Elections 2015 Mwigulu Nchemba: Huu Unyama Una baraka zote za Dr. Slaa na genge lake

Mohamed Mwaupete

JF-Expert Member
Oct 7, 2013
375
133
1622176_673540786041329_124503048_n.jpg
1780655_673540839374657_1516800168_n.jpg
1902026_673540866041321_296530695_n.jpg

Naibu Katibu Mkuu CCM Bara Mh:Mwigulu Nchemba akizungumza na Wananchi wa kata ya Ifakara wakati wa Mkutano wa Kufungua Kampeni uliofanyika Jana Tar.27/02/2014.Hapa akiwa na Wahanga wa siasa chafu zinazodaiwa Kufanywa na Chadema kupitia Vijana wake wa Redbrigade.Mwenye T-shirt ya Njano ni Mzee Alphonce John ambaye alitopolewa Macho kwa dispisi wakati wa Uchaguzi wa Udiwani huko Kahama Mwezi uliopita.

Mwigine mwenye Shati la Kijana ni Kijana Musa Tesha ambaye alimwagiwa Tindikali na Vijana wanaodaiwa Kuwa wa Chadema huko Igunga wakati wa Uchaguzi Mdogo wa Jimbo hilo.Mh:Mwigulu Nchemba jana amesisitiza Wananchi wa Kalenga kuwa makini na siasa Chafu za Chadema zinazofanywa sehemu mbalimbali hasa kwenye nyakati kama hizi za Uchaguzi.Amesisitiza kuwa kwenye Chaguzi zozote Vyama vya siasa vinashindanisha Sera na hoja kuhusu Maendeleo ya Wananchi wa eleo hilo,Mkataba wa CCM na Wananchi ni Maendeleo katika Taifa hili,Umoja na Mshikamano ndio ngao ya MwanaCCM yeyote.

Mwigulu Nchemba amesema dhambi ya Mauaji na Unyama unaoendelea kwenye mikutano ya siasa na maeneo mbalimbali haitamwacha Dr.slaa Salama kutokana na yeye kuwa kiongozi anayebariki Siasa chafu hizo.

Chanzo:Kalenga
 
Acha ushamba wewe na uhayawani wako. Watanzania wa leo hawana akili za matope kama zako kibogoyo wa kufikiri wewe pamoja na huyo kilaza mwenzio Mwigulu Nchemba. Kwani kama Dr Slaa ndio aliwafanya hao watanzania masikini hivyo vitendo polisi hawana uwezo wa kumkamata Dr Slaa???? ina maana nchi hii siku hizi Dr Slaa ana majeshi ya ulinzi na usalama??!!! halafu kwa nini polisi na vyombo vingine vya usalama mnakubali Mwigulu kwa akili yake finyu na chama chake wanawatukana na kuwadhalilisha hadharani kiasi hiki??? yani Polisi kweli mmeshindwa kazi kiasi cha kushindwa kumkamata raia tena wa kawaida sana DR SLAA na kumuwajibisha kwa kuwafanyia raia wenzake unyama huo???!!! kweli??!! CCM kweli mnachekesha sana na mnajimaliza wenyewe bila kujua maana hawa raia mnaowafanyia unyama ninyi na polisi ili baadae wawe mtaji wenu wa kisiasa kwa kuwalipa fedha mwisho wa siku watawatokea puani maana raia walishajua mchezo wenu mchafu na for sure nawaambia u are finished!!!!! hao raia wanawasubiri muangukie pua 2015 then wamwage ushahidi jinsi mlivyowahonga mapesa machafu ili watimize mlichokuwa mnakihitaji.
 
Chadema ni sawa na Alshabaab tu.

Viongozi wao wanatumia maisha ya watu kama mtaji wa siasa

Tuna jeshi la polisi ambalo IGP anateuliwa na raisi ambaye ni Mwenyekiti wa CCM. Ebu niambie Bwana Lukosi, wewe ulikuwa askari polisi. Enzi zako za kazi ulimkuwa una waangalia tu watuhumiwa kama jeshi la sasa ambalo linamuangalia tu Dr. Slaa pamoja na kutuhumiwa kung'oa macho na kuwamwagia watu tindikali?
 
Hawa jamaa wanaotembezwa na ulemavu wao namna hiyo sijui hata wanajisikiaje mioyoni mwao! Unawezaje kumruhusu mwanasiasa kutumia ulemavu wa kiwango hicho kama mtaji wake kisiasa wakati huo huo ukiwa unaonyeshwa kama picha mbele za watu? Au kwa wenzetu hawa kwao hii ni ajira kwa maana kwamba wanajiingizia kipato kwa kuonyeshwa hadharani namna hiyo?
 
Chadema ni wauwaji wakubwa

Na serikali ya ccm ni waleaji wakubwa wa hao wauwaji.... Tuna jeshi,polisi,mahakama...inakuaje wauwaji wakubwa kama chadema hawakamatwi? Udhaifu wa serikali au ni mashtaka ya kutunga !!!! Something is wrong somewhere....
 
1622176_673540786041329_124503048_n.jpg
1780655_673540839374657_1516800168_n.jpg
1902026_673540866041321_296530695_n.jpg

Naibu Katibu Mkuu CCM Bara Mh:Mwigulu Nchemba akizungumza na Wananchi wa kata ya Ifakara wakati wa Mkutano wa Kufungua Kampeni uliofanyika Jana Tar.27/02/2014.Hapa akiwa na Wahanga wa siasa chafu zinazodaiwa Kufanywa na Chadema kupitia Vijana wake wa Redbrigade.Mwenye T-shirt ya Njano ni Mzee Alphonce John ambaye alitopolewa Macho kwa dispisi wakati wa Uchaguzi wa Udiwani huko Kahama Mwezi uliopita.

Mwigine mwenye Shati la Kijana ni Kijana Musa Tesha ambaye alimwagiwa Tindikali na Vijana wanaodaiwa Kuwa wa Chadema huko Igunga wakati wa Uchaguzi Mdogo wa Jimbo hilo.Mh:Mwigulu Nchemba jana amesisitiza Wananchi wa Kalenga kuwa makini na siasa Chafu za Chadema zinazofanywa sehemu mbalimbali hasa kwenye nyakati kama hizi za Uchaguzi.Amesisitiza kuwa kwenye Chaguzi zozote Vyama vya siasa vinashindanisha Sera na hoja kuhusu Maendeleo ya Wananchi wa eleo hilo,Mkataba wa CCM na Wananchi ni Maendeleo katika Taifa hili,Umoja na Mshikamano ndio ngao ya MwanaCCM yeyote.

Mwigulu Nchemba amesema dhambi ya Mauaji na Unyama unaoendelea kwenye mikutano ya siasa na maeneo mbalimbali haitamwacha Dr.slaa Salama kutokana na yeye kuwa kiongozi anayebariki Siasa chafu hizo.

Chanzo:Kalenga

Angewaeleza jinsi polisi walivyotoa ushahidi mahakamani kuwa alikodisha kundi la kufanya Vurugu kule Singida kijiji cha ndago kwenye mkutano wa CHADEMA na kusababisha mauaji ya kijana mmoja mtoto wa kiongozi mwenzake wa CCM
 
CHADEMA na Dr.Slaa familia za hawa watu zinateseka kwa ajili ya uroho wenu wa madaraka! Kuna siku mtalipa haya yote mnayoyafanya kwa ajili ya uroho wa madaraka!
 
Kila sehemu anakokanyaga huyu jamaa CCM inabwagwa - hivi hawajajifunza tu!! maana siasa za huyu jamaa ni za vita vita tu.

Kalenga - i can't wait to count CDM winning!!
 
hahahahaha uyu nae heti ni waziri tena wa wizara nyeti....
sasa sijui hizo ndio sera za uchumi...wana kalenga mna kazi, kama huo ndio mtaji wa chama tawala.....maendeleo mtayaskia kwenye redio tu.
 
Back
Top Bottom