Mwigulu Nchemba atoa kali

Mwigulu Nchemba atoa kali

Tanzania ndio itakuwa nchi ya kwanza kuongozwa na raisi aliyefoji jina na umri
 
Mleta mada inawezekana hiyo picha hiyo picha imefanyiwa editting, maana nikiangalia hizo elufi kwenye dirisha napata mashaka, au labda ni huu mchina wangu unanidanganya?
 
Tutasikia mengi, tutaona mengi kwa wana siasa mwaka huu

nachagua kiongoz bora na stochagua chama kwa kuona tu bendera.
 
Hayo maandishi yameandikwa hadi kwenye majabali ya mlima senkenke. Kuna mtu analipwa kuandika ktk kila eneo linalopitwa na watu wengi
 
Mwigulu atajibadili rangi zote kaa Kinyonga huko kote ni kujilisha Upepo tu,HAKUNA MTANZANIA WAKUMWAMINI NCHEMBA na kumkabidhi Nchi Mwaka huu 2015CCM Mkilikata jina la LOWASSA kwa majungu na unafiki,Basi,NI BORA UKAWA UONGOZE NCHI.
 
Naibu Katibu Mkuu CCM Mh. Nchemba anafanya janja ya nyani kuanza kufanya kampeni, angalia chini picha na maneno yaliyoandikwa "MWIGULU NCHEMBA 2015" ukiwa unatokea DSM kwenda Mwanza hutashangaa kukuta maneno hayo yameandikwa katika majengo/nyumba, mawe n.k hasa maeneo ya Singida kuelekea Mwanza. Pia maneno kama hayo yameonekana Iiringa barabara ya kwenda Mbeya.

Swali, je huyu ni kiongozi ndani ya chama kuwazuia wenzake kufanya kampeni?

Ni kweli hata mimi nimeyaona baadhi ya maandishi hayo kwenye majengo yaliyokuwa kambi ya wachina wa barabara.
 
Nilijikuta nacheka kwa sauti kubwa sana baada ya kumuona Mwigulu Nchemba alipokua akimtetea our good Prof. Lipumba dhidi ya kipigo cha polisi ktk habari iliyorushwa na Itv.
 
Last edited by a moderator:
Mleta mada inawezekana hiyo picha hiyo picha imefanyiwa editting, maana nikiangalia hizo elufi kwenye dirisha napata mashaka, au labda ni huu mchina wangu unanidanganya?

Angalia nimekudondoshea na zingine za Iringa, zingine zipo njiani zinakuja ukweli utajulikana tu nani mchina kati yangu na wewe!
 
sio dhambi kuandikwa kihivyo.mbona nimeona gari limeandikwa maneno ya kumkampenia kijana mmoja, mbona na kitabu kimetungwa pamoja na kununuliwa makala kwenye magazeti ili watu wakisome kitabu hicho?
Naibu Katibu Mkuu CCM Mh. Nchemba anafanya janja ya nyani kuanza kufanya kampeni, angalia chini picha na maneno yaliyoandikwa "MWIGULU NCHEMBA 2015" ukiwa unatokea DSM kwenda Mwanza hutashangaa kukuta maneno hayo yameandikwa katika majengo/nyumba, mawe n.k hasa maeneo ya Singida kuelekea Mwanza. Pia maneno kama hayo yameonekana Iiringa barabara ya kwenda Mbeya.

Swali, je huyu ni kiongozi ndani ya chama kuwazuia wenzake kufanya kampeni?

sio dhambi kuandikwa kihivyo.mbona nimeona gari limeandikwa maneno ya kumkampenia kijana mmoja, mbona na kitabu kimetungwa pamoja na kununuliwa makala kwenye magazeti ili watu wakisome kitabu hicho?

Tumia akili kidogo uliyonayo hoja ni kujiweka wazi Makamba kawa muwazi na ana adhabu na waliompa adhabu ndo huyu anayeaandika kwenye mawe, chunguza vizuri ila pia siwezi kushangaa ukiendelea kupinga naona upo huko, kazi kwenu watanzania!
 
kazi ni kwako qinetiq kwani kuweka wazi au kufanya kimyakimya yote ni kampeni, na hiyo haihalalishi mimi kuwepo huko. huwezi kushangaa kwa kuwa haya ni maoni yangu nawe toa maoni yako usinilazimishe kuunga mkono kile unachoamini wewe
Tumia akili kidogo uliyonayo hoja ni kujiweka wazi Makamba kawa muwazi na ana adhabu na waliompa adhabu ndo huyu anayeaandika kwenye mawe, chunguza vizuri ila pia siwezi kushangaa ukiendelea kupinga naona upo huko, kazi kwenu watanzania!
 
Kila palipo andikwa jina lake paandikwe shoga kwa juu yake. Atafuta mwenyewe analeta ujanja wa shule ya msingi hapa
 
Ni wazi kuwa maandishi hayo yameratibiwa na Mwigulu mwenyewe maana ujumbe unafanana na pia sehemu yanapowekwa.
Siasa za kijinga, uchafuzi wa mazingira na ulimbukeni.
 
Back
Top Bottom