Mwigulu Nchemba aumbuliwa na Waziri Nahodha Bungeni leo

Kwa mfano air defence system ya dar inalindwa na missile unit nne,, moja kaskazini, kusini, mashariki na magharibi.these units are squarely placed at fixed angle and distance kutegemea area coverage ya radar na missile range..., sasa ukihamisha hata unit moja tayari anga linakua na air gap.missile zinazolinda hapo dar ni petchora c 125 complex guided missile system.its russian, petchora means mshale.at all moments they are on launchers, utazihamishaje sasa

Hii ni shule tosha!Natumaini atakuwa amekusoma!
 
Makala ya Dr Kitila anasema ni vizuri Mwigulu na wenzake wakazidi kubaki na pia kupewa vyeo zaidi ili kuzidi kukidhoofisha chama chao zaidi. kwahiyo tuendelee kumuombe Mwingulu mwenyekiti ampe hata ukatibu mkuu wa chama chao.
 
Back
Top Bottom