Mwigulu Nchemba, kiranja wa Mawaziri wanaomuogopa Magufuli

  • Thread starter OKW BOBAN SUNZU
  • Start date

OKW BOBAN SUNZU

OKW BOBAN SUNZU

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2011
Messages
26,285
Points
2,000
OKW BOBAN SUNZU

OKW BOBAN SUNZU

JF-Expert Member
Joined Aug 24, 2011
26,285 2,000
Tusikilizane wanajukwaa

Wachambuzi wa mambo ya siasa na uchumi wameeleza sababu kubwa ya "kuloa'' mapema kwa serikali ya awamu ya tano ni washauri wa rais kushindwa kumshauri namna bora ya kuendesha nchi hususani uchumi wa nchi.

Wachambuzi wameeleza kuwa baraza la mawaziri linafanya kazi kwa hofu ya kutumbuliwa na hivyo kupelekea kuogopa kumwambia rais ukweli bado anapofanya kinyume.

Mbunge na waziri Luhanga Mpina kupitia vyombo vya habari alikanusha kwamba wao hawamuogopi Rais Magufuli bali wanamuheshimu Lakini ukweli unabaki palepale kwamba WANAMUOGOPA KWELI KWELI

Mhe.Mwigulu Nchemba waziri mbunge wa kuchaguliwa na aliyekuwa naibu waziri wa fedha awamu ya nne huku akiwa mchumi mwandamizi pale BOT anaonekana kuwa kiranja wa mawaziri wanaomuogopa rais.....nitaeleza

Waziri huyu alikuwa waziri wa fedha awamu ya NNE huku akionekana kinara zaidi ya Saada Mkuya...anafahamu vyema Sera na kanuni za uchumi na namna walivyoendesha wizara awamu ya nne,lakini haonekani kushauri mazuri hayo katika vikao vya baraza.

Mh.Mwigulu akiwa naibu waziri wa fedha katika awamu ambayo fixed deposit haikuonekana kuwa tatizo.Mh.Mwigulu akiwa waziri katika awamu ambayo halmashauri zilikuwa katika hali at least nzuri kiasi cha kuweza kujiendesha lakini haonekani kumshauri rais juu ya hali mbaya kabisa katika halmashauri zetu.

Mwigulu ameshindwa kumshauri rais kulipa madeni ya ndani kwa wazabuni na wakandarasi ambao bank zinakwenda kuwafilisi kutokana na kushindwa kulipa madeni

Tunamtaka Mh.Mwigulu kama mjumbe wa Jamiiforums aje hapa atuambie kwa nini anamuogopa rais?Na je,ni kweli kwamba wao ndio wanaoshauriwa na rais badala ya wao kumshauri rais?

Nimeona thread ya kuwa Mawaziri wanamwogopa Rais, jambo hili HALINA UKWELI. Mawaziri wote tuko huru kushauri, Rais anatupa nafasi ya kushauri, kujadili na tunaamua kama Baraza, Kila mwezi tunafanya Baraza na mawaziri tunakwenda na agenda. Rais hutoa nafasi kwa kila Waziri kuongea, tena wakati Mwingine Rais huita mpk Naibu Mawaziri wote kwenye Baraza ili watoe ushauri kwenye mambo ya Nchi. Hivyo kauli ya kwamba mawaziri wanaogopa sio za kweli

Mwigulu
Updates,................
Mh.Mwigulu amejibu kuwa yeye hamuogopi Rais na wanamshuri katika baraza.Lakini katika majibu take hajaonesha wala kujibu maswala tuliyoibua kuonyesha kwa nini tunasema wanamuogopa.

Tunamuomba sasa ajibu hayo pamoja na mambo mengine yanayoulizwa na wanajukwaa hususani kuonekana mganganyiko na contradictions kati ya matamko ya rais na mawaziri wake
 
OKW BOBAN SUNZU

OKW BOBAN SUNZU

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2011
Messages
26,285
Points
2,000
OKW BOBAN SUNZU

OKW BOBAN SUNZU

JF-Expert Member
Joined Aug 24, 2011
26,285 2,000
lusungo
 
Shark

Shark

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2010
Messages
23,647
Points
2,000
Shark

Shark

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2010
23,647 2,000
Sasa JP ndie aliempa ulaji Mwigulu Nchemba,
Kama hajipendi na anataka kibarua chake kiote nyasi basi aache kumuogopa "mungu" wake
 
Patriot

Patriot

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2008
Messages
3,175
Points
2,000
Patriot

Patriot

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2008
3,175 2,000
Tusikilizane wanajukwaa

Wachambuzi wa mambo ya siasa na uchumi wameeleza sababu kubwa ya "kuloa'' mapema kwa serikali ya awamu ya tano ni washauri wa rais kushindwa kumshauri namna bora ya kuendesha nchi hususani uchumi wa nchi. Wachambuzi wameeleza kuwa baraza la mawaziri linafanya kazi kwa hofu ya kutumbuliwa na hivyo kupelekea kuogopa kumwambia rais ukweli bado anapofanya kinyume.

Mbunge na waziri Luhanga Mpina kupitia vyombo vya habari alikanusha kwamba wao hawamuogopi Rais Magufuli bali wanamuheshimu
Lakini ukweli unabaki palepale kwamba WANAMUOGOPA KWELI KWELI

Mhe.Mwigulu Nchemba waziri mbunge wa kuchaguliwa na aliyekuwa naibu waziri wa fedha awamu ya nne huku akiwa mchumi mwandamizi pale BOT anaonekana kuwa kiranja wa mawaziri wanaomuogopa rais.....nitaeleza

Waziri huyu alikuwa waziri wa fedha awamu ya NNE huku akionekana kinara zaidi ya Saada Mkuya...anafahamu vyema Sera na kanuni za uchumi na namna walivyoendesha wizara awamu ya nne,lakini haonekani kushauri mazuri hayo katika vikao vya baraza. Mh.Mwigulu akiwa naibu waziri wa fedha katika awamu ambayo fixed deposit haikuonekana kuwa tatizo.Mh.Mwigulu akiwa waziri katika awamu ambayo halmashauri zilikuwa katika hali at least nzuri kiasi cha kuweza kujiendesha lakini haonekani kumshauri rais juu ya hali mbaya kabisa katika halmashauri zetu.Mwigulu ameshindwa kumshauri rais kulipa madeni ya ndani kwa wazabuni na wakandarasi ambao bank zinakwenda kuwafilisi kutokana na kushindwa kulipa madeni

Tunamtaka Mh.Mwigulu kama mjumbe wa Jamiiforums aje hapa atuambie kwa nini anamuogopa rais?Na je,ni kweli kwamba wao ndio wanaoshauriwa na rais badala ya wao kumshauri rais?
Mbona unampa sifa za juu kiasi hicho? Mwigulu alikuwa mchumi mwandamizi BoT au alipenda aitwe hivyo? Mambo ya awamu ya 4 tusiyafanye kama reference point maana hatukuwa na viwango. Kila mtu aliweza kuwa chochote. Ndo maana tukawaona akina Nchemba.

Hizi positions za kitaifa zinastahili watu wenye record ya kufikiri vizuri. Kweli jamaa yetu unaweza kumuweka kundi hilo?
 
mpita-njia

mpita-njia

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2010
Messages
1,330
Points
2,000
mpita-njia

mpita-njia

JF-Expert Member
Joined Dec 3, 2010
1,330 2,000
Fanya hivi:-
1 Kauli ya Mzee Hashim Rungwe kwamba raisi anatawala kwa tabia binafsi.

2 Maelezo ya Mafuru kwamba pesa zikiwa Bank binafsi ni vigumu kuzipata wakati zikitakiwa.

Ukichukuwa hizo mbili unapata ile ziara ya Magereza kuwapa B10 ambazo hazikuwepo kwenye mahesabu ya matumizi.

Kama ushawai kwenda kwenye shoo za FM Academia au Twanga wanapoanza kuwasifia ma pedeshee wao halafu pedeshee wanaanza kumwaga pesa, ndio same thing mkuu anapoelekea.

Hayo Malengo ya kuifanya Tanzania kuwa ya viwanda ndani ya Miaka mi 3 , ni ngumu kutekelezeka kwa kuwa hakuna msingi wala Dira ya kuelekea huko.

Ila ombi langu kwa kina Mwigulu wajiuzulu nafasi zao kuonyesha uzalendo. Ikiwezekana hata kujiuzulu na Ubunge kabisa na kujivua uanachama na kujiunga chama kingine na kugombea tena.

