Kama mtu aliweza kuwa na kikosi cha kigaidi anakiratibu atashindwa kikosi kama hiki?Inawezekana kabisa huu mpango wa kujichora unaratibiwa na yy mwenyewe.. na huenda ni kakikos kalitumwa kuchora huu upuuz kwenye baadh ya maeneo... sio bure

Hilo bango nililiona juzi wakati nakuja moshi nikitokea mwanza mitaa ya karibu na shelui hakika nilikwazika sana maana jamaa simpendi kaa nn
mikono yake imejaa damu za watu kwanza atubu mbele ya Mungu na mbele Watanzania wote alafu ndo aendelee na mambo mengine lakini urais atausikiaga tu 2015 UKAWA Slaa
huyu jamaa nilikuwa cmpendi zamani lakini sasa i am trusting him, maana kajirekebisha na anaonekana ni mtu anaeza leta changes kulikuwa kuliko wote walioko ndani ya ccm. i am sure huyu jamaa atamdondosho lowasa.
Hata mie niliona nikadhani wahuni wameandika kwa kuzingatia ile tabia yao ya kuweka "machata" kumbe "nchi" nzima ameandika hii ni tabia mbaya sana kwanza ni uchafuzi lazima upigwe marufuku huu uhuni na aagizwe akafute!sio hilo tu hata pale RUVU kama unakuja dsm pale reli ikipopita juu ya barabara....
Mkuu unadhani mwanaume akiwa na malengo ya kumtongoza mrembo amtakae unadhani atajionyesha tabia na matendo yake ya ajabu ajabu? Huyu jamaa anatuhadaaa na anadhani sisi Watanzania tuna ubongo wa kuku wa kienyeji.
huyu jamaa nilikuwa cmpendi zamani lakini sasa i am trusting him, maana kajirekebisha na anaonekana ni mtu anaeza leta changes kulikuwa kuliko wote walioko ndani ya ccm. i am sure huyu jamaa atamdondosho lowasa.
nadhani unamaanisha mademu?Kachafua sana vikaravati vya barabara ya Dodoma - Iringa mshenzi huyu