Mwigulu Nchemba ala Matapishi yake

Mwigulu Nchemba ala Matapishi yake

Ahsante sana Mkuu, huyu ni fisadi mwingine kahongwa helicopter kuzunguka nchini kuuza sura yake na pumba zake eti naye anataka kuwa Rais wa Tanzania!!!

Eti Mwigulu mzalendo!upuuzi mtupu,watz wanashawishika na vitu vidogo sana asee
 
Du, Kha Mwigulu naye kaonja Raha ya Uchadema (kuruka na chopa) kumbe ametumia lakimbili kuzunguka mikoa mitatu tu, Ahaaaa ukistaajabu ya mwiguru utayona ya Makamba.
 
Mwigulu, Kigwangala,Januari ...Nadhani kuna tatizo kubwa katika jamii yetu. Kama kwa hayo waliyofanya hao jamaa ndio wanaweza wakasimama na kujinasibu kwamba "wameombwa na wazee" wagombee URAIS wa JAMHURI YA MUUNGANO YA TANZANIA, basi kwa kweli tuna matatizo. Suala siyo tu kutangaza nia. nadhani inatakiwa mtu ajipange kwamba atatangaza nia miaka kadhaa ijayo, halafu aje na strategic plan ambayo ataitekeleza kwa kipindi hicho, na watu watakuwa wamemjua kwamba aaah huyu anatufaa. hivi ni kwa lipi hasa tunaweza kuanza kumjadili Mwigulu? kwa kesi za ugaidi? haya na huyo Kigwangala - kwa lipi hasa? hata kama ni ubunge, basi angalau tuoneshe unachoweza kufanya katika jimbo lako kwa vipindi viwili vitatu hivi, jinsi uanvyoweza kujenga hoja za kitaifa, unavyoweza kuwaunganisha watu mahali walipoparaganyika.

Kuna ombwe kubwa sana, hatufanani na taifa ambalo lina umri wa miaka 53. Kama kweli ushindani wa watu makini ungekuwa mkali, akina Mwigulu wala wasingefikiria kusogeza pua zao. na matokeo yake ndio hivi vituko. jana Mwigulu ana ajenda za ugaidi, ndevu kibao na anasema ana ushahidi mpaka wa Mbinguni. lakini leo amenyoa ndevu staili ya Nyerere, anaongea kwa pozi. kwa hiyo ndio tuseme amejenga visheni na falsafa tayari? labda falsafa ya chopa.
 
Uyu jamaa ana uwezo mdogo sana kiutendaji!!!! alafu anakuja na ngonjera hapa anajifananisha na sokoine
 
Mkuu Majamaa mtaji wao mkuwa ni uelewa duni wa watanzania,
 
Namheshimi sana Mwigulu kwa uzalendo wake, lakini kuna maswali hapa yananitatiza.

Tunasema kwamba viongozi kama mawaziri wasipokee zawadi kubwa toka kwa wafanyabiashara kwa kuwa zawadi kubwa zinahusianishwa na rushwa

Tibaijuka kawajibishwa kwa kupokea zawadi ya Tshs 1.6 billion toka kwa mfanya biashara.

Iweje basi, kwa Tibaijuka iwe si sawa kupokea zawadi ya Tshs 1.6b, na kwa Mwigulu iwe sawa kupewa zawadi ya huduma ya chopa ya bure na mfanya biashara? Je, tunaelewa thamani ya huduma ya chopa hiyo ikiwa Mwigulu angetakiwa kuilipia kuzungukia mikoa ya Tanzania? Na kama huyo mfanya biashara angempa Mwigulu hizo fedha ili akakodi chopa, ingeonekana ni sawa?

Na huyo mfanya biashara atapata nini toka kwa Mwigulu? Je Mwigulu ataweza kumkatalia chochote atakachodai akijua alifadhiliwa kwa chopa?

Naona tuna tatizo la double standards.

CCM bwana . Wanasema wamejenga barabara mbona bado wanaruka na Chopa ? Unafiki ni mbaya sana .
 
CDM ni creative mind sio kama CCM bongolalaa
 
Hiyo chopa nikiwa Sober siwezi panda. Ngalangala kama lile basi la NGANGA Linaloelekea mikoa ya nyanda za juu kusini

Kinana amemwambia hataki kuiona hiyo chopa wala yeye kuonekana kwenye jukwaa nje ya ratiba za chama.
 
Namheshimi sana Mwigulu kwa uzalendo wake, lakini kuna maswali hapa yananitatiza.

Tunasema kwamba viongozi kama mawaziri wasipokee zawadi kubwa toka kwa wafanyabiashara kwa kuwa zawadi kubwa zinahusianishwa na rushwa

Tibaijuka kawajibishwa kwa kupokea zawadi ya Tshs 1.6 billion toka kwa mfanya biashara.

Iweje basi, kwa Tibaijuka iwe si sawa kupokea zawadi ya Tshs 1.6b, na kwa Mwigulu iwe sawa kupewa zawadi ya huduma ya chopa ya bure na mfanya biashara? Je, tunaelewa thamani ya huduma ya chopa hiyo ikiwa Mwigulu angetakiwa kuilipia kuzungukia mikoa ya Tanzania? Na kama huyo mfanya biashara angempa Mwigulu hizo fedha ili akakodi chopa, ingeonekana ni sawa?

Na huyo mfanya biashara atapata nini toka kwa Mwigulu? Je Mwigulu ataweza kumkatalia chochote atakachodai akijua alifadhiliwa kwa chopa?

Naona tuna tatizo la double standards.
Wacha kututapisha hapa. Uzalendo wa huyu Sokoine wa kichina uko wapi?
 