Mawaziri wa 5 wakifanya hivyo lazima mkuu ataweweseka na kuona kama njia anayoelekea si njema.
 
mzee wa giningi

mzee wa giningi

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2016
Messages
520
Points
500
Age
50
mzee wa giningi

mzee wa giningi

JF-Expert Member
Joined Nov 1, 2016
520 500
Hahahaha di wonderful surgeon
 
Mr Hero

Mr Hero

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2015
Messages
5,561
Points
2,000
Mr Hero

Mr Hero

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2015
5,561 2,000
Fanya hivi:-
1 Kauli ya Mzee Hashim Rungwe kwamba raisi anatawala kwa tabia binafsi.

2 Maelezo ya Mafuru kwamba pesa zikiwa Bank binafsi ni vigumu kuzipata wakati zikitakiwa.

Ukichukuwa hizo mbili unapata ile ziara ya Magereza kuwapa B10 ambazo hazikuwepo kwenye mahesabu ya matumizi.

Kama ushawai kwenda kwenye shoo za FM Academia au Twanga wanapoanza kuwasifia ma pedeshee wao halafu pedeshee wanaanza kumwaga pesa, ndio same thing mkuu anapoelekea.

Hayo Malengo ya kuifanya Tanzania kuwa ya viwanda ndani ya Miaka mi 3 , ni ngumu kutekelezeka kwa kuwa hakuna msingi wala Dira ya kuelekea huko.

Ila ombi langu kwa kina Mwigulu wajiuzulu nafasi zao kuonyesha uzalendo. Ikiwezekana hata kujiuzulu na Ubunge kabisa na kujivua uanachama na kujiunga chama kingine na kugombea tena.

Mawaziri wa 5 wakifanya hivyo lazima mkuu ataweweseka na kuona kama njia anayoelekea si njema.
Hapo mwishoni mkuu umemaliza,
Lakini hilo usilitegemee kabisa kutokea kwa viongozi wa kiafrika, yaani waziri ajiuzulu tu kisa kupigania maslahi ya wengine? Hiyo haipo, wako radhi waendelee kubeba unafiki wao hata mpaka uzeeni ila kuachia nafasi zao hilo halipo,
Nilikuwa dodoma last week, niliwaeleza bila kupepesa macho suala la serikali kuhamia dodoma ni ndoto na wasahau hata kwa miaka 25 ijayo
 
K

Kwameh

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2011
Messages
1,150
Points
2,000
Age
39
K

Kwameh

JF-Expert Member
Joined Dec 3, 2011
1,150 2,000

Mbunge na waziri Luhanga Mpina kupitia vyombo vya habari alikanusha kwamba wao hawamuogopi Rais Magufuli

Amekanusha kwamba wao hawamuogopi Rais.

Kwa hiyo amekiri kwamba wanamuogopa.

Angalau ameongea ukweli.
 
mpita-njia

mpita-njia

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2010
Messages
1,330
Points
2,000
mpita-njia

mpita-njia

JF-Expert Member
Joined Dec 3, 2010
1,330 2,000
Hapo mwishoni mkuu umemaliza,
Lakini hilo usilitegemee kabisa kutokea kwa viongozi wa kiafrika, yaani waziri ajiuzulu tu kisa kupigania maslahi ya wengine? Hiyo haipo, wako radhi waendelee kubeba unafiki wao hata mpaka uzeeni ila kuachia nafasi zao hilo halipo,
Nilikuwa dodoma last week, niliwaeleza bila kupepesa macho suala la serikali kuhamia dodoma ni ndoto na wasahau hata kwa miaka 25 ijayo
Shida iko hivi, Moja kati ya hawa Mawaziri anaweza kuwa Raisi miaka ya baadae. Je utatushawishi tena kama alikuwa hafurahii yalikuwa yanatendwa na mtangulizi wake???
 
balimar

balimar

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2015
Messages
3,893
Points
2,000
balimar

balimar

JF-Expert Member
Joined Sep 18, 2015
3,893 2,000
Gull.o Shum.bi ni mjuzi wa mambo haya.
Ila maji yanapozidi obvious wazo la ugali huyeyuks na watu huanza kutazamia uji.
Sasa hata uji ukishindikana kupatikana ndo unarudia ile chorus yetu maarufu humu.
"Front front let them read numerals....."
Kiukweli huwezi kutazamia kitu kisichokuwepo.
Ni vizuri wajitadhimini kwa mlengo wa weledi wao
 
