoto na wasahau hata kwa miaka 25 ijayo
Tusikilizane wanajukwaa
Wachambuzi wa mambo ya siasa na uchumi wameeleza sababu kubwa ya "kuloa'' mapema kwa serikali ya awamu ya tano ni washauri wa rais kushindwa kumshauri namna bora ya kuendesha nchi hususani uchumi wa nchi. Wachambuzi wameeleza kuwa baraza la mawaziri linafanya kazi kwa hofu ya kutumbuliwa na hivyo kupelekea kuogopa kumwambia rais ukweli bado anapofanya kinyume.
Mbunge na waziri Luhanga Mpina kupitia vyombo vya habari alikanusha kwamba wao hawamuogopi Rais Magufuli bali wanamuheshimu
Lakini ukweli unabaki palepale kwamba WANAMUOGOPA KWELI KWELI
Mhe.Mwigulu Nchemba waziri mbunge wa kuchaguliwa na aliyekuwa naibu waziri wa fedha awamu ya nne huku akiwa mchumi mwandamizi pale BOT anaonekana kuwa kiranja wa mawaziri wanaomuogopa rais.....nitaeleza
Waziri huyu alikuwa waziri wa fedha awamu ya NNE huku akionekana kinara zaidi ya Saada Mkuya...anafahamu vyema Sera na kanuni za uchumi na namna walivyoendesha wizara awamu ya nne,lakini haonekani kushauri mazuri hayo katika vikao vya baraza. Mh.Mwigulu akiwa naibu waziri wa fedha katika awamu ambayo fixed deposit haikuonekana kuwa tatizo.Mh.Mwigulu akiwa waziri katika awamu ambayo halmashauri zilikuwa katika hali at least nzuri kiasi cha kuweza kujiendesha lakini haonekani kumshauri rais juu ya hali mbaya kabisa katika halmashauri zetu.Mwigulu ameshindwa kumshauri rais kulipa madeni ya ndani kwa wazabuni na wakandarasi ambao bank zinakwenda kuwafilisi kutokana na kushindwa kulipa madeni
Tunamtaka Mh.Mwigulu kama mjumbe wa Jamiiforums aje hapa atuambie kwa nini anamuogopa rais?Na je,ni kweli kwamba wao ndio wanaoshauriwa na rais badala ya wao kumshauri rais?
Sio kweli halmashauri zilikuwa zikijiendesha isipokuwa watumishi wa halmashauri wao walivimbiana matumbo aka kunenepa ovyo kwa kuiba kodi zetu,Sasa mirija imekatwa mtapiga sana propaganda ila Raisi ni wetu tulimchagua wenyewe hapa kazi tu,Kaka anzisha kilimo kazi halmashauri hazilipi mlitegemea kupiga deal hakunaTusikilizane wanajukwaa
Wachambuzi wa mambo ya siasa na uchumi wameeleza sababu kubwa ya "kuloa'' mapema kwa serikali ya awamu ya tano ni washauri wa rais kushindwa kumshauri namna bora ya kuendesha nchi hususani uchumi wa nchi. Wachambuzi wameeleza kuwa baraza la mawaziri linafanya kazi kwa hofu ya kutumbuliwa na hivyo kupelekea kuogopa kumwambia rais ukweli bado anapofanya kinyume.
Mbunge na waziri Luhanga Mpina kupitia vyombo vya habari alikanusha kwamba wao hawamuogopi Rais Magufuli bali wanamuheshimu
Lakini ukweli unabaki palepale kwamba WANAMUOGOPA KWELI KWELI
Mhe.Mwigulu Nchemba waziri mbunge wa kuchaguliwa na aliyekuwa naibu waziri wa fedha awamu ya nne huku akiwa mchumi mwandamizi pale BOT anaonekana kuwa kiranja wa mawaziri wanaomuogopa rais.....nitaeleza
Waziri huyu alikuwa waziri wa fedha awamu ya NNE huku akionekana kinara zaidi ya Saada Mkuya...anafahamu vyema Sera na kanuni za uchumi na namna walivyoendesha wizara awamu ya nne,lakini haonekani kushauri mazuri hayo katika vikao vya baraza. Mh.Mwigulu akiwa naibu waziri wa fedha katika awamu ambayo fixed deposit haikuonekana kuwa tatizo.Mh.Mwigulu akiwa waziri katika awamu ambayo halmashauri zilikuwa katika hali at least nzuri kiasi cha kuweza kujiendesha lakini haonekani kumshauri rais juu ya hali mbaya kabisa katika halmashauri zetu.Mwigulu ameshindwa kumshauri rais kulipa madeni ya ndani kwa wazabuni na wakandarasi ambao bank zinakwenda kuwafilisi kutokana na kushindwa kulipa madeni
Tunamtaka Mh.Mwigulu kama mjumbe wa Jamiiforums aje hapa atuambie kwa nini anamuogopa rais?Na je,ni kweli kwamba wao ndio wanaoshauriwa na rais badala ya wao kumshauri rais?
Unashauri mtu aache kazi anza weweFanya hivi:-