Mwigulu nchemba ajimaliza kisiasa jimboni kwake.

nkyalomkonza

JF-Expert Member
Jun 18, 2012
1,154
443
Nipo Jimboni kwa Mwigulu. Asilimia kubwa ya wananchi wamesikitishwa na kauli zake alizotoa bungeni wakati wa kuchangia Budget. Wamepoteza Imani na kuomba kama kuna uwezekano M4C ifike kule kwani jimbo hilo wanahesabu kuwa Wazi.

"Sisi wananchi wa Irambaa tunaishi kwenye Umaskini wa kutupa halafu mbunge wetu anasifia na kutetea budgeti ambayo hata haitukumbuki sisi wananchi" Alisema mama Ulumbi mmoja huku akitokwa na machozi.
 
Cna uhakika na uzalendo wa huyu jamaa mwigulu ila uhakika ni kwamba ndo sura halisi wa watawala we2 kutaka kujikomba kwa wakubwa wao, huyu jamaa nimemjifunza sana Arumeru mwezi wa tatu mwaka huu wakati uchaguzi mdogo,kwa wenye hekima zao huyu ni wa kudharau mana ni mpumbavu acye na akili hawezi kutofautisha maisha magumu na mazingira yanayoletwa na ccm kwa ugumu wa maisha, wakubwa najua hamini kinachotokea ila vijana tuna mjua ni pandikiza tena mwoga acye simamia mawazo yake, naomba tuc mjadili kamwe ila tumdharau na jimbo kwake tueleze kuwa ndo msaliti mkuu wa watz kwa ujumla.
 
Mwigulu hana uwezo wa kuona mbali amechoka kufikiri angetamani bunge limalizike arudi mitaani kuzuga watu na scurf ya bendera ya taifa. Ni mpiga debe aliyekata tamaa kwa kuipigia debe daladala chakavu ambayo kila abiria mwenye akili timamu anaikimbia kuhofia maisha yake yaani CCM
 
mie nawalaumu wairamba wenyewe.......... kwani huyo tunayemuona ndiye mbeba bendera wao

kwangu mimi wanyiramba wote wapo kama mwigulu tu
 
Wamejifunza sidhani kama watarudia tena.

Inategemea na utamaduni, niliwahi uliza daktari, mtu anaependa sana uzinzi kupita kiasi, akaniambia ni aina ya kichaa. Sidhani kama wazee na vijana wa Iramba watakubali tena yale ya Igunga.
 
Cna uhakika na uzalendo wa huyu jamaa mwigulu ila uhakika ni kwamba ndo sura halisi wa watawala we2 kutaka kujikomba kwa wakubwa wao, huyu jamaa nimemjifunza sana Arumeru mwezi wa tatu mwaka huu wakati uchaguzi mdogo,kwa wenye hekima zao huyu ni wa kudharau mana ni mpumbavu acye na akili hawezi kutofautisha maisha magumu na mazingira yanayoletwa na ccm kwa ugumu wa maisha, wakubwa najua hamini kinachotokea ila vijana tuna mjua ni pandikiza tena mwoga acye simamia mawazo yake, naomba tuc mjadili kamwe ila tumdharau na jimbo kwake tueleze kuwa ndo msaliti mkuu wa watz kwa ujumla.

Kwa muda huu atatupuza kwa kuwa anafadika sana na mfumo uliopo.
 
Mwigulu hana uwezo wa kuona mbali amechoka kufikiri angetamani bunge limalizike arudi mitaani kuzuga watu na scurf ya bendera ya taifa. Ni mpiga debe aliyekata tamaa kwa kuipigia debe daladala chakavu ambayo kila abiria mwenye akili timamu anaikimbia kuhofia maisha yake yaani CCM

Nimeonyeshwa mganga wake. Kumbe ile Scurf akiitoa tu nyota inazima, Kumbe ule sio uzalendo bali ni masharti ya mganga.
 
mie nawalaumu wairamba wenyewe.......... kwani huyo tunayemuona ndiye mbeba bendera wao

kwangu mimi wanyiramba wote wapo kama mwigulu tu

Binadamu hufanya makosa ndugu yangu. Lakini nadhani wamejifunza vya kutosha. CDM hawakuwekeza vya kutosha huko sasa wangempa nani huo ubunge.??
 
Nipo Jimboni kwa Mwigulu. Asilimia kubwa ya wananchi wamesikitishwa na kauli zake alizotoa bungeni wakati wa kuchangia Budget. Wamepoteza Imani na kuomba kama kuna uwezekano M4C ifike kule kwani jimbo hilo wanahesabu kuwa Wazi.

"Sisi wananchi wa Irambaa tunaishi kwenye Umaskini wa kutupa halafu mbunge wetu anasifia na kutetea budgeti ambayo hata haitukumbuki sisi wananchi" Alisema mama Ulumbi mmoja huku akitokwa na machozi.
Ahsante kwa taarifa Mkuu mimi nilisema kama alidhani Watanzania wa sasa ni wa jana asubiri aone!!!! Na kwa vile wamejitengenezea bomu wenyewe la secondary za kata, hatuna wasiwasi labda kuchelewa tuu!!!! Tunaomba tume ya uchaguzi ifanye update daftari la kura, 2015 ni mwisho wa mafisadi wa CCM!!!
 
Nipo Jimboni kwa Mwigulu. Asilimia kubwa ya wananchi wamesikitishwa na kauli zake alizotoa bungeni wakati wa kuchangia Budget. Wamepoteza Imani na kuomba kama kuna uwezekano M4C ifike kule kwani jimbo hilo wanahesabu kuwa Wazi.

"Sisi wananchi wa Irambaa tunaishi kwenye Umaskini wa kutupa halafu mbunge wetu anasifia na kutetea budgeti ambayo hata haitukumbuki sisi wananchi" Alisema mama Ulumbi mmoja huku akitokwa na machozi.
Kummaliza huyu jamaa CDM makamanda waanze mapema kwenye jimbo lake watu wapate information za kijana wao!!! Huyu ni kama kuangusha mlevi kwa jinsi anavyo jimaliza mwenyewe!!!! VIVA CDM VIVA UKOMBOZI WA NYONGE WA IRAMBA NA TANZANIA!!!

Back
Top Bottom