Mwigulu Nchemba: Bajeti inakataliwa na wapinzani kwa shinikizo la nchi za Magharibi!

Huko magharibi ndiko barazani kwa JK ameishi zaidi huko kuliko ofisini kwake ndiko anakopeleka dhahabu yetu na kuleta vyandarua vyenye matundu yenye uwezo wa kupenyeza mdudu na kumaliza samaki wetu, sasa hapa nchemba anamsema bosi wake au? ama kweli kukataliwa kubaya ccm wanachanganyikiwa na hali halisi ya upepo wa kisiasa.
 
Maswali ya kujiuliza,Kama ni kweli usalama wa taifa upo wapi?Hawa jamaa wa ccm sio wa kuwaamini kwani tukikumbuka ktk kipindi kile cha uchaguzi mdogo wa Igunga katibu mkuu wa ccm Mukama aliwahi kudai kuwepo kwa makomandoo kutoka Libya/Siria na waliletwa na Chama cha Chadema kwa ajili ya kuipindua nchi hii habari ambazo hazikuwa za kweli.
 
Serikali ni yao, wanalalamika nini kama kuna ukweli kwanini wasichukue hatua?
Huyo Mzinzi mwenye first class degree ya uasherati akaombewe na Msigwa!
 
Suala hapa ni hoja huyu siyo mwandishi wa habari analeta hoja kama ni uandishi kuna watu wamesomea, badala ya kuchambua hoja unakazania makosa ambayo hayana mantiki GAMBA, mwigulu ni tatizo na kinachomsumbua ni kutaka popularity akifikiri watanzania ni wajinga utamuona amejifubga skafu ya bendera lakini akiongea upumbavu kupindukia wapambe wake wamwambie fimbo ya magamba inakuja kwa sababu ADUI MKUBWA WA CCM NI MAISHA MAGUMU KWA WATANZANIA NA WALA SI CHADEMA SASA WANAACHA KUPAMBANA NAE WANAKIMBIZANA NA CHADEMA WAMELOST
jaribu kuihariri thread yako, ina makosa kibao.
 
Mbunge wa iramba magharibi Muigulu Nchemba amedai kuwa wapinzani wanaoikataa bajeti ni shinikizo kutoka nchi za magharibi kwa nia na lengo la kuja kupora raslimali zetu yakiwamo madini/gesi/na Mali asili nyingine.aliyasema hayo alipokuwa akifanyiwa mahojiano na gazeti la Majira huko mjini Dodoma

Sorce:gazeti la Majira

Mbona ni miaka mingi tangu waanze kupora ktk jina la uwekezaji? "silly season"
 
Mi nadhan waandishi wa wariomuhoji mwigulu ni hakunaga. Wangemhoji hivi madini na vitu vyote vnavyochukuliwa na makaburu tatizo ni chadema?. Achaneni na mwigulu, amechanganikiwa. Mwigulu first class, uchumi wa nchi ziro?. Pole mwigulu.
 
Anatafuta umaarufu na hatoupata labda hukohuo ccm lakini kwa wananchi atausikia 2 anatamani awe kama kina zito, mnyika, lema nk hawezi sababu ni mnafiki no 1 anajifanya anaipenda sana ccm kuliko TZ.
 
Mbunge wa iramba magharibi Muigulu Nchemba amedai kuwa wapinzani wanaoikataa bajeti ni shinikizo kutoka nchi za magharibi kwa nia na lengo la kuja kupora raslimali zetu yakiwamo madini/gesi/na Mali asili nyingine.aliyasema hayo alipokuwa akifanyiwa mahojiano na gazeti la Majira huko mjini Dodoma

Sorce:gazeti la Majira
Mbona CHADEMA ilishanunuliwa na chama cha Kameruni miaka mingi tu.
Wajijue watarudishaje fedha za hao watu, nothing is for free.
Na Kameruni anafahamika kwa ukameruni wake! Wasituingize watanzania katika mambo ya kijinga.
 