Mwigulu Nchemba

Mwigulu Nchemba

Verified Member
Joined
Feb 25, 2012
Messages
323
Points
1,000
Mwigulu Nchemba

Mwigulu Nchemba

Verified Member
Joined Feb 25, 2012
323 1,000
Tusikilizane wanajukwaa

Wachambuzi wa mambo ya siasa na uchumi wameeleza sababu kubwa ya "kuloa'' mapema kwa serikali ya awamu ya tano ni washauri wa rais kushindwa kumshauri namna bora ya kuendesha nchi hususani uchumi wa nchi. Wachambuzi wameeleza kuwa baraza la mawaziri linafanya kazi kwa hofu ya kutumbuliwa na hivyo kupelekea kuogopa kumwambia rais ukweli bado anapofanya kinyume.

Mbunge na waziri Luhanga Mpina kupitia vyombo vya habari alikanusha kwamba wao hawamuogopi Rais Magufuli bali wanamuheshimu
Lakini ukweli unabaki palepale kwamba WANAMUOGOPA KWELI KWELI

Mhe.Mwigulu Nchemba waziri mbunge wa kuchaguliwa na aliyekuwa naibu waziri wa fedha awamu ya nne huku akiwa mchumi mwandamizi pale BOT anaonekana kuwa kiranja wa mawaziri wanaomuogopa rais.....nitaeleza

Waziri huyu alikuwa waziri wa fedha awamu ya NNE huku akionekana kinara zaidi ya Saada Mkuya...anafahamu vyema Sera na kanuni za uchumi na namna walivyoendesha wizara awamu ya nne,lakini haonekani kushauri mazuri hayo katika vikao vya baraza. Mh.Mwigulu akiwa naibu waziri wa fedha katika awamu ambayo fixed deposit haikuonekana kuwa tatizo.Mh.Mwigulu akiwa waziri katika awamu ambayo halmashauri zilikuwa katika hali at least nzuri kiasi cha kuweza kujiendesha lakini haonekani kumshauri rais juu ya hali mbaya kabisa katika halmashauri zetu.Mwigulu ameshindwa kumshauri rais kulipa madeni ya ndani kwa wazabuni na wakandarasi ambao bank zinakwenda kuwafilisi kutokana na kushindwa kulipa madeni

Tunamtaka Mh.Mwigulu kama mjumbe wa Jamiiforums aje hapa atuambie kwa nini anamuogopa rais?Na je,ni kweli kwamba wao ndio wanaoshauriwa na rais badala ya wao kumshauri rais?
Nimeona thread ya kuwa Mawaziri wanamwogopa Rais, jambo hili HALINA UKWELI. Mawaziri wote tuko huru kushauri, Rais anatupa nafasi ya kushauri, kujadili na tunaamua kama Baraza, Kila mwezi tunafanya Baraza na mawaziri tunakwenda na agenda. Rais hutoa nafasi kwa kila Waziri kuongea, tena wakati Mwingine Rais huita mpk Naibu Mawaziri wote kwenye Baraza ili watoe ushauri kwenye mambo ya Nchi. Hivyo kauli ya kwamba mawaziri wanaogopa sio za kweli

Mwigulu
 
GUSSIE

GUSSIE

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2014
Messages
2,342
Points
2,000
GUSSIE

GUSSIE

JF-Expert Member
Joined Dec 2, 2014
2,342 2,000
Tusikilizane wanajukwaa

Wachambuzi wa mambo ya siasa na uchumi wameeleza sababu kubwa ya "kuloa'' mapema kwa serikali ya awamu ya tano ni washauri wa rais kushindwa kumshauri namna bora ya kuendesha nchi hususani uchumi wa nchi. Wachambuzi wameeleza kuwa baraza la mawaziri linafanya kazi kwa hofu ya kutumbuliwa na hivyo kupelekea kuogopa kumwambia rais ukweli bado anapofanya kinyume.

