Mwigulu Nchemba: CHADEMA itakufa 2015

Mtasema saaaaana na usiku hamlali CDM tunasonga mbele kwa raha zetu. Kwenye ngano hayakosi magugu nyie endeleeni kumaliza tembo wetu hukumu yenu 2015
 
Hakuna fact hata moja zaidi ya mawazo finyu, anyway hata moto wa -------- huotwa.
 
Kwa kweli mkuu imenisikitisha sana

I feel sorry kwa Dr kwani kibarua ndio kinaota mbawa hivyo , nani tena atakayempa mshahara wa milioni saba?

Labda agombee tena ubunge, lakini sidhani kama kuna mtu atampigia kura tena, umri wake umesogea sana halafu bado anagombea wake za watu!
 
Endelea kujipa moyo wakati barafu ndio inayeyuka hivyo

Kwa sababu ya wanafiki? Wewe na wanafiki wenzenu mtakufa mtaicha cdm, wanafiki wote mtachomwa moto mkali kwa hapa duniani na kuzimu.
 
hizi mambo ni bwana zinachanganya sana. its zitto vs ccm vs cdm.
 

Wewe nenda ukaombe radhi kwa Mjane wa Marehemu Mwangosi kwa Dhambi yako ya kula rambi rambi.
Only that will set you free you.
Otherwise very soon utaanza kuokota Makopo Kabisa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…