Sikujua kama huyu chemba (ya choo) ni kilaza kiasi hicho. Wabunge wenye akili wanataka bujeti inayolenga kumsaidia mwananchi wa hali ya chini yeye anasema wametumwa na wamagharibi. Jamani kiukweli hata kama magharibi wamewatuma kupinga huoni kama wanatutakia mazuri kwa kutaka bajeti imsaidie mtanzani na siyo serikali ya magamba tu.
 
Mi nadhan waandishi wa wariomuhoji mwigulu ni hakunaga. Wangemhoji hivi madini na vitu vyote vnavyochukuliwa na makaburu tatizo ni chadema?. Achaneni na mwigulu, amechanganikiwa. Mwigulu first class, uchumi wa nchi ziro?. Pole mwigulu.

Anasema haya kwa sababu anajua kuna watu ambao ni wavivu wa kufikiri watakaomwamini.
 
Mbunge wa iramba magharibi Muigulu Nchemba amedai kuwa wapinzani wanaoikataa bajeti ni shinikizo kutoka nchi za magharibi kwa nia na lengo la kuja kupora raslimali zetu yakiwamo madini/gesi/na Mali asili nyingine.aliyasema hayo alipokuwa akifanyiwa mahojiano na gazeti la Majira huko mjini Dodoma

Sorce:gazeti la Majira

Ingawa sio vema kuchukuwa reference muhimu kutoka kwa kichaa, vichaa nao saa nyingine wanazidiana, huyu yuko juu sana katika vichaa sugu wa kisiasa hapa Bongo. Leo wageni wanaondoka na mali asili zetu chini ya ulinzi wa serikali ya ccm, sasa CDM wanagombea kupanda kwa mapato yatokanayo na madini kuwabana wageni hao, yupi ni bora?
 
Na yeye ni mpinzani au anawasemea mawazo yao au ameamua kuota kwa sauti
 
madini yanayoibiwa sasa hivi na hizo nchi ni kwa kuipinga bajeti?anachojaribu kufanya ni kutaka kuwapumbaza watanzania kuhusu uporaji wa madini unaofanywa na ccm sasa hivi..
 
Mbunge wa iramba magharibi Muigulu Nchemba amedai kuwa wapinzani wanaoikataa bajeti ni shinikizo kutoka nchi za magharibi kwa nia na lengo la kuja kupora raslimali zetu yakiwamo madini/gesi/na Mali asili nyingine.aliyasema hayo alipokuwa akifanyiwa mahojiano na gazeti la Majira huko mjini Dodoma

Sorce:gazeti la Majira

habar hii niliisikia kwenye gazet la majira ambalo lilichambuliwa na magic fm,,,ila sikujua nani ametoa kaul hiyo,sasa nikajiuliza mbona kwa sasa tunaporwa rasilimali wakat hatupo vitani????hawa jamaa(wanasiasa)mbona wanatuzingua sana jamaniiii
 
madini yanayoibiwa sasa hivi na hizo nchi ni kwa kuipinga bajeti?anachojaribu kufanya ni kutaka kuwapumbaza watanzania kuhusu uporaji wa madini unaofanywa na ccm sasa hivi..

mdau nami nimejiuliza kama wewe,,,je haya yanayoporwa leo,misitu wanayoifyeka,na gas zoooote,tupo kwenye machafuko???juz HAMAD RASHID amesema kuna mwekezaj ana passport 5 na kila mwez anaondoka na kg 15 za dhahabu
 
Jamani, najua humu kuna watu wanaweza kuweka matokeoyale ya mwisho kwa shule alizopita, hebu wekeni tujua IQ yake!
 
Mwigulu nambari wani wa ccm na waziri wa fedha wa ccm, wana ccm mna waziri wa fedha mwigulu au Mgimwa?
 
Back
Top Bottom