Mbunge na waziri Luhanga Mpina kupitia vyombo vya habari alikanusha kwamba wao hawamuogopi Rais Magufuli bali wanamuheshimu
Lakini ukweli unabaki palepale kwamba WANAMUOGOPA KWELI KWELI

Mhe.Mwigulu Nchemba waziri mbunge wa kuchaguliwa na aliyekuwa naibu waziri wa fedha awamu ya nne huku akiwa mchumi mwandamizi pale BOT anaonekana kuwa kiranja wa mawaziri wanaomuogopa rais.....nitaeleza

Waziri huyu alikuwa waziri wa fedha awamu ya NNE huku akionekana kinara zaidi ya Saada Mkuya...anafahamu vyema Sera na kanuni za uchumi na namna walivyoendesha wizara awamu ya nne,lakini haonekani kushauri mazuri hayo katika vikao vya baraza. Mh.Mwigulu akiwa naibu waziri wa fedha katika awamu ambayo fixed deposit haikuonekana kuwa tatizo.Mh.Mwigulu akiwa waziri katika awamu ambayo halmashauri zilikuwa katika hali at least nzuri kiasi cha kuweza kujiendesha lakini haonekani kumshauri rais juu ya hali mbaya kabisa katika halmashauri zetu.Mwigulu ameshindwa kumshauri rais kulipa madeni ya ndani kwa wazabuni na wakandarasi ambao bank zinakwenda kuwafilisi kutokana na kushindwa kulipa madeni

Tunamtaka Mh.Mwigulu kama mjumbe wa Jamiiforums aje hapa atuambie kwa nini anamuogopa rais?Na je,ni kweli kwamba wao ndio wanaoshauriwa na rais badala ya wao kumshauri rais?
Sio kweli halmashauri zilikuwa zikijiendesha isipokuwa watumishi wa halmashauri wao walivimbiana matumbo aka kunenepa ovyo kwa kuiba kodi zetu,Sasa mirija imekatwa mtapiga sana propaganda ila Raisi ni wetu tulimchagua wenyewe hapa kazi tu,Kaka anzisha kilimo kazi halmashauri hazilipi mlitegemea kupiga deal hakuna
 
N

Nginana

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2009
Messages
809
Points
1,000
N

Nginana

JF-Expert Member
Joined Feb 7, 2009
809 1,000
Tatizo wala siyo mawaziri kutokumshauri rais; tatizo ni katiba kumfanya rais awe wa kiimla na aiyeshaurika. Kwa mujibu wa katiba ya JMT, "....rais hatalazimika kupokea ushairi wowote...". Hivyo, kimsingi, urais wa JMT sio taasisi, bali ni nafsi ya rais mwenyewe. Na mawaziri wote wanalifahamu hilo. Julius Nyerere aliwahi kusema hii katiba "inamfanya rais awe dikteta"; hivyo ni utashi wa rais mwenyewe tu kuamua kutokuwa dikteta.

Narudia. Tatizo siyo mawaziri wala Magufuli; tatizo ni katiba. Pamoja na kuwekewa viraka hapa na pale, misingi mikuu mitatu ya katiba ya JMT iko pale pale; nayo ni: rais wa kiimla (imperial president), muungano wa serikali mbili na "chama" kushika hatamu za uongozi wa nchi.
 
GUSSIE

GUSSIE

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2014
Messages
2,342
Points
2,000
GUSSIE

GUSSIE

JF-Expert Member
Joined Dec 2, 2014
2,342 2,000
Fanya hivi:-
1 Kauli ya Mzee Hashim Rungwe kwamba raisi anatawala kwa tabia binafsi.

2 Maelezo ya Mafuru kwamba pesa zikiwa Bank binafsi ni vigumu kuzipata wakati zikitakiwa.

Ukichukuwa hizo mbili unapata ile ziara ya Magereza kuwapa B10 ambazo hazikuwepo kwenye mahesabu ya matumizi.

Kama ushawai kwenda kwenye shoo za FM Academia au Twanga wanapoanza kuwasifia ma pedeshee wao halafu pedeshee wanaanza kumwaga pesa, ndio same thing mkuu anapoelekea.

Hayo Malengo ya kuifanya Tanzania kuwa ya viwanda ndani ya Miaka mi 3 , ni ngumu kutekelezeka kwa kuwa hakuna msingi wala Dira ya kuelekea huko.

Ila ombi langu kwa kina Mwigulu wajiuzulu nafasi zao kuonyesha uzalendo. Ikiwezekana hata kujiuzulu na Ubunge kabisa na kujivua uanachama na kujiunga chama kingine na kugombea tena.

Mawaziri wa 5 wakifanya hivyo lazima mkuu ataweweseka na kuona kama njia anayoelekea si njema.
Unashauri mtu aache kazi anza wewe
 
Forum statistics

Threads 1,286,155
Members 494,879
Posts 30,885,638
Top