Huyu kichwa maji alisema haya kipindi hicho. Ndo majitu yanayoomba urais. Watanzania mkimpa kura hata moja mtakuwa wajinga kama sio wapumbavu. Msome hapa mnyela wenu buk 7

MWIGULU NCHEMBA AWATAKA WATANZANIA KUTOZUBAISHWA NA HELIKOPTA YA CHADEMA NA BADALA YAKE WAZINGATIE SERA ZA MGOMBEA KAMA ZINAKIDHI MATAKWA YAO

Chama cha mapinduzi (CCM) kimesema kuwa
kinashangazwa na kitendo cha chama cha
demokrasia na maendeleo (Chadema)kutumia
Helikpota kwenye chaguzi zake huku kikidai kuwa
ni mkombozi wa wananchi jambo ambalo ni
kujitafutia sifa na umaarufu pekee kwa wananchi.
Hayo yameelezwa na Naibu Katibu mkuu wa
CCM ambaye pia ni Naibu waziri wa fedha
Mwigulu Nchemba wakati akifungua rasmi
kampeni za udiwani katika kata ya Sombetini .
Mwigulu alisema kuwa CCM inashangaa sana
Chadema kutumia Helikpota kwenye chaguzi
nyingi hapa nchini jambo ambalo wanaonesha
wazi kuwa wanatumia gharama kubwa kwa ajili
ya kuongeza sifa kwani gharama ambazo
zinatumika hadi kumalizika kwa kampeni ni zaidi
ya Milioni 200.
Alisema kuwa Gharama ambayo inatumika
kwenye uendeshaji wa Helkopta ni gharama
ambayo ingeweza kuwasaidia wanachama wao.
“Wananchi wa kata ya Sombetini napenda
kuwaambia kuwa hata sisi wenyewe huwa
tunashangaa sana ujio wa hii Helikopta na
ninapenda kusema wazi helikopta hiyo inakuja ili
iweze kuwazubaisha ninyi, sasa msikubali
kudanganywa na helikopta bali angalieni sera za
mgombea “aliongeza Mwigulu
Pia aliwataka wananchi kuhakikisha kuwa kamwe
hawatumiki kwenye siasa za sifa na ushahbiki
kwani siasa hizo wakati mwingine zinasababisha
hata vifo vya watu ambao hawana hatia ya kufa
ovyo: “wananchi mnapswa kujua na kutambua
kuwa siasa za sasa zimebadilika sana msikubali
kuwa mashabiki wa siasa bali mnatakiwa
kuangalia zaidi sera za vyama na mahitaji yenu
msije mkachagua kiongozi kwa ushabiki
itawagharimu sana kwenye utendaji ”aliongeza
Mwigulu
Awali Mgombea Udiwani katika kata hiyo ya
Sombetini kwa tiketi ya CCM Bw David Mollel
alisema kuwa ana mikakati mingi sana ya
kuhakikisha kuwa anasaidia kata hiyo endapo
atapata ridhaa ya kuongoza rasmi kama
diwani .David alisema kuwa changamoto ambazo
atahakikisha kuwa anazitatua ni pamoja na
urekebishaji wa barabara, uboreshaji wa
masoko,kna uimarishaji wa vikundi vya wanawake
na jamii kwa ujumla.
 
Chopa Yenyewe mbona magumashi, EXIT/KUTOKA iko nje. mtu aliye nje anahitaji hayo maelekezo kweli? na mtu akiingilia hapo inakuwaje? hauruki?
Ha ha haaa...! hii kweli inashangaza!

images

Ndivyo taifa linavyoendeshwa, hatujui tunatoka ama tunaingia.

Namheshimi sana Mwigulu kwa uzalendo wake, lakini kuna maswali hapa yananitatiza.

Tunasema kwamba viongozi kama mawaziri wasipokee zawadi kubwa toka kwa wafanyabiashara kwa kuwa zawadi kubwa zinahusianishwa na rushwa

Tibaijuka kawajibishwa kwa kupokea zawadi ya Tshs 1.6 billion toka kwa mfanya biashara.

Iweje basi, kwa Tibaijuka iwe si sawa kupokea zawadi ya Tshs 1.6b, na kwa Mwigulu iwe sawa kupewa zawadi ya huduma ya chopa ya bure na mfanya biashara? Je, tunaelewa thamani ya huduma ya chopa hiyo ikiwa Mwigulu angetakiwa kuilipia kuzungukia mikoa ya Tanzania? Na kama huyo mfanya biashara angempa Mwigulu hizo fedha ili akakodi chopa, ingeonekana ni sawa?

Na huyo mfanya biashara atapata nini toka kwa Mwigulu? Je Mwigulu ataweza kumkatalia chochote atakachodai akijua alifadhiliwa kwa chopa?

Naona tuna tatizo la double standards.

Kwa kuwa ni naibu waziri wa fedha atahakikisha huyo mwenye chopa anapata msamaha wa kodi. Halafu anajiita Nyerere wa pili. Hivi kweli Nyerere angeweza kukubali kuhongwa lift ya chopa? Kuweni machonja kauli za Nchemba. Hakuna hata moja yenye mashiko. Nyingi ni za ulimbukeni.
 
Alikutana na mabango raia wanamtaka LOWASA akashangaa kuwa kweri mh ni mti wenye matunda unaopingwa mawe.
 
Anaonesha ulimbukeni wake hadharani, jinsi anavyokenua? aibu eti naibu waziri, huyu atatusumbua sana akipata urais kwa kuwa bado limbukeni wa maisha ya mjini bado mlugaluga sana.
 
Back
Top Bottom