okonkwo jr
JF-Expert Member
- Jun 14, 2015
- 2,419
- 1,739
Nimesikitika na kuhuzunika sana juu ya mtangaza nia ya urais ndugu mwigulu,eti naye anadai urais wa jmt! hanashughuli za kufanya kwao pindi atakapositaafu? ok jambo lililonikera ni uchafuzi wa mazingira uliofanywa na huyu bwana,ukianzia katoro geita kuna jengo la benki ya nmb kuna chata yake, njoo njia nzima, na kiboko yake ni singida hapa huyu bwana ndo kaharibu zaidi,swali langu ni nani aliyemtuma huyu bwana kutafuta urais kwa kuchafua mazingira,?mambo aliyoyafanya ni sawa na ya mtoto wa darasa la kwanza,je wanaharakati wa mazingira wako wapi ? ili wamshughulikie ikiwezekana ayafute hayo maandishi,nawasilisha hoja!