Elections 2015 Mwigulu Nchemba: Huu Unyama Una baraka zote za Dr. Slaa na genge lake

Sasa ushahidi wanao kuhusu huo unyama, kwa nini wamshindwa kwenda mbele ya vyombo vya sheria na wakati wenyewe ndiyo wanaviongoza? That means hawajui wanachokifanya
 
Ni siasa za hatari sana hizi wamefanya watu kuwa walemavu.
Unakumbuka kisa cha Iringa wakati mwangosi alipouawa, unakumbuka kisa cha kijana muuza magazeti Morogoro, unakumbuka kisa cha kuawa kwa vijana arusha kwenye maandamano, zaidi ya yote unakumbuka kisa cha kutupwa bomu kwenye mkutano wa CDM, ni watwa wangapi walikufa na wangapi walipata kilema ? Name mwenye siasa chafu kama chama kinachoshika dola kinakaa kimya katika unyama kama huo kwa nini tusisema kuwa CCM ndio waratibu wa mauji ya raia wasio na hatia katika nchi hii?
 
Kwa hali hii kweli chadema inabidi watafute mlango wa kutokea mapema slaa atapata aibu ya mwaka huku ACT inazidi kuja juu.
 
CHADEMA na Dr.Slaa familia za hawa watu zinateseka kwa ajili ya uroho wenu wa madaraka! Kuna siku mtalipa haya yote mnayoyafanya kwa ajili ya uroho wa madaraka!
Ataanza kulipa jakaya kikwete kwa Babu Seya na papii kocha
 
Slaa anadhani siasa ni utu uzima kumbe ni hoja ngoja watakapo pigwa na huyo dada ake sjui watatokea wapi.
 
Ondoa siasa zako chafu wee gaidi,,ni wangapi wako court kwa kuwajeruhi hao misukule unaotembea nao kila kampeni?
 
chama cha vibaka kimeshashindwa hata kabla ya uchaguzi!!! savimbi hawezi kuongoza kampeni mkashinda,yaleyale ya arusha ya kutumia vinyago yanaenda kujirudia!!!
 
Acha ushamba wewe na uhayawani wako. Watanzania wa leo hawana akili za matope kama zako kibogoyo wa kufikiri wewe pamoja na huyo kilaza mwenzio Mwigulu Nchemba. Kwani kama Dr Slaa ndio aliwafanya hao watanzania masikini hivyo vitendo polisi hawana uwezo wa kumkamata Dr Slaa???? ina maana nchi hii siku hizi Dr Slaa ana majeshi ya ulinzi na usalama??!!! halafu kwa nini polisi na vyombo vingine vya usalama mnakubali Mwigulu kwa akili yake finyu na chama chake wanawatukana na kuwadhalilisha hadharani kiasi hiki??? yani Polisi kweli mmeshindwa kazi kiasi cha kushindwa kumkamata raia tena wa kawaida sana DR SLAA na kumuwajibisha kwa kuwafanyia raia wenzake unyama huo???!!! kweli??!! CCM kweli mnachekesha sana na mnajimaliza wenyewe bila kujua maana hawa raia mnaowafanyia unyama ninyi na polisi ili baadae wawe mtaji wenu wa kisiasa kwa kuwalipa fedha mwisho wa siku watawatokea puani maana raia walishajua mchezo wenu mchafu na for sure nawaambia u are finished!!!!! hao raia wanawasubiri muangukie pua 2015 then wamwage ushahidi jinsi mlivyowahonga mapesa machafu ili watimize mlichokuwa mnakihitaji.

Kama siasa za CCM zimefikia kiwango hiki basi watanzania tumekwisha, huyu jamaa Mwigulu hatari sana kwa usalama wa taifa hili amesahamu bomu la Arusha. Da hatari sana
 
I m sorry kusema hiv,umasikin mbaya sana jaman, jamaa hawa wameendelea kuwa cartoon,i hate povert.Chadema waendelee kuzifatilia kauli za mwigulu kalenga anaweza kuwapatia jimbo bure kwa sababu ya kauli zake kwenye kampen
 
1. Hizi siasa za vurugu wananchi tuungane kuzipiga vita tuwaadhibu wanaofanya siasa chafu za kuumizana kama hizi tuwaadhibu hata kwa sanduku la kura
2. Tuupige vita pia huu udharirishaji unaofanywa na akina Mwigulu Nchemba wa kuzunguka na waathirika wa siasa za vurugu ili wawageuze mtaji wao wa kisiasa
 
Last edited by a moderator:
Chadema ni na kundi la mateja, hawajitambui wanafanya nini.
Chama Chao cha hovyo kweli.
 
Sasa ushahidi wanao kuhusu huo unyama, kwa nini wamshindwa kwenda mbele ya vyombo vya sheria na wakati wenyewe ndiyo wanaviongoza? That means hawajui wanachokifanya

Kesi ya kilewo ya kummwagia tindikali bwana TESHA inaunguruma mahakama ya Igunga mpaka Leo!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom