Mwigulu Nchemba: CHADEMA itakufa 2015


Kumbe unajua kwa sasa yupo fit sana, Jimbo lako litakuwa tayari mikononi mwa CHADEMA
 
Mkuu Molemo hapo
ndipo niliposhangaa! Kiukweli ukiangalia mabandiko yao masalia na
mpangilio wa maneno yao ya utetezi wa kipuuzi unagundua ni watu wenye
upeo mdogo sana!! Tena ni wote sio mmoja!



upumbavu wenu wa kishabiki ukichanganya na ujinga mnapata majibu yenu kwamba uko wapi nyinyi washabiki tu! walaji wengine huo ndo ukweli, subiri nina waraka wa kikao cha siri kilichofanyika kwa Mtei ndipo utaamini nini ninachomaanisha soon nitaweka hewani kwa utaratibu nyie si akina Thomaso?
 
CDM ikifa ndio maendeleo na maisha bora kwa kila mtanzania yanapatikana? Mchemba chama chenu kina dola shughulikieni kuondoa umasikini Mikoani, Kusini mliwaambia gesi ilizalishwa mtaweka viwanda vya bati, cement, na matunda sasa gesi imepatikana mnaanza kutabiri kufa kwa CDM badala ya kufanya kazi
 
CHADEMA inawaumiza sana kichwa kumbe,kila kukicha ndo kimewajaa mdomoni? Fikirieni namna ya kuwakomboa watz ktk dimbwi la umaskini etc
 
.....ni kama mikoa yenye madini halafu wakazi wa pale wategemee Serikali itawapa vocha za kuweka kwenye simu kwa vile madini yao kwao.....
Nilidhani ni Wananchi tu ndiyo hawajuhi nini Chama-Dola (wenye Serikali) kinapaswa kuwafanyia. Kumbe nilikosea. Hata wenye dola nao hawajuhi wajibu wao au nini wanapaswa kuwafanyia Wananchi!
 
Huyu Mwigulu anaonekana ana Mtindio wa Akili, Chadema for Life, Mungu amwezeshe aanze kufa yeye Mchumia Tumbo.
 
Mkuu Molemo hapo ndipo niliposhangaa! Kiukweli ukiangalia mabandiko yao masalia na mpangilio wa maneno yao ya utetezi wa kipuuzi unagundua ni watu wenye upeo mdogo sana!! Tena ni wote sio mmoja!


Mkuu Navaya, asante kwa kujibu, maana umedhihirisha nililokua nasema katika post yangu.

Btw, naona mmeongeza ID nyingine!! Ndio ukomo wa upeo wa mawazo yenu nadhani, sio kosa lenu! Kwa watu kama nyie nadhani tungepaswa kwenda mbali zaidi kuuliza (kwa wakunga walio wasaidia wazazi wenu kujifungua ninyi 'salama') kama wakati kila mmoja wenu anazaliwa, kama kweli alilia kwa wakati, maana tunaweza kuwa tuna'deal na watu wenye mapungufu ya kuzaliwa hivyo kuwalaumu ninyi ni kuwaonea.

Sina haja ya mabishano na wewe, ila anayetaka ushahidi wa nililoongea kwenye post yangu kwa Molemo (hiyo nyekundu hapo juu) atazame mpangilio wako wa maneno!! Ni kama mtu uliyekurupuka, usiye na utulivu wa fikra wakati wa kuandika, that in itself tells a million words about your character and attitude, trust me!

Hebu tuongelee huo waraka sasa,kwa hiyo unaposema una waraka wa kikao cha siri kilichofanyika kwa Mtei unamaanisha kuwa huo ndio ushahidi usio na shaka kuwa yalioandikwa yamefanyika?!!
Ukifikiria wakati tuliopo utagundua kuwa hiyo tu haitoshi, utapaswa kwenda mbali zaidi kutuaminisha kuwa ni kweli yalitokea, mtu yeyote anaweza kuandika huo waraka, na akausaini, tumeona vingi na vikubwa vikifanyika kuwahadaa watu, leo unaleta waraka kama ushahidi?!
 

msijali wapendwa kuhusu maneno ya mwigulu, hayana effect, kwenye red mmeona kabisa kuwa hana uhakika, asumption 'ikishinda', inaweza ikawa vinginevyo., halafu bado anaendelea na ndoto, 'atakuwa amechoka'. masikini, nawapa pole- mbona wanachukua muda mwingi kuwaza, hadi wanapata ndoto za ajabu. Mungu awatie nguvu, mabadiliko ni lazima
 
Kwani Mwigulu naye alikuwa mwanafunzi wa Marehemu Sheikh Yahya Hussein? Nchi hii bwana....we acha tu. Kila kitu rahisi:siasa rahisi,kushinda uchaguzi rahisi,na kutabiri rahisi.
 
Dr. Slaa ni hatari kwa CCM, ndiyo maana hawachoki kumtaja taja.

CCM itakufa, wao watakufa CHADEMA kama kuchukua mamlaka ya nchi 2015 ndiyo kufa wacha basi tunaiombea ife kuwa mpinzani, izaliwe kuwa chama tawala Tanzania.
 
hizi fikra za mwigulu nchemba ni sawasawa na mtu anayeota ndoto halafu katika hiyo ndoto anafanya assumption
 
Mbuzi wa bibi wakikosa majani huwa wanakula kitu chochote chenye rangi ya kijanii... Naanza kuwafuga ili mpaka 2015 CCM watembee matumbo wazii mana mbuzi wangu watakua wamekula sare zao wotee... Huyu Mwigulu anaongeaga utadhani kashikiwa bunduki nyuma.... Hizo taarabu akamuimbie mkewe..
 
Just being curious, wajameni hebu angalieni vizuri hiyo picha ya Mwigulu Chemba,,,, Naona kama ANAFANANA sana na Riz1 na pia kuna ka weupe flani hapo kama ka Baba mwenye Kaya. Sijui wenzangu mmeonaje hapo...

It's clear now Dr Slaa ndiye anayewanyima usingizi hawa wendawazimu, natamani Maandamano yaanze tena...
 
aka mkosa chama tatizo la Watz tunashabikia tusilolijua kwani hamjua vita iliyopo cdm? kama hamjui hicho chama cha wachaga mtadanganyika mpaka lini fuatilieni mtaona au ni chama cha mzee Mtei

Taabu ya kufikiri kwa kutumia Masaburi! Harufu kali nhuu!:A S angry:
 
aka mkosa chama tatizo la Watz tunashabikia tusilolijua kwani hamjua vita iliyopo cdm? kama hamjui hicho chama cha wachaga mtadanganyika mpaka lini fuatilieni mtaona au ni chama cha mzee Mtei

Hiyo niliyopigia mstari ndo mlianza nayo wakati ule na mkashindwa, haina mashiko!
 
Njaa haina adabu mkuu TUKUTUKU ,vijana wa ccm wameamua kujitoa ufahamu kwa sababu ya njaa zao.....

Lengo ni kupata mkate wao wa kila siku,mkuu Dr.zero still we have a long way to go!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…