Naibu Katibu Mkuu CCM Mh. Nchemba anafanya janja ya nyani kuanza kufanya kampeni, angalia chini picha na maneno yaliyoandikwa "MWIGULU NCHEMBA 2015" ukiwa unatokea DSM kwenda Mwanza hutashangaa kukuta maneno hayo yameandikwa katika majengo/nyumba, mawe n.k hasa maeneo ya Singida kuelekea Mwanza. Pia maneno kama hayo yameonekana Iiringa barabara ya kwenda Mbeya.
Swali, je huyu ni kiongozi ndani ya chama kuwazuia wenzake kufanya kampeni?
Swali, je huyu ni kiongozi ndani ya chama kuwazuia wenzake kufanya kampeni?